The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ni kweli CDM wengi wapo upande wa mama hata hawajielewi tena?Ukiangalia mwenendo wa uchangiaji wa hoja humu ndani ni vigumu sana kupambanua kama mchangiaji ameegemea mrengo gani wa kisiasa yaani kaegemea upinzani ama ccm. Tungekua na magenious ya game za kisiasa basi huu ndio uliokua muda muafaka kujijenga na kutengeneza mkondo mpya.
Na nikiri kwamba nashindwa kubashiri kua upepo huu utavuma mpaka lini! Maana umewageuza wanasiasa kua mithili ya samaki walio kwenye maji yaliyochafuka sana!
Afadhali ya Nyalandu alietangaza rasmi kuhamia CCM kuliko hili rundo lingine lililohamia CCM kupitia kwa Mama kimya kimya!Ni kweli CDM wengi wapo upande wa mama hata hawajielewi tena?
Si lazima kukinzana muda wote mzee baba
Ni kweli CDM wengi wapo upande wa mama hata hawajielewi tena?
Shida ni kwamba atakaechangia ata akiwa si wa ccm au upinzani ila akichangia lazima kuna upande ataendanao sawa lakini itategemea we upeo wako utamwangaliajeUkiangalia mwenendo wa uchangiaji wa hoja humu ndani ni vigumu sana kupambanua kama mchangiaji ameegemea mrengo gani wa kisiasa yaani kaegemea upinzani ama ccm. Tungekua na magenious ya game za kisiasa basi huu ndio uliokua muda muafaka kujijenga na kutengeneza mkondo mpya.
Na nikiri kwamba nashindwa kubashiri kua upepo huu utavuma mpaka lini! Maana umewageuza wanasiasa kua mithili ya samaki walio kwenye maji yaliyochafuka sana!