johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ngoja tuone bwashee!Humjui Lissu wewe umemjulia chadema waulize walimu na wanafunzi wenzake tangu msingi mpaka chuo ,yule sio mwenzetu kabisa ana msimamo na haogopi njaa
Haogopi njaa wapi, labda useme tu ana backup ya mabeberu, akimaliza kazi aliyotumwa anarudi huko ubelgiji kura matunda ya usaliti.Humjui Lissu wewe umemjulia chadema waulize walimu na wanafunzi wenzake tangu msingi mpaka chuo ,yule sio mwenzetu kabisa ana msimamo na haogopi njaa
MTU yeyeto aliyeumizwa katu hawezi unga juhudi check tu hata waliojiuzaNa ataanza kusifu na kuabudu kwanjia zote.
Hata wewe TL humjui, unajua anayoyasema tu publicly lakini matendo yake ukiyajua yote utashangaa kwamba TL uliyekuwa naye shuleni na chuoni siye unayemzungumza sasa. Kila binadamu hubadilika, na madaliko ya kila binadamu sio lazima yaonekane hadhiri na kila mtu. Ana strength ya kutosha lakini pia anazo weaknesses za kutosha!Humjui Lissu wewe umemjulia chadema waulize walimu na wanafunzi wenzake tangu msingi mpaka chuo ,yule sio mwenzetu kabisa ana msimamo na haogopi njaa
Katumwa aje afanye nini na mabeberu hebu tuelimisheni na sisi tufahamu?Haogopi njaa wapi, labda useme tu ana backup ya mabeberu, akimaliza kazi aliyotumwa anarudi huko ubelgiji kura matunda ya usaliti.
Hakika bwashee..... Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!Hata wewe TL humjui, unajua anayoyasema tu publicly lakini matendo yake ukiyajua yote utashangaa kwamba TL uliyekuwa naye shuleni na chuoni siye unayemzungumza sasa. Kila binadamu hubadilika, na madaliko ya kila binadamu sio lazima yaonekane hadhiri na kila mtu. Ana strength ya kutosha lakini pia anazo weaknesses za kutosha!
Kama ameweza kusifu na kuabudu vitendo vya kishoga atawezaje kukataa ofa ya unaibu waziri wa katiba na Sheria?MTU yeyeto aliyeumizwa katu hawezi unga juhudi check tu hata waliojiuza
Tusubiri November bwashee!Lissu is another level bwa shee!! acha kabisa!!
Hakika bwashee..... Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!