Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Alikuwa mzee Ally Kessy kutoka Nkasi Kaskazini alisema "katiba sio msaafu"Kumbuka mpango wa mwendazake kusuka kutaka kubadili mazingira ili kujiongezea kipindi cha urais au kuwa rais wa maisha!
Yule mbunge aliyekuwa akitaka katiba ibadilike ili aongezewe kipindi sijui yuko wapi.
Na mbubge wa huko Rukwa aliyesema mwendazake apende asipende, ataongezewa muda.
Ile ilikuwa siyo bure, mkakati ulikuwa kuweka mambo sawa ili vikao vinavyohusika vikae sawa kimakundi.
Na huo ulikuwa mwanzi rasmi wa kuindiza ukanda/ukabila kwenye siasa.
Ndugai akapiga mwiba zaidi "atake asitake"
Nakumbuka hata Askofu Josephati Gwajima aliwahi sema "wasukuma waunde makundi ya kudili na wale vinara wa kukosoa utawala wa JPM"
Hakika taifa lilipitia kipindi kigumu Sana nyakati zile
"Taifa nila umma sio kundi la watu"