Siasa za Tanzania: Ukabila na Ukanda sasa rasmi, mwanzo wa kuanguka umoja wa Kitaifa-Uchaguzi wa CCM umedhihirisha!

Siasa za Tanzania: Ukabila na Ukanda sasa rasmi, mwanzo wa kuanguka umoja wa Kitaifa-Uchaguzi wa CCM umedhihirisha!

Kumbuka mpango wa mwendazake kusuka kutaka kubadili mazingira ili kujiongezea kipindi cha urais au kuwa rais wa maisha!
Yule mbunge aliyekuwa akitaka katiba ibadilike ili aongezewe kipindi sijui yuko wapi.
Na mbubge wa huko Rukwa aliyesema mwendazake apende asipende, ataongezewa muda.
Ile ilikuwa siyo bure, mkakati ulikuwa kuweka mambo sawa ili vikao vinavyohusika vikae sawa kimakundi.

Na huo ulikuwa mwanzi rasmi wa kuindiza ukanda/ukabila kwenye siasa.
Alikuwa mzee Ally Kessy kutoka Nkasi Kaskazini alisema "katiba sio msaafu"

Ndugai akapiga mwiba zaidi "atake asitake"

Nakumbuka hata Askofu Josephati Gwajima aliwahi sema "wasukuma waunde makundi ya kudili na wale vinara wa kukosoa utawala wa JPM"

Hakika taifa lilipitia kipindi kigumu Sana nyakati zile

"Taifa nila umma sio kundi la watu"
 
Wewe na huyo kiwete wako ndio mtakaoshangaa. Nyie mmekua kina nani mtuamulie waTanzania mtu wa kutuongoza?

Wakati jina la Maembe binamu yake huyo kiwete linakatwa 2015 mpaka rais anakua JPM huyo kiwete alikua hajaanza hizo shughuli za kuamua nani anakua rais Tz? Nyie subirini tu tunawaangalia tunachekea pembeni
BMW ndio alishupalia maembe akatwe.
Kwahyo kiwete akaona aanze naye halafu aje kwa yule aliyewekwa.(PJM)
 
Nyie mnaojisifia mpo wengi tumieni wingi wenu kupata katiba mpya itakayowapa nguvu wananchi kuchagua kiongozi wanayemtaka, hapo ndio mtaweza kutumia huo wingi wenu kuwa kura, ama nchi itakuwa chini ya Familia chache tu
Wanajisifia wako wengi mimi nawashauri watumie wingi wao kulima pamba na ufugaji.
 
Alikuwa mzee Ally Kessy kutoka Nkasi Kaskazini alisema "katiba sio msaafu"

Ndugai akapiga mwiba zaidi "atake asitake"

Nakumbuka hata Askofu Josephati Gwajima aliwahi sema "wasukuma waunde makundi ya kudili na wale vinara wa kukosoa utawala wa JPM"

Hakika taifa lilipitia kipindi kigumu Sana nyakati zile

"Taifa nila umma sio kundi la watu"
Makundi yaliandaliwa na mwendazake, bado yapo.
 
Wewe na fazili mnaosema kamati kuu (CC) imajaa Wasukuma 80% toeni orodha muiweke hapa, mimi naanza kuwasaidia;

1. Samia Suluhu Hassan - Msukuma
2. Abdullrahman Kinana - Msukuma
3. Hussein Ally Mwinyi -Msukuma
4. Shaka H Shaka-Msukuma
5. Moudline Castico - Msukuma
6. Frank Hawasi - Msukuma
7. Kassim Majaliwa - Msukuma
8. Ngemela Lubinga - Msukuma
9. Pereira Silima - Msukuma
10. Rehema Mndeme - Msukuma
11. Steven Wasira - Msukuma
12. Tulia Ackson - Msukuma
13.................Endeleeni

Kumbuka CC ya CCM ina wajumbe wasiozidi 33 na hapo juu tayari tuna zaidi ya 70%
It takes a fool to present THAT argument!
 
Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili kila mtu akione ni uchaguzi wa CCM kwa kuwania viti vya NEC.
Ungefafanua kwa kina hili hapa mada yako ingekuwa na uzito zaidi. Lakini kwa maksudi tu umeamua kupapasapapasa tu bila ya kueleza chochote watu wajue huu ukabila/udini unakwenda vipi hapa nchini.

Mada kama hii ni nzito sana, inahitaji kuijengea hoja kwa umakini mkubwa.

Lakini usinielewe kwamba nakataa wazo lako ulilowasilisha hapa, na kwa kweli linahuzunisha sana kufikiria kuwa Tanzania, nchi ambayo ilikuwa ni ya mfano kwa nchi nyingine kutokuwa na upuuzi huu, sasa ndiyo inayouchochea kabisa.
 
Mkuu huyo ni Mtu mzima lakini mjinga tu. Huwezi kuzungumzia mada sensitive kama hiyo bila kuwa na valid argument zaidi ya hisia tu.

Hii Nchi hakuna ukabila kama unavyozungumziwa. Hapo juu alimuunga mkono Mtu anayesema CC ya CCM ina Wasukuma zaidi ya 80%. Nimeewaambia wawataje hao wasukuma waliopo kwenye CC wamekimbia.

Hivi ni nani alishawahi kubaguliwa kimfumo na Wasukuma au kabila lolote lile!
 
Sisi tulio makabila madogo na tulio pembezoni, tulionya sana katika miaka y karibuni juu ya kujitokeza vashiri vya Ukanda, Udini na Ukabila katika siasa za nchi.

Sasa zimeanza kujitokeza dhahiri na kwa kila mtu kujionea kwa macho yake yanayoendelea nchini.

Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili kila mtu akione ni uchaguzi wa CCM kwa kuwania viti vya NEC.
Hebu thibitisha basi kama sio hivyo ni stori za vijiweni tu.
 
Back
Top Bottom