SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

Kitu usichokijua ni kwamba vita haikuanza mwaka 2022, bali ilianza mwaka 2014!! Baada ya rais halali wa ukraine kupinduliwa kwa shinikizop kutoka nchi za magharibi, majimbo mawili ya DONBASS hayakuyatambua mapionduzi hayo, yakaamua kujitenga!! Ukraine ikaamua kuyarudisha kwa kutumia nguvu ya kijeshi!! Ujue asilimia kubwa ya watu kwenye majimbo haya mawili ni warusi. kati ya 2014 hadi 2022 raia 14,000 wengi wao warusi waliuawa!! Kwa hiyo Urusi iliamua kuyatambua majimbon haya mawili mwaka 2022 na ikalazimika kuyakomboa kikamilifu kwa kutumia nguvu za kijeshi. Kwa hiyo aliyeanza siyon Urusi bali ni Ukraine!!
 
Ni kweli NATO wanayo lakini hakuna atakayethubutu kusogeza pua yake!! Hakuna atakayekubali kuingia kwenye vita vya nyuklia kwa kumtetea Ukraine!!
 
Huyo papa wako alienda Ukraine?
 
Ni kweli NATO wanayo lakini hakuna atakayethubutu kusogeza pua yake!! Hakuna atakayekubali kuingia kwenye vita vya nyuklia kwa kumtetea Ukraine!!
Hatujui, huenda mpaka sasa Ukraine naye akawa ameshaletewa sebuleni kwake silaha za nyukilia toka kwa hao mabeberu.

Siku ikitokea mmojawapo amelipua bomu hilo madhara yake ni makubwa mno kwa dunia yote.

Lakini tuendelee kuwaombea kwanza Sudan na DR Congo wapate suluhu ya vita yao, hao mabeberu watayamaliza wajuavyo
 
Nirahisi sana kuwatambua wanufaika wa vile vilainishi
 
Nirahisi sana kuwatambua wanufaika wa vile vilainishi
Hakuna atakae kusaidiana tatizo lako la akili probably holy spirit will,unfortunately nae huwa hashughuliki na wapumbavu.
Nadhani hii inatosha kuona vile tatizo lako lipo kwenye kundi la unsolvable problems.
God have mercy on you idiot.
 
Ninaitamani WW3 huenda Dunia ikarudi kwenye mstari wake na Mikataba mibovu ikafutika kwenye uso wake .
 
Hakuna atakae kusaidiana tatizo lako la akili probably holy spirit will,unfortunately nae huwa hashughuliki na wapumbavu.
Nadhani hii inatosha kuona vile tatizo lako lipo kwenye kundi la unsolvable problems.
God have mercy on you idiot.

Mkuu mbona unashushua xnaa ebu toa mawazo ya upinde Kichwan utakua sawa tuh
 
Ingekuwa rahis hivyo basi muda huu ukraine ingekuwa mkoa wa russia
ni kweli sio rahisi kwa sababu marekani na ulaya yooote inapigana na russia kwa mgongo wa ukraine ndio maana sio rahisi kla bado russia anawapiga ...wote
em ukraine asimame mwenyewe uone asubuhi tuu ukraine inakuwa mkoa wa ruassia
 
Sio kweli hata Urusi hajasimama peke yake kuna wanajeshi wa Chechnya, Waasi wa luhask na Donesk pia kuna misaada ya silaha kutoka Iran, china, Korea kaskazini, Belarus, south Africa mbona unapenda kuangalia upande mmoja wa UKRAINE wakati anasaidiwa silaha tu na nchi za western kutetea ardhi yake na kuuawa kwa raia wa Ukraine na Uvamizi wa Putin
 
Wewe ndio umenivamia halafu unasema mimi ndio nazuia vita kuisha. Kama Urusi alitaka vita iishe aondoe majeshi yake Ukraine.

Hapa ambae anauhalali wa kulalamika ni Ukraine 🇺🇦 ila sio Urusi. Huyu Urusi anatakiwa afanyiwe kama Japan tu ili mambo yaishe na kuepusha mauaji zaidi
 
Ww kasome tafuta mwenyewe mkataba wa Minsk. Duniani nchi zina mikataba ya usalama, biashara, hata ujirani mwema
 
Ni suala la muda tu Ukraine ikafutika kabisa halafu NATO wote wata shusha siraha chini na kurejea makwao.
Hiz akili unatoa wap wkt huna akili ya kuikoa nchi yako dhidi ya uporwaji wa bandari kwa hongo ya v8 kwa viongoz wako
 
Viongozi wengine hapo ni wahuni mfano, Macron anapatanisha lakini anapeleka silaha Ukraine unaanzia wapi kukutana na Putin kukaribisha mazungumzo?? Mfano wewe hapo uwe na mtu anaye msaidia adui yako akushinde at the same time anaomba Mzungumze amani utakubaki kweli?
NEUTRAL COUNTRIES ndio zichochee Mazungumzo ya AMANI
 
Rais Harry Truman aliyemrithi Roosevelt baada ya kufariki ndiye aliyeidhinisha shambulio la nyuklia huko Japan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…