Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aweke akiba ya maneno sio kuropokaropoka ovyo. Nimemsikia akibeza hiyo ofa eti magufuli awaokote wale maprofesa wa jalalani. Baada ya uchaguzi bila shaka yeye na chadema watashindwa vibaya mabwana zake watabaini kibaraka wao hana faida watambwaga atakosa hela ya kula.
Lissu anaogopa njaa sana! Unakumbuka ile clip ya kuomba hela wakati alipokwenda Marekani? Na tagia hapo kila akisimama, kibwagizo cha hotuba zake ni kutembeza bakuli - anaomba hela. Hizo ni dalili za woga wa njaa.Humjui Lissu wewe umemjulia chadema waulize walimu na wanafunzi wenzake tangu msingi mpaka chuo ,yule sio mwenzetu kabisa ana msimamo na haogopi njaa
Natamani kukuambia mbona huna adabu? Ulipaswa kusema hivi Rais Tundu Lissu atampa gazi Magu kama hata mfunga kwa makosa ya kijinai atakayo kuwa amefahamika kafanya?Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.
Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.
Lissu jiwekee akiba hii ahadi.
Maendeleo hayana vyama!
Atamimi naamini sidhani kama magu atakataa kuteuliwa na lisu baada ya uchaguziUkiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.
Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.
Lissu jiwekee akiba hii ahadi.
Maendeleo hayana vyama!
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.
Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.
Lissu jiwekee akiba hii ahadi.
Maendeleo hayana vyama!
Kwanza hiyo ni rushwa ya uchaguzi, kwani ameambiwa hana kazi ya kufanya?
Mweleze wazi kuwa ameanza utetezi wake tangu akiwa shuleni, alikubali asimamishwe masomo Tanga school ili kusimamia anachoaminiHumjui Lissu wewe umemjulia chadema waulize walimu na wanafunzi wenzake tangu msingi mpaka chuo ,yule sio mwenzetu kabisa ana msimamo na haogopi njaa
Hata wewe TL humjui, unajua anayoyasema tu publicly lakini matendo yake ukiyajua yote utashangaa kwamba TL uliyekuwa naye shuleni na chuoni siye unayemzungumza sasa. Kila binadamu hubadilika, na madaliko ya kila binadamu sio lazima yaonekane hadhiri na kila mtu. Ana strength ya kutosha lakini pia anazo weaknesses za kutosha!
Amekataa hizo offer na amesema hizo ni kwa ajili ya wanaotokea majalalani.Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa (hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.
Sina shaka baada ya uchaguzi, Tundu Lissu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.
Lissu jiwekee akiba hii ahadi.
Maendeleo hayana vyama!
Dr Slaa aliwahi kuifananisha CCM na choo lakini leo ni mteule wa mwenyekiti wa CCM!Amekataa hizo offer na amesema hizo ni kwa ajili ya wanaotokea majalalani.