Siasa za Tanzania: Ukabila na Ukanda sasa rasmi, mwanzo wa kuanguka umoja wa Kitaifa-Uchaguzi wa CCM umedhihirisha!

Alikuwa mzee Ally Kessy kutoka Nkasi Kaskazini alisema "katiba sio msaafu"

Ndugai akapiga mwiba zaidi "atake asitake"

Nakumbuka hata Askofu Josephati Gwajima aliwahi sema "wasukuma waunde makundi ya kudili na wale vinara wa kukosoa utawala wa JPM"

Hakika taifa lilipitia kipindi kigumu Sana nyakati zile

"Taifa nila umma sio kundi la watu"
 
BMW ndio alishupalia maembe akatwe.
Kwahyo kiwete akaona aanze naye halafu aje kwa yule aliyewekwa.(PJM)
 
Nyie mnaojisifia mpo wengi tumieni wingi wenu kupata katiba mpya itakayowapa nguvu wananchi kuchagua kiongozi wanayemtaka, hapo ndio mtaweza kutumia huo wingi wenu kuwa kura, ama nchi itakuwa chini ya Familia chache tu
Wanajisifia wako wengi mimi nawashauri watumie wingi wao kulima pamba na ufugaji.
 
Makundi yaliandaliwa na mwendazake, bado yapo.
 
It takes a fool to present THAT argument!
 
Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili kila mtu akione ni uchaguzi wa CCM kwa kuwania viti vya NEC.
Ungefafanua kwa kina hili hapa mada yako ingekuwa na uzito zaidi. Lakini kwa maksudi tu umeamua kupapasapapasa tu bila ya kueleza chochote watu wajue huu ukabila/udini unakwenda vipi hapa nchini.

Mada kama hii ni nzito sana, inahitaji kuijengea hoja kwa umakini mkubwa.

Lakini usinielewe kwamba nakataa wazo lako ulilowasilisha hapa, na kwa kweli linahuzunisha sana kufikiria kuwa Tanzania, nchi ambayo ilikuwa ni ya mfano kwa nchi nyingine kutokuwa na upuuzi huu, sasa ndiyo inayouchochea kabisa.
 
Mkuu huyo ni Mtu mzima lakini mjinga tu. Huwezi kuzungumzia mada sensitive kama hiyo bila kuwa na valid argument zaidi ya hisia tu.

Hii Nchi hakuna ukabila kama unavyozungumziwa. Hapo juu alimuunga mkono Mtu anayesema CC ya CCM ina Wasukuma zaidi ya 80%. Nimeewaambia wawataje hao wasukuma waliopo kwenye CC wamekimbia.

Hivi ni nani alishawahi kubaguliwa kimfumo na Wasukuma au kabila lolote lile!
 
Hebu thibitisha basi kama sio hivyo ni stori za vijiweni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…