Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Hata mama yako kwa baba yako ilikuwa hivyo hivyo au ilikuwa tofauti.....
Wewe una spiritual problem hivyo unakutanishwa na vimeo wenzako
WANAUME MLIVYO ADIMU NA WACHACHE HAMNA MWANAMKE WA KUKUFANYIA HIVYO
Wewe na Comment yako wote ni Vibonzo🤣
 
Pole sana mkuu, vumilia yatapita
 
 
Si uwaache waishi pamoja
 
Ni vema ungesema kwa binafsi yako kuwa wewe unaeleweka, lakini si kwa kutumia ujumla, kiukweli wengi wenu hamueleweki..
Aaah hakuna mwanamke haeleweki. Mnakwama wapi vichwa vya familia bwana!!!!
 
Hivi mnaposema akili MNAMAANISHA NINI?
Akili hizi hizi za akina Isac Newton Bill ambao ndo ziliwashinda (Newton ndio kabisa hakuoa) au AKILI GANI?

#YNWA
Muulize babu atakuelewesha. Ungeenda jando hata usingeuliza.
 
Mwanaume asiyejua kubembeleza❌
Kumbembeleza nani? Tapeli wa mapenzi? Bora waoigwe mimba,waachwe. Hakuna namna.
WeedLiquorz , ukiona hivo,jua nafsi imegoma. Acha kabisa,usilazimishe. Mara nyingi kuna kitu unaepushwa.
Lakini pia,angalia type ya watu unaohangaika nao. Mtu umemkuta baa! Unaanzaje kumtaka awe wa kanisa!?
 
Hata kwenye kukusaliti
 
ukiwaza na kuomba hilo, likutokee tu au usipotekeleza wajibu na majukumu yako kifamilia kikamilifu hilo litakupata tu bila wasiwasi wowote 🐒
Hapana,si kweli. Hii hali si kwa wote,ila kwa wengi ndo ilivyo. Hasa inategemea na mtu alie nae. Kama kaoa baa,amemkuta anasubiri walevi,na hakika wangekuja,kazoea bia,atamuweza? Labda angeoa wa kanisani aliekuwa anamsubiri Mesiah,huenda yeye angekuwa mvumilivu.
 
uko sahihi,
umeongea kwa upana na ujumla sana, na hayo ni maandalizi mazuri kuzingatia sifa na vigezo muhimu kuepuka fedheha badala ya sitara.....

ile ya maana zaidi ni kukaa nyumba moja na msaidizi, ni hatari kuishi pekeyako na una uwezo wa kuishi na mke ila fear of unknown inakusumbua....

hilo ni ni Tatizo na hua ni mwanzo wa matatizo mengi pia 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…