Sidhani kama kuna nchi Afrika inaizidi Afrika ya kusini kwa wadada wenye makalio makubwa.

Botswana haina mpinzani
Ni kweli nimewai kwenda si kwa kusimuliwa gaborone Botswana nimeishi pale miezi kadhaa umenikumbusha hii mboga yao ""morogo wa dinawa""

Kuna mgahawa unaitwa Table50two hapa unaweza ku view mandhali nzima ya jiji ngoja niishie hapo ISIJE ikaonekana nimeanza misifa / kunata na kujisifia.

Sema Mimi ni good behave personnel hivyo hao wanawake niliishia kula kwa MACHOOO TU.

+267
 
Kaka hata masaa hayajapita🀣🀣🍺🍺
Kaka kuacha ni kazi sana kaka nakwambia πŸ’―πŸ’― huwezi kuamini yaani ni ngumu kuacha pombe na nyeto muulize dronedrake anajua how's difficult kuacha punyetoo

Tupige vyombo kistaarabuu kaka maisha ni haya haya

😊😊😊😁😁
 
Mimi sitaki kuacha ila nataka nifanye mapumziko mafupi ili nifanye meditation ,tatizo naona sikosi pesa ndio kinachonifanya nisiweze kuacha kulewa🀣🀣🀣( utani)
 
Mimi sitaki kuacha ila nataka nifanye mapumziko mafupi ili nifanye meditation ,tatizo naona sikosi pesa ndio kinachonifanya nisiweze kuacha kulewa🀣🀣🀣( utani)
Mimi Kila siku jioni lazima nimalize isiyo pungua 10,000 kaka na ni Kila siku

Mpaka Jana ukashangaa kua SINAGA mapumzikoo
 
10 ni kama haujafanya matumizi mabaya bwashee πŸ€”
Days 30*10000=300,000 ukitaka uamini ngoja waje wale wazee wa kufanya equivalency utaambiwa umetumia matofali 300 Kila mweziii waki times na siku 365

πŸ˜πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Days 30*10000=300,000 ukitaka uamini ngoja waje wale wazee wa kufanya equivalency utaambiwa umetumia matofali 300 Kila mweziii waki times na siku 365

πŸ˜πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi ulevi wa siku moja ni 100.00 usd na zaid😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…