Zanzibar 2020 Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

wee bwana pascal mbona kadri siku zinavyenda unazidi kuwa KUBWA JINGA
 
Makamo=Makamu

Samahani mkuu ni hilo tu.
 
Maalim hawezi kuingia hapo.
Ccm bara hawawezi kukubali.
Mwinyi pazia tu hapo Zanzibar Mambo yote chamwino.
 
Mkiacha unafiki taifa litaenda mahala pazuri na huo muungano unaosemwa utalindwa kwa gharama zozote kiasi cha maisha ya raia kuonekana si chochote utajilinda wenyewe na kuwa muungano wa mfano.
Je maalim kupewa cheo kutalipa damu zilizomwaga? Kutatibu majeraha na vilema watu walivotiwa?
Ungesema washtakiwe wote waliosababisha mauaji hayo ningekuelewa kinyume na hivyo tunaandaa taifa la watu waovu huku tukichekelea.
 
Mimi kama ningekuwa kiongozi wa Chadema ningetumia maono ya P kufikia mafanikio.

Lakini badala yake P akitoa ushauri wenye maono yanayoishi,Chadema wanampalamia kwa matusi mazito wengine ni watoto wadogo hata P anaweza kuwazaa.
 
Katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja, Mwenyekiti wa CCM alimwomba Dkt Mwinyi amchague Makamu toka Pemba.. lkn sio huyo unayeshauri..
 
Wewe nakuona kama mtu muovu hapa JF na hata siku nikisikia umepatwa na baya kutoka kwa hao unaowatetea hapa JF, hakika sitokuhurumia wala kukupa pole.

Umekosa utu kwa kiwango cha kutisha na ni mtu hatari sana wewe.
Naunga mkono hoja. Nami nimeondoa kabisa heshima yangu kwa huyu Bwana P.
 
Mkuu jina lako ni "Pascal", jina la ki-Kristo japo sina uhakika kama wewe ni Mkristo kweli! Hivi kweli kwa dhamiri safi kabisa unaweza kujitokeza hadharani hapa kwenye jukwaa la heshima hivi KUPONGEZA huo UHARAMIA uliofanyika Zanzibar? Jua kwamba Mungu anakuona!
 
'sare zinazofanana mpaka macho'...wewe msukuma una tamaa sana.
Mkuu Proved , kumsingizia mtu kuwa anatamani macho ya wakubwa, ni unajichumia dhambi bure tuu, nilichosema ni mimi huwa napenda macho fulani, na nayapenda tuu hayo macho na sio kuwatamani wenye macho hayo!.
Nitake radhi!.
P
 
Naunga mkono hoja
 
Mkuu Proved , kumsingizia mtu kuwa anatamani macho ya wakubwa, ni unajichumia dhambi bure tuu, nilichosema ni mimi huwa napenda macho fulani, na nayapenda tuu hayo macho na sio kuwatamani wenye macho hayo!.
Nitake radhi!..
Bro P una ubongo ulio komaa mnoo ndiyo maana unaweza kupuuza na kuvumilia matusi, JF ya wakati huu ni ngumu sana kuona mtu anajibu hoja kwa hoja.

JF lilikuwa darasa tosha la kujenga hoja na kujibu hoja nzito kuhusu masuala mazito, mapana na manene ya kitaifa na kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…