Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

Nadhani Nyerere alikuwa na hofu kuwa chama kingine kikishika madaraka kinaweza kumgeuka na kumweka kwenye wakati mgumu na hata kumfungulia mashtaka au kuvuruga maisha ya status quo ya wakati ule. Ndiyo maana hata baada ya kuondoka kwenye madaraka alipigana sana kuhakikisha kuwa nchi bado inaendelea kuwa ya CCM. Nadhani pia ndiyo mwanzo wa hofu yake ya kubadili katiba. Kihalali kabisa, tulitakiwa kubadili katiba na hata kuivunja CCM na kuwapa watanzania wote uhuru wa kuanzisha na kujiunga na vyama vipya.
 
Tatizo ni mfumo aliyoweka hautoi fursa ya maendeleo na wote wanaokuja mbele yako wanaogopa kuufumua mfumo wa siasa za hovyo zilizoasisiwa a mwalimu hawataki katiba mpya ambayo ndio dira ya maendeleo ya nchi
MIAKA ZAIDI AROBAINI MMEAHINDWA!!! WAJINGA NI NYIE
 
Adui wa maendeleo yetu ni CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…