Sidhani kama kuna ukweli kuwa Waarabu walikuwa wakihasi watumwa wanaume

Sidhani kama kuna ukweli kuwa Waarabu walikuwa wakihasi watumwa wanaume

Imezoeleka sana kwa watu kusema kuwa Uarabuni hakuna watu weusi kama Amerika licha ya watumwa wengi kupelekwa huko. Wengi hudai kuwa waarabu walikuwa wajiwahasi watumwa wakiume ili wasizaliane. hili naona si jambo la kweli hata kidogo.

Sababu ni kuwa kitendo cha kuhasi mtu kilikuwa ni kitendo hatari sana. Zaidi ya nusu ya watu wote waliohasiwa walikufa kutokana na complications zilizotokana na kuhasiwa. Na watumwa walikuwa ni bidhaa ghali, hakuna ambaye alikuwa tayari kuhatarisha zaidi ya nusu ya mali yake kwa mtindo huo.

Pia kawaida watumwa wengi waliohasiwa walikuwa ni wangali bado watoto. Lengo ni wakahudumie wake wa wafalme au matajiri, au wawe wanamuziki(Wanaume waliohasiwa huimba sauti nyororo). Uhitaji wao haukuwa mkubwa kiasi hicho.

Nafikiri kuna explanation nyingione ya kwa nini watu wanaona 'hakuna' watu weusi uarabuni kama Amerika licha ya watumwa kupelekwa huko.
Kama sasa hivi askari wa kiarabu wa Saudi Arabia wakikuta wahamiaji wanaokwenda kutafuta maisha nchi nyingine mpakani mwa nchi yao wanawapiga risasi, ni nini wanachoshindwa kufanya? Mijitu mikatili sana hii.
 
Hawa ni baada ya utumwa
Kuna mtu mmoja mwenye busara aliwahi kusema mtu anae tafuta ukweli ushahidi mmoja unamtosha, ila mtu anaefuata Nafsi yake hata ushahidi Elfu moja hautoshi, wewe una Majibu yako kichwa I tuishie tu Hapa.
 
Si kweli Anaepishana na Dangote kila siku kama mtu mweusi mwenye Utajiri zaidi ni Msaudi, siku zote weusi Matajiri wanatoka Arabuni ama Africa na sio Marekani ama Ulaya.

View attachment 2727346

Al amoud Huyo.

Nchi nyingi za Kiarabu weusi wanakua hadi wafalme.
Ana utajiri gani huyo al Amoud labda? Ok nimempata ila huyu sio mtu mweusi ni mwarabu wa Yemen ana mama mu Habeshi mkuu
 
Ana utajiri gani huyo al Amoud labda? Ok nimempata ila huyu sio mtu mweusi ni mwarabu wa Yemen ana mama mu Habeshi mkuu
Top kabisa Aliyofika ni $15B, mara ya mwisho kuwa recorded ni $8.1B baada ya hapo Forbes hawamuhesabu sababu alikua detained na Salman kwenye Zile scandal za rushwa.
 
Top kabisa Aliyofika ni $15B, mara ya mwisho kuwa recorded ni $8.1B baada ya hapo Forbes hawamuhesabu sababu alikua detained na Salman kwenye Zile scandal za rushwa.
Pesa za deal hizo huwezi ita mu Africa huyo ni mwarabu mkuu.. ndio maana ana ugomvi na MBs
Ikiwa hiyo rangi ni mu Africa basi Sultan' Qabus (RiP) nae yafaa awe mu Africa
 
Wazungu wame edit history kuweka chuki ...na kujiondoa lawama ..
Utaona mostly Christians Africans Wana wachukia waarabu Kwa utumwa lakini wanaamini wazungu walikuwa watu wema waliokuja kueneza Tu dini...maovu ya wazungu kwenye utumwa hawajui wala hawataki kusikia....

Lynching Kwa mfano haipo kabisa kwenye history za waafrika
Historia ya utumwa watu wamejaribu kuificha sana hasa huku upande wa east Africa wengi hawajui vizuri historia ya utumwa duniani. Ukienda Ghana utapata historia nzuri sana ya utumwa na Kuna jamaa amefanya PhD ya historia ya blacks in America and Latin America amedocument vizuri sana haya mambo just search " blacks in Latin America" in u tube utakuta documentary za kutosha.

Lakini Kuna slave documentary ambazo zimejumuisha kizazi Cha mwisho Cha watumwa kina taarifa nyingi sana ambazo wengi hawana.

Kwa kifupi utumwa umefanywa na wazungu na waarabu wote, mbaya zaidi makanisa Yana historia kubwa sana katika utumwa wa Dunia hii na ushahidi upo, ila taarifa za kanisa katoliki mara nyingi kwa kiwango kikubwa sana hazina ushiriki wake na historia na imebakisha Ile ya kushiriki katika kuondoa utumwa tu.

Just Google "role of church in slave trade" utaona makala nyingi tu,

Tatizo watu tuna mahaba sana na dini zetu, kiasi Cha Kila mtu kutetea dini yake na kuacha kusema ukweli with facts.

Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
 
Likewise Muslim Africans wanachukia wazungu
Sababu ni zile zile
Ni upeo tu wa Kila mtu on individual basis, ukitafuta taarifa zinapatikana na ukiwa honest to yourself na Mungu wako, huwezi kuhangaika kupotosha ukweli. Hata sisi waafrika tulishiriki katika kuwauza ndugu zetu vizuri tu ila historia inapiga kimya. wenye makosa makubwa , Wahalifu, mateka wa vita walikuwa wanauzwa kama watumwa pia.

Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
 
Kama sasa hivi askari wa kiarabu wa Saudi Arabia wakikuta wahamiaji wanaokwenda kutafuta maisha nchi nyingine mpakani mwa nchi yao wanawapiga risasi, ni nini wanachoshindwa kufanya? Mijitu mikatili sana hii.
Fuatilia pia mapendekezo ya PM wa uingereza Sasa hivi kuhusu wahamiaji, halafu fuatilia wale wahamiaji wanaoenda ulaya kupitia bahari ya atlantik Nini kinawapata. Huko nchi za wenzetu karibu zote ukiwa mhamiaji haramu treatment Yako haiwi nzuri kabisa, tafuta taarifa ujiridhishe kwanza.

Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
 
Hilo linafahamika wazi,

Waarabu walihasi watumwa ambao walienda kufanya kazi katika makasri yao huko arabuni, na hata wale waliokuwa wamebaki Afrika ambao hawakuhasiwa ni wale ambao walikuwa wanafanya kazi katika mashamba ila sio wale wanaokuwa majumbani kwao na hasa kwenye 'Harem'

Hii asilimia ya weusi unayoona ni kutokana na wao waarabu kuzaa na wanawake weusi na sio mtu mweusi wa kiume kuzaa na waarabu hapana hii ilikuwa ni 0 kwa 100, sababu watumwa wa kike walivyopelekwa kuna baadhi walifanyiwa hiko kitendo wakazaa

Kuhusu kuhasiwa hiyo ni kweli, mwanzo walikuwa wanawafanyia watu wazima lakini walikuwa wanakufa sana, ndio wakagundua kuwafanyia watoto wadogo na bado takwimu zinaonesha walifariki wengi sana kati ya watoto 10 wanaweza kusurvive 3 tu lakini biashara ilikuwa inalipa sana kwani hao waliuzwa bei ya juu

Hata kizazi cha weusi ambacho unakiona sasa waliotoka utumwani ni almost zero, wengi walienda baada ya ugunduzi wa mafuta ambako ilihitajika nguvu kazi
 
Wazungu wame edit history kuweka chuki ...na kujiondoa lawama ..
Utaona mostly Christians Africans Wana wachukia waarabu Kwa utumwa lakini wanaamini wazungu walikuwa watu wema waliokuja kueneza Tu dini...maovu ya wazungu kwenye utumwa hawajui wala hawataki kusikia....

Lynching Kwa mfano haipo kabisa kwenye history za waafrika
Sijui umesoma vitabu gani, lakini bora hata huyo mzungu kaandika historia ambayo leo tunaisoma

Unazungumzia lynching je wakina chifu songea na wengine walionyongwa sio lynching?? Je hii iliandikwa kwenye kitabu gani?? Si hivi ambavyo tunasoma, Vipi kuhusu mauaji ya Congo na mbelgiji iloandikwa na nani?, Vipi kuhusu Marekani??, Na je maangamizi ya mtu mweusi yaliyofanywa na mjerumani kule afrika ya kusini??

Lakini twende upande wa pili, waarabu waliweza na walijua kuandika tokea zamani sana hata Quran iliwezwa kuandikwa miaka mingi kabla hata ya kuja Afrika sasa ni wapi waliandika ukweli kuhusu kilichofanyika let us say hapo Zanzibar tu?? Hutaona katika nakala za asili

Sababu walikuwa na desturi za kuficha ukweli, ila kiuhalisia maovu mengi sana yalifanyika na maelfu walifariki, soko la watumwa liliendeshwa na waarabu na kiujumla waliowanunua ni waarabu, wazungu etc.
 
Pesa za deal hizo huwezi ita mu Africa huyo ni mwarabu mkuu.. ndio maana ana ugomvi na MBs
Ikiwa hiyo rangi ni mu Africa basi Sultan' Qabus (RiP) nae yafaa awe mu Africa
Qaboos pia mu Africa kwa asilimia kadhaa na huko Oman ndio weusi Wamejaa kibao, Al a mood ni mu Africa pia kazaliwa Ethiopia na ni raia wa Ethiopia, Leo uki google Richest Ethiopian ni yeye,

Kuna Complicated story Baina Ya Yemen na Ethiopia, Ethiopia wametawala Yemen na Pia ni watu ambao wanafanana sana Mpaka kisayansi Dna zao zinafanana.

Pia Salman aliwaweka ndani Ndugu zake kibao binamu na wengineo huyu naye akiwemo. Alikuwa tu collateral ila hakuwa targeted yeye. Pia jela yao ilikuwa ni 5 star hotel

Hii ndo jela yenyewe
images (26).jpeg

images (25).jpeg

images (24).jpeg
 
Fuatilia pia mapendekezo ya PM wa uingereza Sasa hivi kuhusu wahamiaji, halafu fuatilia wale wahamiaji wanaoenda ulaya kupitia bahari ya atlantik Nini kinawapata. Huko nchi za wenzetu karibu zote ukiwa mhamiaji haramu treatment Yako haiwi nzuri kabisa, tafuta taarifa ujiridhishe kwanza.

Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
Hawaui watu kwa kupiga risasi. Narudia tena hawaui watu kwa kuwapiga risasi. Kwa mfano hiyo issue ya bahari ni kuwa wahamiaji wanakumbwa ajali kwa sababu ya kujaza sana vyombo vya usafiri majini. Nchi za Ulaya huwa zinaingilia kuwaokoa kama wakionekana. Saudi Arabia wanaua wahamiaji kwa risasi. Ni mijitu mikatili sana sana.
 
Imezoeleka sana kwa watu kusema kuwa Uarabuni hakuna watu weusi kama Amerika licha ya watumwa wengi kupelekwa huko. Wengi hudai kuwa waarabu walikuwa wajiwahasi watumwa wakiume ili wasizaliane. hili naona si jambo la kweli hata kidogo.

Sababu ni kuwa kitendo cha kuhasi mtu kilikuwa ni kitendo hatari sana. Zaidi ya nusu ya watu wote waliohasiwa walikufa kutokana na complications zilizotokana na kuhasiwa. Na watumwa walikuwa ni bidhaa ghali, hakuna ambaye alikuwa tayari kuhatarisha zaidi ya nusu ya mali yake kwa mtindo huo.

Pia kawaida watumwa wengi waliohasiwa walikuwa ni wangali bado watoto. Lengo ni wakahudumie wake wa wafalme au matajiri, au wawe wanamuziki(Wanaume waliohasiwa huimba sauti nyororo). Uhitaji wao haukuwa mkubwa kiasi hicho.

Nafikiri kuna explanation nyingione ya kwa nini watu wanaona 'hakuna' watu weusi uarabuni kama Amerika licha ya watumwa kupelekwa huko.

Ten Facts About The Arab Enslavement Of Black People Not Taught In Schools

1692962430310.png

1. The number of people enslaved by Arabs

The number of people enslaved by Muslims has been a hotly debated topic, especially when the millions of Africans forced from their homelands are considered.

Some historians estimate that between A.D. 650 and 1900, 10 million to 20 million people were enslaved by Arab slave traders. Others believe over 20 million enslaved Africans alone had been delivered through the trans-Saharan route alone to the Islamic world.

Dr. John Alembellah Azumah estimates in his 2001 book “The Legacy of Arab-Islam in Africa” that over 80 million more Black people died over that route.

2. Arab Enslavers Practiced Genetic Warfare

The Arab slave trade typically dealt in the sale of castrated male slaves. Black boys between the age of 8 and 12 had their scrotums and penises completely amputated to prevent them from reproducing. About six of every 10 boys bled to death during the procedure, according to some sources, but the high price brought by eunuchs on the market made the practice profitable.

Some men were castrated to be eunuchs in domestic service, and the practice of neutering male slaves was not limited to only Black males. “The calipha in Baghdad at the beginning of the 10th Century had 7,000 black eunuchs and 4,000 white eunuchs in his palace,” writes author Ronald Segal in his 2002 book “Islam’s Black Slaves: The Other Black Diaspora.”

3. Arab Slave Trade Inspired Arab Racism Toward Blacks

Its important to note that Arab is not a racial classification; an Arab is almost like an American in that people classified as Arab today could be Caucasian (white people), Asiatic or even Arabized Africans. In the beginning there was some level of mutual respect between the Blacks and the more lighter-skinned Arabs. However, as Islam and the demand for enslaved Blacks grew, so did racism toward Africans.

As casual association with Black skin and slave began to be established, racist attitudes towards Blacks began to manifest in Arabic language and literature. The word for slave —abid — became a colloquialism for African. Other words, such as haratin, express social inferiority of Africans.

4. Arab Enslavers Targeted Women For Rape

The eastern Arab slave trade dealt primarily with African women, maintaining a ratio of two women for each man. These women and young girls were used by Arabs and other Asians as concubines and menials.

A Muslim slaveholder was entitled by law to the sexual enjoyment of his slave women. Filling the harems of wealthy Arabs, African women bore them a host of children.

This abuse of African women would continue for nearly 1,200 years.

5. Arab Slave Trade Ushered in The European Slave Trade

The Arab slave trade in the 19th century was economically tied to the European trade of Africans. New opportunities of exploitation were provided by the transatlantic slave trade and this sent Arab slavers into overdrive.

The Portuguese (on the Swahili coast) profited directly and were responsible for a boom in the Arab trade. Meanwhile on the West African coast, the Portuguese found Muslim merchants entrenched along the African coast as far as the Bight of Benin. These European enslavers found they could make considerable amounts of gold transporting enslaved Africans from one trading post to another, along the Atlantic coast.

6. The Arab Slave Trade Sparked One of The Largest Slave Rebellions in History

The Zanj Rebellion took place near the city of Basra, located in present-day southern Iraq, over a period of fifteen years (A.D. 869–883). The insurrection is believed to have involved enslaved Africans (Zanj) who had originally been captured from the African Great Lakes region and areas further south in East Africa.

Basran landowners had brought several thousand East African Zanj people into southern Iraq to drain the salt marshes in the east. The landowners forced the Zanj, who generally spoke no Arabic, into heavy slave labor and provided them with only minimal subsistence. The harsh treatment sparked an uprising that grew to involve over 500,000 enslaved and free men who were imported from across the Muslim empire.

7. Arab Enslavers Avoided Teaching Islam to Blacks to Justify Enslaving Them

According to some historians, Islam prohibited freeborn Muslims from being enslaved, so it was not in the interest for Arab slavers to convert enslaved Africans to the religion. Since converting enslaved Africans to Islam would grant them more rights and reduce the potential reservoir of people to enslave, propagators of Islam often revealed a cautious attitude toward proselytizing Africans.

Still, if an African converted to Islam he was not guaranteed freedom nor did it confer freedom to their children. Only children of slaves or non-Muslim prisoners of war could become slaves, never a freeborn Muslim.

8. The Time Period

The Arab slave trade was the longest yet least discussed of the two major slave trades. It began in seventh century as Arabs and other Asians poured into northern and eastern Africa under the banner of Islam. The Arab trade of Blacks in Southeast Africa predates the European transatlantic slave trade by 700 years. Some scholars say the Arab slave trade continued in one form or another up until the 1960s, however, slavery in Mauritania was criminalized as recently as August 2007.

9. The Arab Slave Trade Allowed More Upward Mobility Than the European Slave Trade

Upward mobility within the ranks of Arab slaves was not rare. Tariq ibn Ziyad — who conquered Spain and whom Gibraltar was named after — was a slave of the emir of Ifriqiya, Musa bin Nusayr, who gave him his freedom and appointed him a general in his army.

Son of an enslaved Ethiopian mother, Antarah ibn Shaddād, also known as Antar, was an Afro-Arabic man who was originally born into slavery. He eventually became a well-known poet and warrior. Extremely courageous in battle, historians have dubbed him the “father of knighthood … [and] chivalry” and “the king of heroes.” This kind of upward mobility did not occur in the European slavery system.

10. Arab Slave Trade Not Limited To Africa or Skin Color

One of the biggest differences between the Arab slave trade and European slaving was that the Arabs drew slaves from all racial groups. During the eighth and ninth centuries of the Fatimid Caliphate, most of the slaves were Europeans (called Saqaliba), captured along European coasts and during wars.

Aside from those of African origins, people from a wide variety of regions were forced into Arab slavery, including Mediterranean people; Persians; people from the Caucasus mountain regions (such as Georgia, Armenia and Circassia) and parts of Central Asia and Scandinavia; English, Dutch and Irish; and Berbers from North Africa.

1692962576327.png

Source: atlantablackstar.com
 
Ninachokumbuka tulisoma kwenye History form 3 kuwa kizazi cha watumwa weusi waliokuwa wakienda Uarabuni walikuwa wakihasiwa ili kutozaliana kule.

Kutokea hapo niliwachukia sana Waarabu kwa kuwa miongoni mwa Watumwa walioenda kwao Babu zangu watatu walienda na hawakufanikiwa kuacha watoto hadi wanakufa.

Isingekuwa kuhasiwa ina maana leo hii ningekuwa na Wajomba Oman [emoji41]
[emoji3][emoji3]wacha tamaa sasa
 
Ni kweli kuwa kuna baadhi ya watumwa wa kiume walihasiwa kama ulivyosema. Lakini inawezekana pia kwa sababu hapakuwa na mahitaji makubwa ya nguvu kazi ya watumwa wa kiume kama ilivyokuwa Marekani ( Kaskazini, kusini na visiwani) wengi waliuzwa tena kwa wenye kuwahitaji. Vitu vingine ambavyo vilichangia kupungua kwa idadi ya watumwa ni:

1. Waarabu hawakunyang'anya utu wa watumwa kama walivyofanya wamarekani weupe. Kwa waarabu mtumwa ( pamoja na ukatili mkubwa waliomfanyia) alikuwa ni binadamu na alikuwa na nafasi ya kujikomboa na baadhi yao walifanya hivyo. Kuna watumwa walikuwa na nafasi za juu tuu katika jamii na waliaminiwa sana na walio wa own. Lakini haikuwa hivi kwa waarabu wote. Baadhi ya nchi za Afrika Kaskazini na Sahel zilikuwa kama wamarekani na waliwatendea na wanaendelea ukatili mkubwa watu weusi.

2. Tofauti na Marekani, mtoto wa mtumwa mwanamke na muarabu alikuwa muarabu. Hii imefanya wengi ambao ni weusi kujihesabu kuwa ni waarabu. Kwa Marekani, mtoto yeyote aliyezaliwa na mwanamke mtumwa alikuwa mtumwa. Hali hii ndio ilichangia kwa kiasi kikubwa kwa utumwa kuendelea kwa vizazi na vizazi. Ndio maana Marekani unaweza kumuona mtu ana rangi nyeupe lakini anahesabiwa mweusi kwa sababu tu babu yake alikuwa mweusi. Katiba ya Marekani ilisema thamani ya mtu mweusi aliye mtumwa ni 3/5 ya mtu mweupe. Marekani mtumwa alikuwa mali ghafi kama alivyokuwa ng'ombe na tajiri wake alikuwa na haki ya kumtendea chochote anachotaka.

Watu weusi wapo uarabuni lakini wanajitambua kama ni waarabu. Janjaweed wengi walikuwa weusi Lakini walijiona kuwa ni waarabu kuliko waarabu weupe.

Huu ni mjadala mzuri kama hatutauharibu kwa kuingiza masuala ya dini.

Amandla....
Alaa!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Inabidi tujiulize

? Waarabu walichukua watu weusi hapa Africa na kwenda kufanya watumwa je? Wako wapi? Mbona hawaeleweki wamepotelea wapi?

Wamewaua au ? Mbona hawana muendelezo wowote

Wamewahasi au ? Mbona hawaonekani na Mbona Waafrica walioenda mataifa mengine wanaonekana muendelezo wake na kama sio mwendelezo wake maelezo yapo kuwa waliwaua mfano ARGENTINA [emoji1033] - Kuna story ipo kuwa walikuwa wanawaua watu weusi yaani watumwa waliokuwepo au walioenda kwa kupelekwa Kama watumwa kwa hofu kuwa watazaliana na kuwa wengi na uwenda wakaja kutaka haki yao kama sehemu ya taifa?

Je? waarabu waliwafanya nn? Watu weusi walioenda/walio wachukua kama watumwa waliwaua au waliwahasi?

Hili swala sio la kidini isije? Ikaonekana kama kuna udini hapana ila ukweli usemwe ili tujue mababu zetu walifanyiwa nini?
@FaizaFoxy na The Boss wanaweza kukufafanulia zaidi
 
Tafuta hela
 
Kila kukicha mnawaza kuteswa mababu zenu, hebu fanyeni kazi, tafuteni hela. Kunung'unika na kujisikitisha na kukaa na michuki hakuna maana yoyote, narudia tena fanyeni kazi, tafuteni hela
 
Back
Top Bottom