Uchaguzi 2020 Sidhani kama Tundu Lissu atakataa ofa ya uteuzi wa Rais baada ya Uchaguzi

Kama ni kazi stahiki ambayo Magufuli angempa Lissu ni kumpisha tu kwenye huo urais kwani Magufuli ameshindwa hata kujua uzito na unyeti wa hiyo kazi.
 
Hawezi kukataa kuwa balozi wetu kule Ubelgiji au UN. Atafaa sana kututetea UN kwani lugha ya kimombo anaiweza weza.
 
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.

Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.

Lissu jiwekee akiba hii ahadi.

Maendeleo hayana vyama!
Meko msipoangalia ataweza kuhutubia huku anakunywa kvant
Screenshot_20200901-215127_Twitter.jpeg
 
Haogopi njaa wapi, labda useme tu ana backup ya mabeberu, akimaliza kazi aliyotumwa anarudi huko ubelgiji kura matunda ya usaliti.
Hoja hiyo ilishakosa mashiko, no one buys such a foolish propaganda!
 
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.

Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.

Lissu jiwekee akiba hii ahadi.

Maendeleo hayana vyama!
Bado nasisitiza Mwenyekiti wetu angewekeza muda kuelezea yapi aliyofanya miaka mitano na kwa sasa matatizo gani haswa waliyonayo watanzania ambayo yanapaswa kushhulikiwa kuondoa umaskini wa mtanzania mmoja mmoja
 
Kuna muongo zaidi ya mzee pombe?
Yule mzee ni muongo na ni kigeugeu, tulianza kutafukua nukuu zake watakimbia hapa.

Juzi wakati anahutubia dodoma alisema tena tupo uchumi wakati nilishika kichwa, this uchumi wa kati saga is totally wrong and crap nashangaa wanaunadi majukwaani bila hata aibu. Hawakuelewa kilichoandikwa ama wameamua iwe propaganda kama kawaida yao, LOL!
 
Hii ndiyo taabu ya kuishi kwa shemeji yako, unakaa tu hadi unakosa cha kuandika
Haogopi njaa wapi, labda useme tu ana backup ya mabeberu, akimaliza kazi aliyotumwa anarudi huko ubelgiji kura matunda ya usaliti.
 
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.

Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.

Lissu jiwekee akiba hii ahadi.

Maendeleo hayana vyama!

Kuna uteuzi gani wa maana serikalini! unateuliwa leo unafukuzwa kesho! hawezi kuingia kwenye huo mtego wa kijinga. Kitu ambacho atakubali ni kamati tu lakini sijui ukuu wa mkoa au uwaziri hata kubali. Tujue Lissu ana uwezo wa kuwa na ofisi yake kubwa tu na akaingiza pesa kama Attorney
 
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.

Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.

Lissu jiwekee akiba hii ahadi.

Maendeleo hayana vyama!
Magufuli atashindwa uchaguzi huu vibaya sana labda kuliko mgombea yeyote duniani aliyewahi kuwa Rais , na atajuta kumfahamu Lissu , hatokuwa na uwezo wa kuteua mtu yeyote maana viongozi hawateuliwi na mtu wa kijiweni
 
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.

Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.

Lissu jiwekee akiba hii ahadi.

Maendeleo hayana vyama!
Jibuni kwanza Maswali yake
Mnataka kumficha yule Baba Muuaji kwenye hichi kichaka
 
Haogopi njaa wapi, labda useme tu ana backup ya mabeberu, akimaliza kazi aliyotumwa anarudi huko ubelgiji kura matunda ya usaliti.
Mbuzi Jike mnapenda sana Kuyataja taja Ma beberu
 
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.

Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.

Lissu jiwekee akiba hii ahadi.

Maendeleo hayana vyama!
Ishiiii wee jamaa.. Hii inaonyesha vijana wengi wa Lumumba, mnaishi na kuoshabikia ccm sababu ya njaaa

KAMA KUNA MWANASIASA ANAYEISHI KWA KUHESHIMU SHERIA ZA KICHWA CHAKE NI T.LISSU.

Huko mwanza, wasukuma leo tulikua tunaimba

"Bora koronaaa....Kuliko Magufuli"
 
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.

Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.

Lissu jiwekee akiba hii ahadi.

Maendeleo hayana vyama!
Aweke akiba ya maneno sio kuropokaropoka ovyo. Nimemsikia akibeza hiyo ofa eti magufuli awaokote wale maprofesa wa jalalani. Baada ya uchaguzi bila shaka yeye na chadema watashindwa vibaya mabwana zake watabaini kibaraka wao hana faida watambwaga atakosa hela ya kula.
 
Ni vigumu kupingana na wewe moja kwa moja kwenye hili. Kama Dr Slaa alifika bei lolote linawezekana mkuu.
 
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.

Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.

Lissu jiwekee akiba hii ahadi.

Maendeleo hayana vyama!

Sioni tofauti ya kutoa ofa kwa mshindani wako ili akupishe upate kura zake baada ya kuona kumwibia ni issue kubwa na rushwa. Sasa hao Tume sijui hawaoni kama mgombea amekosa sifa? Na huu ndio upuuzi wa Tume kutokuhojiwa na matokeo ya Urais kutochungunzwa vile vile.
Kama anajua Lissu atashindwa, kwa nini anataka ajitoe? Ili apate asilimia kubwa?
 
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.

Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.

Lissu jiwekee akiba hii ahadi.

Maendeleo hayana vyama!
Na hii ndo shida kubwa ya Magufuli na CCM. Yaani mnawafanya watanzania wajinga na wapumbavu kiasi kwamba mnafikiria kila mtanzania atakuwa na bei!!
Mmechelewa sana. Watanzania tunaojielewa Tupo wengi sana!!
 
Back
Top Bottom