Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Pasco wewe ni shetani kwenye umbo la binadamu. I hate watu wente roho yako kwa kweli na karma itakurudi wewe na kizazi chako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wee bwana pascal mbona kadri siku zinavyenda unazidi kuwa KUBWA JINGAWanabodi,
Kwa vile uchaguzi wa Zanzibar pia umesababisha vidonda na bado ni vibichi, damu bado haijakauka, hivyo naomba kuanza bandiko hili kwa a healing massage ya kuponya vidonda kwa kuungana na Watanzania wengine wote wapenda haki, amani na utulivu, kutoa pole kwa wahanga wa kilichotokea Zanzibar kwenye uchaguzi huu, ukiwemo umwakigaji damu, natoa pole kwa wote, na kama ni kweli kuna dhulma zozote zilizofanyika, then JAJI MKUU WA MAJAJI WOTE DUNIANI KWA KUTUMIA SHERIA KUU YA HAKI DUNIANI, THE LAW OF KARMA, will take care of this.
Sasa uchaguzi umeisha, life has to go on, pole sana kwa washindwa, na hongera kwa washindi.
Siasa za Zanzibar, natoa hongera kwa Dr. Hussein Mwinyi, kwa ushindi wa kishindo, cha kihistoria, haijapata kutokea toka Zanzibar izaliwe, ushindi wa zaidi ya asilimia 50%, siku zote uchaguzi wa Zanzibar matokeo huwa ni close range, lakini safari hii, ushindi wa 76% ni landslide ya funga kazi, na funga kalomo kwa vitimbakwiri vyenye maneno maneno kuhusu uchaguzi wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar yenye GNU, Maalim Seif Sharrif Hamad atakuwa Makamo wa I, wa rais, namshauri Maalim akubali uteuzi huo, kwa umri wake aliofikia, kipindi hiki kwake ni final finale, kwa uchaguzi wa 2025, kutahitajika damu changa, nashauri Jussa au Hamid apokee mikoba.
Natoa wito kwa Dr. Mwinyi, amteue, Balozi Amina Salum Ally awe Makamo wa II, ili kutoa sare sare maua na makamo wa huku bara, Mama Samia Suluhu Hassan, tena sare ya Amina Salum Ally na Samia Suluhu Hassan, itakuwa ni sare inayoendana hadi macho!.
Nakuwekea picha 2, moja macho mawili na nyingine macho manne
Pasco
Rejea ya macho
Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?
Wana MMU, Salaam. Sisi binaadamu kila mtu ana kitu chake apendacho ndani ya moyo wake, na kila akikiona hicho apendacho, anakuwa roho kwatu!. Nina swali, inapotokea wewe unapenda macho, halafu kukatokea kuna kiongozi fulani mwanamke ana jicho hilo!, wewe unapenda jicho, ukimuona huyo mwenye...www.jamiiforums.com
Makamo=MakamuWanabodi,

Maalim Seif apokee tu hiyo position ili akafight kupenyeza baadhi ya ahadi zake nyingi za kampeni zitekelezwe, kwa maslahi mapana ya Taifa.
Pia itampa nafasi ya kuijenga zaidi ACT Wazalendo huku akijiandaa kustaafu siasa kwa heshima
Akisusa maisha yatasonga tu na haitamsaidia yeye binafsi, chama chake na Wazanzibar wote
Mkiacha unafiki taifa litaenda mahala pazuri na huo muungano unaosemwa utalindwa kwa gharama zozote kiasi cha maisha ya raia kuonekana si chochote utajilinda wenyewe na kuwa muungano wa mfano.Wanabodi,
Kwa vile uchaguzi wa Zanzibar pia umesababisha vidonda na bado ni vibichi, damu bado haijakauka, hivyo naomba kuanza bandiko hili kwa a healing massage ya kuponya vidonda kwa kuungana na Watanzania wengine wote wapenda haki, amani na utulivu, kutoa pole kwa wahanga wa kilichotokea Zanzibar kwenye uchaguzi huu, ukiwemo umwakigaji damu, natoa pole kwa wote, na kama ni kweli kuna dhulma zozote zilizofanyika, then JAJI MKUU WA MAJAJI WOTE DUNIANI KWA KUTUMIA SHERIA KUU YA HAKI DUNIANI, THE LAW OF KARMA, will take care of this.
Sasa uchaguzi umeisha, life has to go on, pole sana kwa washindwa, na hongera kwa washindi.
Siasa za Zanzibar, natoa hongera kwa Dr. Hussein Mwinyi, kwa ushindi wa kishindo, cha kihistoria, haijapata kutokea toka Zanzibar izaliwe, ushindi wa zaidi ya asilimia 50%, siku zote uchaguzi wa Zanzibar matokeo huwa ni close range, lakini safari hii, ushindi wa 76% ni landslide ya funga kazi, na funga kalomo kwa vitimbakwiri vyenye maneno maneno kuhusu uchaguzi wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar yenye GNU, Maalim Seif Sharrif Hamad atakuwa Makamo wa I, wa rais, namshauri Maalim akubali uteuzi huo, kwa umri wake aliofikia, kipindi hiki kwake ni final finale, kwa uchaguzi wa 2025, kutahitajika damu changa, nashauri Jussa au Hamid apokee mikoba.
Natoa wito kwa Dr. Mwinyi, amteue, Balozi Amina Salum Ally awe Makamo wa II, ili kutoa sare sare maua na makamo wa huku bara, Mama Samia Suluhu Hassan, tena sare ya Amina Salum Ally na Samia Suluhu Hassan, itakuwa ni sare inayoendana hadi macho!.
Nakuwekea picha 2, moja macho mawili na nyingine macho manne
Pasco
Rejea ya macho
Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?
Wana MMU, Salaam. Sisi binaadamu kila mtu ana kitu chake apendacho ndani ya moyo wake, na kila akikiona hicho apendacho, anakuwa roho kwatu!. Nina swali, inapotokea wewe unapenda macho, halafu kukatokea kuna kiongozi fulani mwanamke ana jicho hilo!, wewe unapenda jicho, ukimuona huyo mwenye...www.jamiiforums.com
Asante, sisi watu wa bara, Kiswahili sanifu ni changamoto!, narekebishaMakamo=Makamu
Samahani mkuu ni hilo tu.
Shukrani mkuu.Asante, sisi watu wa bara, Kiswahili sanifu ni changamoto!, narekebisha
P
Sio issue ya CCM bara kukaaa au kukubali. Ni takwa la Katiba ya ZanzibarMaalim hawezi kuingia hapo.
Ccm bara hawawezi kukubali.
Mwinyi pazia tu hapo Zanzibar Mambo yote chamwino.
Tume huruWatasema wewe ni kibaraka wa CCM, wana hasira za kugaragazwa kwa Lissu na Mbowe!
Naunga mkono hoja. Nami nimeondoa kabisa heshima yangu kwa huyu Bwana P.Wewe nakuona kama mtu muovu hapa JF na hata siku nikisikia umepatwa na baya kutoka kwa hao unaowatetea hapa JF, hakika sitokuhurumia wala kukupa pole.
Umekosa utu kwa kiwango cha kutisha na ni mtu hatari sana wewe.
Mkuu Proved , kumsingizia mtu kuwa anatamani macho ya wakubwa, ni unajichumia dhambi bure tuu, nilichosema ni mimi huwa napenda macho fulani, na nayapenda tuu hayo macho na sio kuwatamani wenye macho hayo!.'sare zinazofanana mpaka macho'...wewe msukuma una tamaa sana.
Naunga mkono hojaMaalim Seif apokee tu hiyo position ili akafight kupenyeza baadhi ya ahadi zake nyingi za kampeni zitekelezwe, kwa maslahi mapana ya Taifa.
Pia itampa nafasi ya kuijenga zaidi ACT Wazalendo huku akijiandaa kustaafu siasa kwa heshima
Akisusa maisha yatasonga tu na haitamsaidia yeye binafsi, chama chake na Wazanzibar wote
Bro P una ubongo ulio komaa mnoo ndiyo maana unaweza kupuuza na kuvumilia matusi, JF ya wakati huu ni ngumu sana kuona mtu anajibu hoja kwa hoja.Mkuu Proved , kumsingizia mtu kuwa anatamani macho ya wakubwa, ni unajichumia dhambi bure tuu, nilichosema ni mimi huwa napenda macho fulani, na nayapenda tuu hayo macho na sio kuwatamani wenye macho hayo!.
Nitake radhi!..