Sidhani kama kuna ukweli kuwa Waarabu walikuwa wakihasi watumwa wanaume


ushaanza kutetea mabwana zako
 
Kamsikilize Prof PLO Lumumba, hili swala amelifanyia utafiti mkubwa, Arabs walihasi wanaume,
 
Ukitaka kujua Mwarabu si mtu, mpeleke ndugu yako akafanye kazi za ndani huko Uarabuni!!! Akibahatika ataishia kunyonyesha mbwa.
 
Kinachoendelea Kwa hao dada wanaoenda huko Sasa ni kielelezo cha kilichowapata hao waliopelekwa huko enzi za utumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…