PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndio maana mnaambiwa msitegemee siasa kuishi...! Mtu anaetegemea siasa kuendesha maisha yake ni rahisi sana kununuliwa, kula RUSHWA, kuishi kwa fikra za vyeo kama mtoa mada anavyofikilia nk. . mtu wa namna hiyo akivikosa hivyo chap anasaliti. Nawashauri hasa vijina jijengeni kiuchumi kwanza ndio mkimbilie siasa na hata kama unafanya siasa kuwa na vimiradi vya hapa na pale vitakupunguzia njaa njaa za kulamba watu miguu.

Unajua watu hawajui tu; siasa ya huku kwetu bara giza ni sawa na vita hasa ukiwa umeamua kupambana na vyama vikongwe kama CCM ama madude kama museni,kagame n.k. Leo hii chalamira,makonda,makalla na watu wote wanaoitafuna nchi hii hawawezi kukubali uwashushe kwenye maisha ya V8 eti wakaanze maisha ya kujifunza kupanda boda boda. Ili uing'oe CCM madarakani inabidi ujikane nafsi Yako!!!!
Jambo Hilo ni wapinzani wachache wako tayari kulifanya, wengi lazma wahanye 🀣 na wanahanya kweli....!
 
KITAKOCHOFANYIKA NI KUACHIA ACT VITI VINGI VYA UBUNGE NA MADIWANI NA BAADHI YA HALMASHAURI KWAKUFANYA HVYO CHADEMA ITAKUWA IMEKUFA NATURAL DEATH KM ILIYOKUFA CUF NA NCCR.goodbye chadema
Lkn ni bora CDM kife au unaonaje Mkuu?
 
 
Mimi niccm dam lakini chm wamefanya kitukikubwa sana refa awewangu alafu unishinde
 
Tatizo lenu watanzania ni wavivu mno kusoma na kufuatilia historia za nchi mbalimbali za afrika. Chama cha ANC cha south africa kilikaa miaka 90 bila ya kuwa na mbunge wala diwani lakini mwisho wa siku walitoboa.

Kikubwa kwenye chama chochote cha siasa ni uungwaji mkono kutoka kwa wananchi kama wananchi wanawasapoti hamtakiwi kuwa na wasiwasi.

Chama chochote kilichojiimarisha hakiwezi kufa kwa sababu hakiongelewi.
 
Nilivyosoma paragraph ya kwanza nimegundua kumbe ni kichaa ametoroka kutoka Mirembe.
 
Halafu we Ma’am Samia nitakuja kukuposa.hata USA life is hard na kuna lots of slams
Je hiyo inazuia mabadiliko ya Katiba?
 
CHADEMA ikifa ccm
CHADEMA ikifa ccm mnapata hasara gani!?
 
Halafu we Ma’am Samia nitakuja kukuposa.hata USA life is hard na kuna lots of slams
Je hiyo inazuia mabadiliko ya Katiba?
Wewe K hayo mabadiliko mnayotaka labda 2350 huko. Kwa sasa CCM imeshika hatamu.
 
CHADEMA ikifa ccm mnapata hasara gani!?
 
Ujinga wenu ni kujifananisha na Freedom fighters. Kuna mpumbavu juzi nimeona anamfananisha Lissu na Mandela. Nyakati za kupambania uhuru zilishapita mkuu. Mnataka kufanya siasa zilizofanywa na ANC, TANU, FRELIMO, UNIP miaka 70 iliyopita leo hii 2025? Kuweni serious.
 
Kweli kabisa LIKUD kaongea fact Sana ila nashangaa watu wanatoa matusi badala ya kujibu hoja zake yani nimegundua kuna watu hapa JF wanaongozwa na mihemko
Amesema" kitakachofanyika ni kuachia ACT vingi" hapa ndio kwenye msingi wa No reform No election.
Fikiria vyema.
 
Katika uzi bora usiyo na chembe ya unafiki ni huu kifupi Lissu ni dikteta asiyetaka ushauri hata mnyika alipookea vitisho kutoka kwa dikteta kuwa asiende kusaini!
Suala la mabadiliko ya sheria za uchaguzi una faida kwa wote. Mf Mgombea wa CCM mwenye ushawishi na uwezo wa kuwa kiongozi na kupata kura halali toka kwa Wajumbe, angeweza kuwa mgombea. Tofauti na sasa. CCM imekuwa ikiwateulia wanachama wao mtu wao (CCM) hata kama kumnadi ni ngumu bado watamleta kwani hawategemei kura kwenye ushindi. Rejea kina Gwajiboy.

Kwa maana hiyo mshindi yeyote awe CCM au Upinzani basi angewajibika kwa wananchi kwani ndiye chaguo lao. Na siyo hawa wa sasa ambao ni chaguo la viongozi wa CCM.

Faida ya pili ingeondoa uchawa na kuleta uwajibikaji. Na ingeweza kuwa maendeleo kwa wananchi.

Weka ushabiki pembeni acha kuwaza madaraka. Waza mabadiliko ya kweli kwenye mifumo yetu ya kiuchaguzi.

Siasa zetu kutokana na mifumo mibovu imebadilishwa kuwa ni fursa ya kibiashara na siyo fursa ya kuwapata viongozi bora wakuwaongoza wapiga kura wao kuweza kujikomboa kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…