SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

Japan alianza ipiga USA ila Huku ni URUSI ndo kaanza kuipiga Ukraine , sasa Urusi anapata uhalali gani wa kutumia nyuklia ? Ila Ukraine akitumia ni sahihi maana kachokozwa mara mbili 2014 na 2022 yaan hii vita Urusi ndo kailazimisha hata ikitokea Ukraine akilipua ikulu ya Urusi ni sawa tu wao wamejitahidi kuivumilia Urusi ila Urusi hakuridhika kaivamia Kyiev kbs kuonesha anataka vita
Kitu usichokijua ni kwamba vita haikuanza mwaka 2022, bali ilianza mwaka 2014!! Baada ya rais halali wa ukraine kupinduliwa kwa shinikizop kutoka nchi za magharibi, majimbo mawili ya DONBASS hayakuyatambua mapionduzi hayo, yakaamua kujitenga!! Ukraine ikaamua kuyarudisha kwa kutumia nguvu ya kijeshi!! Ujue asilimia kubwa ya watu kwenye majimbo haya mawili ni warusi. kati ya 2014 hadi 2022 raia 14,000 wengi wao warusi waliuawa!! Kwa hiyo Urusi iliamua kuyatambua majimbon haya mawili mwaka 2022 na ikalazimika kuyakomboa kikamilifu kwa kutumia nguvu za kijeshi. Kwa hiyo aliyeanza siyon Urusi bali ni Ukraine!!
 
Kwani hiyo nyukilia anayo Putin pekee?, hajui kuwa Usa na washirika wake wa NATO na EU wanayo mabomu mengi ya nyukilia kuliko Urusi?. Endapo mmojawapo atatumia mabomu hayo basi tambua wote hawako salama maana hakuna atakayemchekea mwenzake.

Kipindi kile Japan alivumilia kwa vile huenda hakuwa na mabomu hayo ya nyukilia.
Ni kweli NATO wanayo lakini hakuna atakayethubutu kusogeza pua yake!! Hakuna atakayekubali kuingia kwenye vita vya nyuklia kwa kumtetea Ukraine!!
 
Huyo papa wako alienda Ukraine?
Genesis:-
Rais wa ufaransa akaenda Urusi kutaka Putin aache vita na ukraine, wayamalize kwenye Meza, Putin akakataa.
2) Waziri mkuu wa Israeli akaenda Urusi kumtaka aache vita dhidi ya Ukraine, Putin akakataa kata kata.
3) Rais wa ufaransa akarudi kwa Putin kumtaka kwa mara nyingine aache vita dhidi ya Ukraine Putin kwa mara nyingine akachomoa uku washingiliaji wake wakimsifu kwa uamzi huo.
Lastly Pope akaomba akutane na Putin wazungumze, Putin akamkatalia Papa.
Yote hawa yametokea nikiwa na akili timamu na kumbukumbu nzuri ila kuna kenge inaandika kinyume kuwa Mataifa ya ulaya yalimkataza Rais wa Ukraine kumaliza vita mezani!! Inatia kichefu chefu sana.
 
Ni kweli NATO wanayo lakini hakuna atakayethubutu kusogeza pua yake!! Hakuna atakayekubali kuingia kwenye vita vya nyuklia kwa kumtetea Ukraine!!
Hatujui, huenda mpaka sasa Ukraine naye akawa ameshaletewa sebuleni kwake silaha za nyukilia toka kwa hao mabeberu.

Siku ikitokea mmojawapo amelipua bomu hilo madhara yake ni makubwa mno kwa dunia yote.

Lakini tuendelee kuwaombea kwanza Sudan na DR Congo wapate suluhu ya vita yao, hao mabeberu watayamaliza wajuavyo
 
Genesis:-
Rais wa ufaransa akaenda Urusi kutaka Putin aache vita na ukraine, wayamalize kwenye Meza, Putin akakataa.
2) Waziri mkuu wa Israeli akaenda Urusi kumtaka aache vita dhidi ya Ukraine, Putin akakataa kata kata.
3) Rais wa ufaransa akarudi kwa Putin kumtaka kwa mara nyingine aache vita dhidi ya Ukraine Putin kwa mara nyingine akachomoa uku washingiliaji wake wakimsifu kwa uamzi huo.
Lastly Pope akaomba akutane na Putin wazungumze, Putin akamkatalia Papa.
Yote hawa yametokea nikiwa na akili timamu na kumbukumbu nzuri ila kuna kenge inaandika kinyume kuwa Mataifa ya ulaya yalimkataza Rais wa Ukraine kumaliza vita mezani!! Inatia kichefu chefu sana.

Genesis:-
Rais wa ufaransa akaenda Urusi kutaka Putin aache vita na ukraine, wayamalize kwenye Meza, Putin akakataa.
2) Waziri mkuu wa Israeli akaenda Urusi kumtaka aache vita dhidi ya Ukraine, Putin akakataa kata kata.
3) Rais wa ufaransa akarudi kwa Putin kumtaka kwa mara nyingine aache vita dhidi ya Ukraine Putin kwa mara nyingine akachomoa uku washingiliaji wake wakimsifu kwa uamzi huo.
Lastly Pope akaomba akutane na Putin wazungumze, Putin akamkatalia Papa.
Yote hawa yametokea nikiwa na akili timamu na kumbukumbu nzuri ila kuna kenge inaandika kinyume kuwa Mataifa ya ulaya yalimkataza Rais wa Ukraine kumaliza vita mezani!! Inatia kichefu chefu sana.
Nirahisi sana kuwatambua wanufaika wa vile vilainishi
 
Nirahisi sana kuwatambua wanufaika wa vile vilainishi
Hakuna atakae kusaidiana tatizo lako la akili probably holy spirit will,unfortunately nae huwa hashughuliki na wapumbavu.
Nadhani hii inatosha kuona vile tatizo lako lipo kwenye kundi la unsolvable problems.
God have mercy on you idiot.
 
Ninaitamani WW3 huenda Dunia ikarudi kwenye mstari wake na Mikataba mibovu ikafutika kwenye uso wake .
 
Hakuna atakae kusaidiana tatizo lako la akili probably holy spirit will,unfortunately nae huwa hashughuliki na wapumbavu.
Nadhani hii inatosha kuona vile tatizo lako lipo kwenye kundi la unsolvable problems.
God have mercy on you idiot.

Mkuu mbona unashushua xnaa ebu toa mawazo ya upinde Kichwan utakua sawa tuh
 
Ingekuwa rahis hivyo basi muda huu ukraine ingekuwa mkoa wa russia
ni kweli sio rahisi kwa sababu marekani na ulaya yooote inapigana na russia kwa mgongo wa ukraine ndio maana sio rahisi kla bado russia anawapiga ...wote
em ukraine asimame mwenyewe uone asubuhi tuu ukraine inakuwa mkoa wa ruassia
 
Sio kweli hata Urusi hajasimama peke yake kuna wanajeshi wa Chechnya, Waasi wa luhask na Donesk pia kuna misaada ya silaha kutoka Iran, china, Korea kaskazini, Belarus, south Africa mbona unapenda kuangalia upande mmoja wa UKRAINE wakati anasaidiwa silaha tu na nchi za western kutetea ardhi yake na kuuawa kwa raia wa Ukraine na Uvamizi wa Putin
 
Wewe hebu nyama mbona unayaelewa mambo kinyume na maumbile? Ni mara ngapi Putin alitaka maridhiano tena ya mezani walimkatalia? Unaufahama mkataba wa MINSK? kaanze upya kupitia document zako juu ya mzozo huu nakuhakikishia huyo Emmanuel Macron angeenda kwa Putin mapema kabla ya vita pengine tusingekuwa hapa wewe unaona hilo ni bwawa la Petroli kuna mtu kashika moto anaonywa mara kadhaa aache yeye hataki anaamua kuliwasha bwawa sasa moto unawaka ndo wanataka kulazimisha moto uzime haiwezekani kila taifa duniani lina miiko na maadui zake nikuambie tu kuwa kuna mataifa mawili duniani yaani URUSI na USA mfano ikitokea leo Urusi ikapeleka silaha labda za kujihami MEXICO hakika US ataiambia mekiko iachane na huo mpango na ikiziba masikio itapigwa ndivyo hivyo kwa ukraine alipopokea mizigo ya aina hiyo kutoka magharibi saa hii anakula kichapo.
Ikifikia unadeal na mmojawapo kati ya USSR au US you need to be extra careful ukimess ujue unapigwa au uwe tayari kupigana hakuna compromise wala sovereign state hiyo ndiyo siasa ya dunia.
Wewe ndio umenivamia halafu unasema mimi ndio nazuia vita kuisha. Kama Urusi alitaka vita iishe aondoe majeshi yake Ukraine.

Hapa ambae anauhalali wa kulalamika ni Ukraine 🇺🇦 ila sio Urusi. Huyu Urusi anatakiwa afanyiwe kama Japan tu ili mambo yaishe na kuepusha mauaji zaidi
 
Genesis:-
Rais wa ufaransa akaenda Urusi kutaka Putin aache vita na ukraine, wayamalize kwenye Meza, Putin akakataa.
2) Waziri mkuu wa Israeli akaenda Urusi kumtaka aache vita dhidi ya Ukraine, Putin akakataa kata kata.
3) Rais wa ufaransa akarudi kwa Putin kumtaka kwa mara nyingine aache vita dhidi ya Ukraine Putin kwa mara nyingine akachomoa uku washingiliaji wake wakimsifu kwa uamzi huo.
Lastly Pope akaomba akutane na Putin wazungumze, Putin akamkatalia Papa.
Yote hawa yametokea nikiwa na akili timamu na kumbukumbu nzuri ila kuna kenge inaandika kinyume kuwa Mataifa ya ulaya yalimkataza Rais wa Ukraine kumaliza vita mezani!! Inatia kichefu chefu sana.
Ww kasome tafuta mwenyewe mkataba wa Minsk. Duniani nchi zina mikataba ya usalama, biashara, hata ujirani mwema
 
Ni suala la muda tu Ukraine ikafutika kabisa halafu NATO wote wata shusha siraha chini na kurejea makwao.
Hiz akili unatoa wap wkt huna akili ya kuikoa nchi yako dhidi ya uporwaji wa bandari kwa hongo ya v8 kwa viongoz wako
 
Genesis:-
Rais wa ufaransa akaenda Urusi kutaka Putin aache vita na ukraine, wayamalize kwenye Meza, Putin akakataa.
2) Waziri mkuu wa Israeli akaenda Urusi kumtaka aache vita dhidi ya Ukraine, Putin akakataa kata kata.
3) Rais wa ufaransa akarudi kwa Putin kumtaka kwa mara nyingine aache vita dhidi ya Ukraine Putin kwa mara nyingine akachomoa uku washingiliaji wake wakimsifu kwa uamzi huo.
Lastly Pope akaomba akutane na Putin wazungumze, Putin akamkatalia Papa.
Yote hawa yametokea nikiwa na akili timamu na kumbukumbu nzuri ila kuna kenge inaandika kinyume kuwa Mataifa ya ulaya yalimkataza Rais wa Ukraine kumaliza vita mezani!! Inatia kichefu chefu sana.
Viongozi wengine hapo ni wahuni mfano, Macron anapatanisha lakini anapeleka silaha Ukraine unaanzia wapi kukutana na Putin kukaribisha mazungumzo?? Mfano wewe hapo uwe na mtu anaye msaidia adui yako akushinde at the same time anaomba Mzungumze amani utakubaki kweli?
NEUTRAL COUNTRIES ndio zichochee Mazungumzo ya AMANI
 
Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati huo liloijulikana kama bomu la atomiki/atomic bomb. Wakati huo Marekani ilikuwa imeshindwa kuilazimisha Japan isalimu amri kwa kutumia nguvu za kivita. Hivyo ikaonekana mamilioni ya raia na askari wa pande zote zinazopigana wataendelea kufa.

Lakini kama Marekani itaamua kutumia bomu la atomiki, pamoja na kwamba watakufa watu wengi, lakini bila shaka Japan itasalimu amri na kupelekea vita kukoma na hivyo kuzuia mauaji zaidi kuendelea. Ushauri huo ulikubalika na Marekani ikaipiga Japan na kwa kutumia mabomu ya nyuklia mara mbili. Walipopigwa mara ya kwanza Japan haikusalimu amri. Lakini ilipopigwa mara ya pili Japan ilinyoosha mikono na huo ukawa ndio mwisho wa vita kuu ya pili na mauaji yakakoma.

Kabla ya mabomu hayo ya nyuklia zaidi ya watu milioni 30 walikuwa waqmekufa. Mabomu hayo mawili ya nyuklia yaliua watu 355,000 hapo hapo mbali na wale waliokufa baadaye. Mpaka leo watu wanaamini kuwa kama si Marekani kutumia bomu la nyuklia, vita vingeendelea kwa miaka mingi zaidi na mamilioni wengi zaidi wangekufa! Kwa hiyo bomu hilo linasifika kwa kuepusha mauaji zaidi.

Hoja hiyo hiyo imeanza kuzungumzwa kwa dhati na washauri wa mambo ya vita wa Urusi kuwa, ili kuepusha mauaji zaidi ni lazima kuilazimisha Ukraine kusalimu amri kwa kutumia mabomu ya nyuklia!!!! Kwa sasa hakuna dalili za ukraine kusalimu amri kwa sababu inategemea misaada ya kivita kwa maana ya zana za kivita na pesa toka nchi za magharibi hususan Marekani na Uingereza.

Kuna dalili zote kuwa usjhauri huo umeshakubalika kwa vioingozi wengi wa Urusi kasoro tu rais Putin bado anasita, japo kuna dalili kubwa kuwa ameshaanza kushawishika, ndio maana amekubali kupeleka silaha hizo pia nchi jirani rafiki. Kwa hali ya mambo jinsi ilivyo tusishangae kuamka na kukuta mji mzima wa Kiev umeteketea na maelfu ya watu kufa hapo hapo!!

Swali lililopo ni kuwa je Urusi ikamua kumaliza vita kwa mtindo huo, ni nani alaumuwe? Je ni urusi ilaumiwe? au je ni Marekani na NATO walaumiwe kwa kumtumia Ukraine kupigana na Urusi huku wakiizuia ukraine kufanya mazungumzo na urusi? au je ilaumiwe Ukraine kwa kukubali kutumiwa na Marekani ili ipigane na Urusi!! Watu wanasema, unapoamua kupigana na Taifa lenye silaha za nyuklia unategemea nini? Hata Marekani haiwezi kuthubutu kushambulia Taifa lenye silaha za nyuklia kama Korea ya kaskazini! Ilikuwaje Ukraine kukubali8 kutumiwa na NATO kupigana na Urusi? Je ikipigwa bomu la nyuklia itashangaa?

Sergey Karaganov: By using its nuclear weapons, Russia could save humanity from a global catastrophe​

A tough but necessary decision would likely force the West to back off, enabling an earlier end to the Ukraine crisis and preventing it from expanding to other states
Rais Harry Truman aliyemrithi Roosevelt baada ya kufariki ndiye aliyeidhinisha shambulio la nyuklia huko Japan.
 
Back
Top Bottom