Uchaguzi 2020 Sidhani kama Tundu Lissu atakataa ofa ya uteuzi wa Rais baada ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Sidhani kama Tundu Lissu atakataa ofa ya uteuzi wa Rais baada ya Uchaguzi

Hatutaki akae hukohuko, jitu ongo huyu si ndio kasababisha akina Zitto Kitila Kafulila mghamba wakafukuzwa chadema, maramia membe arudi, huyu no.

Haya machapombe abaki nayo mbowe mwenyewe,
Haahaa magu maji ya shingo
 
Nani ambaye ataomba cheo kwa mwenzake baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu!? Lissu ni mzaliwa wa miaka ya mwishoni mwa 1960s wakati aliyepo madarakani ni mzaliwa wa miaka ya 1950s.

Moja yupo kwenye kundi la wastaafu tena ni mfungwa mtarajiwa kutokana na matendo yake ya kidhalimu na kutokutii katiba, sheria na kanuni, wakati mwingine ana fursa zote za kitaifa na kimataifa za kuendesha maisha yake popote pale duniani na pia asiyekuwa na mawaa.
 
Lissu ni typically mtu wa singida, ni kawaida yetu kutokuwa wanafiki na kuwa na misimamo, nani anaamini hadi leo Nyalandu hajaunga juhudi? Hawa ndio tafsiri sahihi ya watu wa singida. Mwigulu na mkumbo ni ubinafsi wa kinyiramba tu unawasumbua.
 
Lissu ndo mpinzani pekee anayeaminika na watanzania, pia in mzalendo wa kweli
Lisu sio mzalendo anashirikiana na wazungu,

Hao ndio wanaompa fedha za kampeni,

Kwenye hotuba zake nyingi anasema wazi kabisa kuwa wakoloni walipaswa kubakia watutawale, kwa maana kwamba katika uongozi wake wazungu watakua sehemu yake, jiandae kuwa mtumwa tena Lisu akishinda.
 
Lissu the GREATEST hakuokotwa jalalani.



Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa ( hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.

Sina shaka baada ya uchaguzi Tundu Lisu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.

Lissu jiwekee akiba hii ahadi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Lisu sio mzalendo anashirikiana na wazungu,

Hao ndio wanaompa fedha za kampeni,

Kwenye hotuba zake nyingi anasema wazi kabisa kuwa wakoloni walipaswa kubakia watutawale, kwa maana kwamba katika uongozi wake wazungu watakua sehemu yake, jiandae kuwa mtumwa tena Lisu akishinda.
Kama lissu sio mzalendo basi hapa nchini wazalendo wote wamekwisha.magu hamfikii lissu kwa uzalendo hata nusu.
 
Humjui Lissu wewe umemjulia chadema waulize walimu na wanafunzi wenzake tangu msingi mpaka chuo ,yule sio mwenzetu kabisa ana msimamo na haogopi njaa
Hakuna mtu mwenye msimamo ambaye angeweza kumpamba fisadi lowasa 2015 kama alivyofanya lisu ikizingatiwa kwamba anadai yeye ndiye aliyeandika ile orodha maarufu ya mafisadi, he simply is another opportunist. Tazama wanaomfahamu vyema walivyoandika kumhusu.

"Tundu Lissu: A thuggish lawyer who is making a lot of noise against multinationals but is currently awash with [consulting] cash from multinationals".
 
Haogopi njaa wapi, labda useme tu ana backup ya mabeberu, akimaliza kazi aliyotumwa anarudi huko ubelgiji kura matunda ya usaliti.
Unanikumbusha tulipoingia JKT kuna recruit mwenzetu alimkomalia afande siku ya kwanza tu akamwambia, "Mimi ndiye dudu baya kama hunijui. Naogopa NJAA tu na MUNGU kidooooogo!
 
Atakataa vipi huyu mchumia tumbo? Anavyo jiachia kwa raha zake tangu arudi Tanzania huwezi amini, kuwa ndiye aliye kuwa anazunguka huko Ulaya na Marekani kuichafua Tanzania.
 
Back
Top Bottom