Sidhani kama kuna nchi Afrika inaizidi Afrika ya kusini kwa wadada wenye makalio makubwa.

Napambana hapa niuze shamba la ukoo nichukue hilo zigo
Kabla hujauza shamba la ukoo hakikisha umesikiliza huu wimbo wa best nasso..


Wimbo wa best nasso_ MAISHA NI UTATA.

Ayaaaaa yayaaaaaaaaa eeeeee

Sina wa kumweleza shidaaaaa.......ni utatataaaaa

Hapo mwanzoooo nilikua na kibanda cha mchichaaaa.... Kilikua kigamboniii ila sio sana ila kilimudu kunilishaaaa ikapita bomoa bomoa eeeeeeee

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒ
 
mzee wa laifu iziii chenjee.... πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…