Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tunaongozwa na wajinga sn🤣🤣🤣 aiseee n hatar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaongozwa na wajinga sn🤣🤣🤣 aiseee n hatar
Hilo.liko wazi lakini ilikuaje mkamuacha Magufuli akaanza kuleta siasa za kipuuzi kama hizo?Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita
Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais wa 35 wa nchi hiyo John F. Kennedy maarufu kama JFK
Mwalimu alivutiwa sana na siasa za Marekani na aina ya uongozi wa Rais Kennedy na aliporejea nchini Tanzania akawa na mawazo ya kufuata siasa hizo za Marekani za ubepari.
Ikumbukwe kuwa Mwl. Nyerere baadaye akaja kuwa rafiki mkubwa na mpenzi wa uongozi na siasa za Kennedy na JFK naye akavutiwa na Nyerere wakawa maswahiba.
Haikuchukua muda mwaka 1963 Rais huyo wa USA akauawa kwa kudunguliwa na risasi na walenga shabaha. Mwalimu alihuzunishwa sana na kifo hicho akamlilia rafiki yake Kennedy.
Baada ya kifo cha Kennedy Mwalimu Nyerere alifanya ziara nchini China huko pia akavutiwa na siasa za nchi hiyo na uongozi wa Mao Zedong.
Mahaba ya mwalimu yakahamia kwenye siasa za "ukomonisti" akaona ndio siasa kistaarabu zenye kuleta umoja wa nchi na kuheshim utu wa mtu
Baadaye Mwalimu Nyerere akawashawishi wenziye na chama chake cha TANU na kuanzisha siasa zinazoendana na ukomonisti akaziita siasa za Tanzania ni siasa za ujamaa na kukitegemea
Hapo ikawa Mwalimu amebadilika kabisa kutoka kufikiria siasa za ubapari za rafiki yake Kennedy na kufuata siasa za Ujamaa
Mnamo mwaka 1967 Mwalimu akiongoza chama chake cha TANU wakakutana Arusha wakapitisha azimio la Arusha hapo ndipo nchi ilipoanza kuzama jahazi lake na kutopea kwenye umaskini wa kutupa mpaka sasa
Siasa za ujamaa na kujitegemea za Mwalimu Nyerere na itikadi ya Azimio la Arusha hazitaki utajiri wala watu kufanyabiashara kubwa na kupata utajiri na kujirimbikidhia utajiri
Ile sera yake ya binadamu wote ni sawa ndio walitaka hata kwenye kipato watu wote wawe sawa kusiwe na matajiri na maskini.
Hatuwezi kuendelea kwa sera hiyo ya Azimio la Arusha na siasa za kijamaa za aina hiyo za Mwalimu Nyerere
Kuthibitisha hilo miaka ya 80 mwalimu alimtuma waziri mkuu wake Edward Moringe Sokoine kuwakamata wafanyabiashara wote wakubwa na kuwaita majina mabaya "wahujumu uchumi"
Matokeo yake wafanyabiashara wakatiwa ndani wengine wakakimbia nchi na hao waliotiwa ndani walipoachiwa huru wakataifishiwa mali zao
Nchi za Magharibi na Mashirika ya fedha ya kimataifa IMF na Banki ya Dunia yakaiwekea vikwazo Tanzania na kunyimwa misaada hali ya kiuchumi ikazidi kuwa ngumu
Laiti kama Kennedy asingeuawa pengine Mwalimu Nyerere angefuata siasa za kiliberali za Magharibi ingekuwa Tanzania inamaendeleo makubwa ya kiviwanda kama jirani zao Kenya ambao tangu wapate uhuru wao siasa zao ni za kibepari
Baadaye Mwalimu Nyerere aliona siasa zake za ujamaa na kujitemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha vimeshindwa kukwamua hali ya chumi wa Tanzania akaamuua kung'atuka na kuachia ngazi akampisha Rais Ally Hassan Mwinyi
Rais Mwinyi alipoingia madarakani haraka sana akatengua Pole pole siasa za ujamaa na kuingiza siasa za kibepari kuruhusu uwekezazi, ubinafishaji na ushiriki wa sekta binafsi kwenye kuchechemua uchumi wa nchi
Baadaye rais Mwinyi akapewa jina la mzee Ruksa akaenda mbali zaidi na kuanzisha Azimio la Zanzibar ambalo kimsingi limelifuta azimio la Arusha la Mwalimu Nyerere
Nisiwachoshe, Kesho nitaendelea kuwaletea siasa za Mwalimu zilivyogonga mwamba na kudidimiza uchumi wa nchi hii nitaendelea kuonyesha sehemu ambazo Mwalimu amefeli na sehemuambazo amefanikiwa
Comasa
Nyerere mwenyewe alishindwaje utekelezaji wa ujamaa? Hakuwa na upinzani wa kisiasa, vyombo vyote vya habari vilikuwa vinamilikiwa na serikali yake, vyombo vya usalama vilikuwa chini yake na vilimtii, katiba ilimpa nguvu ya kufanya mambo mengi, sasa kilichomkwamisha ni nini?Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anatembea na vitabu viwili , Bible na Azimio la Arusha, tatizo ni utekelezaji tuu wa ujamaa wetu.
P
Sababu ni moja tuu na niliisha itajaga kwenye uzi huu Je, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?Nyerere mwenyewe alishindwaje utekelezaji wa ujamaa? Hakuwa na upinzani wa kisiasa, vyombo vyote vya habari vilikuwa vinamilikiwa na serikali yake, vyombo vya usalama vilikuwa chini yake na vilimtii, katiba ilimpa nguvu ya kufanya mambo mengi, sasa kilichomkwamisha ni nini?
Kama jibu ni vita ya Kagera ndiyo ilitukwamisha, kwa nini vita ya Kenya na Somalia ambayo ni ya muda mrefu zaidi ya vita ya Kagera, haikwamishi uchumi wa Kenya?
Wanabodi,
Naomba kutumia falsafa mbili kutolea mifano Falsafa ya Mwalimu Nyerere, na Falsafa ya Adam Smith.
Falsafa ya Mwalimu Nyerere: Ili Tuendelee Tunahitaji Vitu Vinne,
Kama vitu hivi vyote vinne tunavyo, sasa sisi Tanzania tumekosa nini?, kwa nini bado ni masikini?. Kati ya watu milioni 55 wa Tanzania, watu milioni 15 wanaishi kwenye lindi la umasikini uliotopea, kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku!.
- Watu-tunao
- Ardhi- tunayo
- Siasa Safi- tunayo?
- Uongozi bora-?
Nyerere alipotangaza Azimio la Arusha la siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, alisema kazi ya kujenga ujamaa ingechukua miaka 30. Lakini siku anatangaza kung'atuka alikiri kuwa tumekosea!, akakiri kwa kusema "kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia kosa"
Je, mnajua tulikosea wapi?. Tumsikilize mwanauchumi Adam Smith kwenye theory yake ambayo itaonyesha kosa la Nyerere.
Economic Theory Ya Adam Smith-Land, Labor, Capital & Entrepreneurship
Katika theory hii ya Adam Smith, inashabihiana na theory ya Nyerere kwenye watu na ardhi, na itatofautiana na Nyerere kwenye Siasa Safi na Uongozi Bora, Adam Smith anasema tunahitaji Capital na Entrepreneurship. Hivyo theory ya Nyerere kuweka siasa safi na uongozi bora ni kitu kile kile, kwenye theory ya Nyerere kulikosekana Capital, Nyerere alifanya kosa kubwa kwa kuamini fedha sii msingi bali ni matokeo, but in reality, pesa ni msingi sana wa kupata mitaji tena intact kwenye kuleta maendeleo, pesa ni kila kitu!. Kama una watu, ardhi, siasa safi, na uongozi bora, bila mitaji fedha ya kuwawezesha hao watu kuitumia ardhi kuzalisha mali, bila fedha ni tulitwanga tuu maji kwenye kinu!.
Kitendo cha kutegemea kilimo cha jembe la mkono badala ya mechanised agriculture na modern farming, (kilimo biashara), hakutufikishi popote zaidi ya kupinda tuu migongo!.
Kitendo cha kutokuwa na mitaji ya rasilimali fedha za kuchimba madini, mitaji ya kujenga viwanda, hatuwezi kupiga hatua zozote za maendeleo ya watu.
Mwinyi alipoingia, alifungulia rukhsa zote, lakini wapi!, Mkapa akaja na sera ya ubinafsishaji kwa uongo kuwa fedha za ubinafsishaji zitawekwa kwenye mfuko maalum wa mitaji kuwawezesha Watanzania ili waje kuwa wamiliki wa uchumi wao!, ikaundwa shirika la CHC, fedha za ubinafsishaji zikawekwa humo, kumbe it was all a lie!, kumbe walijigawia wenyewe na hapa ndipo matabaka ya wenye nacho na wasionacho yalipoanzia!.
Maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu na sio vitu watu wale vizuri walale pazuri utibiwe vizuri ukapata changamoto za kiafya wapate huduma nzuri ya maji umeme na elimu bora hayo ndio maendeleoSababu ni moja tuu na niliisha itajaga kwenye uzi huu Je, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?
Nilisema
P
Sana tuNyerere alitufelisha sana kama nchi basi tu
Ujinga na uongo mtupu. Kazi hamfanyi, Magufuli alikuwa serious kwa miaka 4 tu nchi ikaingia uchumi wa kati na mamiradi ya maana kibaoLeo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita
Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais wa 35 wa nchi hiyo John F. Kennedy maarufu kama JFK
Mwalimu alivutiwa sana na siasa za Marekani na aina ya uongozi wa Rais Kennedy na aliporejea nchini Tanzania akawa na mawazo ya kufuata siasa hizo za Marekani za ubepari.
Ikumbukwe kuwa Mwl. Nyerere baadaye akaja kuwa rafiki mkubwa na mpenzi wa uongozi na siasa za Kennedy na JFK naye akavutiwa na Nyerere wakawa maswahiba.
Haikuchukua muda mwaka 1963 Rais huyo wa USA akauawa kwa kudunguliwa na risasi na walenga shabaha. Mwalimu alihuzunishwa sana na kifo hicho akamlilia rafiki yake Kennedy.
Baada ya kifo cha Kennedy Mwalimu Nyerere alifanya ziara nchini China huko pia akavutiwa na siasa za nchi hiyo na uongozi wa Mao Zedong.
Mahaba ya mwalimu yakahamia kwenye siasa za "ukomonisti" akaona ndio siasa kistaarabu zenye kuleta umoja wa nchi na kuheshim utu wa mtu
Baadaye Mwalimu Nyerere akawashawishi wenziye na chama chake cha TANU na kuanzisha siasa zinazoendana na ukomonisti akaziita siasa za Tanzania ni siasa za ujamaa na kukitegemea
Hapo ikawa Mwalimu amebadilika kabisa kutoka kufikiria siasa za ubapari za rafiki yake Kennedy na kufuata siasa za Ujamaa
Mnamo mwaka 1967 Mwalimu akiongoza chama chake cha TANU wakakutana Arusha wakapitisha azimio la Arusha hapo ndipo nchi ilipoanza kuzama jahazi lake na kutopea kwenye umaskini wa kutupa mpaka sasa
Siasa za ujamaa na kujitegemea za Mwalimu Nyerere na itikadi ya Azimio la Arusha hazitaki utajiri wala watu kufanyabiashara kubwa na kupata utajiri na kujirimbikidhia utajiri
Ile sera yake ya binadamu wote ni sawa ndio walitaka hata kwenye kipato watu wote wawe sawa kusiwe na matajiri na maskini.
Hatuwezi kuendelea kwa sera hiyo ya Azimio la Arusha na siasa za kijamaa za aina hiyo za Mwalimu Nyerere
Kuthibitisha hilo miaka ya 80 mwalimu alimtuma waziri mkuu wake Edward Moringe Sokoine kuwakamata wafanyabiashara wote wakubwa na kuwaita majina mabaya "wahujumu uchumi"
Matokeo yake wafanyabiashara wakatiwa ndani wengine wakakimbia nchi na hao waliotiwa ndani walipoachiwa huru wakataifishiwa mali zao
Nchi za Magharibi na Mashirika ya fedha ya kimataifa IMF na Banki ya Dunia yakaiwekea vikwazo Tanzania na kunyimwa misaada hali ya kiuchumi ikazidi kuwa ngumu
Laiti kama Kennedy asingeuawa pengine Mwalimu Nyerere angefuata siasa za kiliberali za Magharibi ingekuwa Tanzania inamaendeleo makubwa ya kiviwanda kama jirani zao Kenya ambao tangu wapate uhuru wao siasa zao ni za kibepari
Baadaye Mwalimu Nyerere aliona siasa zake za ujamaa na kujitemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha vimeshindwa kukwamua hali ya chumi wa Tanzania akaamuua kung'atuka na kuachia ngazi akampisha Rais Ally Hassan Mwinyi
Rais Mwinyi alipoingia madarakani haraka sana akatengua Pole pole siasa za ujamaa na kuingiza siasa za kibepari kuruhusu uwekezazi, ubinafishaji na ushiriki wa sekta binafsi kwenye kuchechemua uchumi wa nchi
Baadaye rais Mwinyi akapewa jina la mzee Ruksa akaenda mbali zaidi na kuanzisha Azimio la Zanzibar ambalo kimsingi limelifuta azimio la Arusha la Mwalimu Nyerere
Nisiwachoshe, Kesho nitaendelea kuwaletea siasa za Mwalimu zilivyogonga mwamba na kudidimiza uchumi wa nchi hii nitaendelea kuonyesha sehemu ambazo Mwalimu amefeli na sehemuambazo amefanikiwa
Comasa
Tatizo ni mfumo aliyoweka hautoi fursa ya maendeleo na wote wanaokuja mbele yako wanaogopa kuufumua mfumo wa siasa za hovyo zilizoasisiwa a mwalimu hawataki katiba mpya ambayo ndio dira ya maendeleo ya nchiHii hata wanasiasa niliyokuwa nawaheshinu sana nawasikia wanaongea upumbavu huu!!
Mara tena ooh Nyrere ndiye katutia uoga wa kuandamana! Kweli? Uzembe wa vijana waliozaliwa wakati wa Mkapa wakakua enzi za Kikwette kasababisha Nyerere??!!
Wameshindwa katika zama zao wanamsingizia Mwalimu!!
SGR, bwawa la mwl nyerere limeua taifa?Sababu ni moja tuu na niliisha itajaga kwenye uzi huu Je, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?
Nilisema
P
Huo ndiyo ujamaa wa kiserikali na ujamaa wa umma (kiraia)kamwe auwezi kufanikiwa kiuchumi kwa njia hiyo ila taifa linakuwa halina stress sana unapo fuata mfumo huo... watu wanakuwa very slow wasio na masindano ya kimaendeleo ...kitu kilicho takiwa hapo ni nyerere kukubali secta binafsi iwe ya kibepari ila serikali iwe ya kijamaa ....Huu uzi umenikumbusha mwandishi na mwanaharakati wa mwanzo kwenye vyama vingi vya siasa ndungu prince Bagenda na zile makala zake za kwenye gazeti la Rai zikiwa na tittle Nyerere bingwa wa mkakati ulioshindwa.
Aliorodhesha mambo mengi aliyoanzisha Mwalimu lakini yalikuwa yanaonekana kukwamisha maendeleo ya nchi na wananchi.
1. Kufuta vyama vyote vya upinzani na kuicha TANU(CCM) (Chama kushika hatamu).
2. Kuanzishwa kwa vijiji vya ujamaa. Hili lilikuwa ni kosa jingine.
3. Azimio la Arusha. Alikufa akiwa bado analiamini.
4.Kutaifisha mali za taasisi kama zile za makanisa nk.
4. Sheria za uhujumu uchumi nk.
Vyote hivi alivyoanzisha vilikufa vifo vya kawaida na umebakia muungano ambao unaishi kwenye miuoyo ya wanaccm na si kwa wananchi wa pande zote mbili.
mwite huyo tundulisu aje tukutane na mimi hapa kama utaendelea tena kumsifu...Huyo tundu lisu ndiyo kiazi mbatata kabisa ...hata kama yupo humu muite... huyo ni mpuuzi tu kama zittoUkweli mchungu sana huu na.ukitaka kujua mapungufu ya mchonga msikilize TAL sana.
Utaelewa kwamba hayati hakuwa malaika bali kuna.mambo aliyafumbia macho makusudi.
Wamekuja marais wengine wanne mpaka kufikia Samia, na wao unawalaumu kwa umaskini huu wa leo?Yeye (Mwalimu) ndiye rais aliyekaa madarakani kwa kipindi kirefu kuliko rais yoyote nchini alishindwaje ku Imorement ujamaa wake ma hilo Azimio lake la Arusha?
Matokei yake kaikimbia nchi ikiwa hoi bin taabani kiuchumu kabakia na kijitabu chake cha Azimio la Arusha mfukoni
Walalamikaji wengi ni hawa mashujaa wa nyuma ya keyboard, hawajui yanayoendelea katika nchi yao wenyewe.Uchambuzi gani wa ovyo tu. Wala hujui kitu. Kama unafikiri azimio la arusha na ujamaa ndio uliangusha uchumi wa tanzania hebu nijibu nyerere aliwezaje kugharamia vita dhifi ya Idi Amin wa Uganda. Ni ukweli haujawahi kupingwa tanzania iligharamia hivyo vita yenyewe. Ukweli uchumi wa kijamaa uliinua uchumi wa tanzania. Takwimu miaka kabla ya vita inaonesha uchumi wa Tanzania ukikua kwa ufanisi.
Wenye kujua na wakweli wanajua sababu ya kuanguka uchumi wa tanzania ni baada ya kulazimika kupigana baada ya uganda kuvamia na kuteka sehemu ya tanzania. Nyerere hakua kama hawa kina tshisekedi jimbo la nchi kivu limekaliwa na Rwanda wanapiga kelele tu na kuomba wafadhili wa uvamizi ufaransa na marekani ndio wasaidie. Wanakula nchi kwa kisingizio kununua silaha kuimarisha jeshi ambalo haliwezi na halitaki kupigana na adui.
Ni wenye muelekeo wa kifisadi na kibepari tu ndio wanasema nyerere aliangusha uchumi kwa sera za kijamaa. Tusisahau nchi kama kenya, uganda malawi zilizokua na mfumo wa kibepari wala haziko vizuri kuliko tanzania hasa ukiangalia maisha ya watu wa kawaida.
Mkuu Nyerere kafariki siku nyingi mno. Kama walifuatilia wangekuwa viongozi wazuri wangeweza kurekebisha zamani sana. Mimi kwanza naona kadiri siku zinavyokwenda ndivyo viongozi wanavyozidi kuwa wa hovyo kulinganisha na Nyerere. Ila sisemi kuwa hakuwa na makosa, la hasha. Kwa mfano elimu, aliiharibu kwa kuingiza mifumo ya majaribio na elimu kwa lugha ya kiswahili kitu kilichofanya tuzalishe wahitimu vilaza. Kenya waliendelea na mfumo wa elimu wa kikoloni ona walivyo na wasomi wengi wenye weledi.Ukweli maovu yote ya watawala yanatokana na yeye
Una hoja. Tena hawa waliokuja baadae ndiyo wamevuruga zaidi.Wamekuja marais wengine wanne mpaka kufikia Samia, na wao unawalaumu kwa umaskini huu wa leo?
Huoni aibu kumlaumu hayati aliyekwisha kulala usingizi wa milele?.
Nchi ngapi ambazo hazikufuata ujamaa hapa Africa, unaweza kusema zimetuacha kimaendeleo?Huko kwenye Azimio la 1977 ni mbali sana, alituingiza kwenye umaskini mwaka mmoja tu baada ya kupata Uhuru alipofuta Vyama vya Upinzani.
Alitaka kuiendesha nchi kwa mawazo ya mlengo mmoja bila kushauriana au kukosolewa na mtu ndo maana wote waliokuwa wakimkosoa au aliowahofia watamsumbua waliondolewa nje ya mfumo.. Yaani huu mfumo wa CHAMA TAWALA sasa yeye ndo aliutengeneza..
Kwahiyo wale mnaomsifu kwa kushinikiza mwaka 1992 turudie mfumo wa Vyama Vingi hawajui wanachosema au ni Wanafki...
AsanteSii kweli, China ni wajamaa na ni matajiri
Sii kweli, alitaka the gap between the haves
and the havenot iwe small.
Kulikuwa na mistake moja kubwa kwenye ujamaa wa Nyerere.
Sii kweli, waliokamatwa ni wahujumu uch
Asante
P
Naamanisha viongozi wote wanaotutawala ni zao lake, wamesoma kipindi chake, ni kweli alileta mfumo wa elimu wa hovyo kabisa ambao hauna faida yoyote, waliomfuata ni majangili tupu wametengenezwa na hii katiba mbovu ambayo hata yeye alikiri kuwa ni ya hovyo haswa, alishindwa nini kuibadili na uwezo alikuwa nao?Mkuu Nyerere kafariki siku nyingi mno. Kama walifuatilia wangekuwa viongozi wazuri wangeweza kurekebisha zamani sana. Mimi kwanza naona kadiri siku zinavyokwenda ndivyo viongozi wanavyozidi kuwa wa hovyo kulinganisha na Nyerere. Ila sisemi kuwa hakuwa na makosa, la hasha. Kwa mfano elimu, aliiharibu kwa kuingiza mifumo ya majaribio na elimu kwa lugha ya kiswahili kitu kilichofanya tuzalishe wahitimu vilaza. Kenya waliendelea na mfumo wa elimu wa kikoloni ona walivyo na wasomi wengi wenye weledi.