Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau alikataa offer ya kufa kwa risasi 16 mwilini.Ngoja tuone bwashee!
Kuna mtu nilikutana naye anasema ..lah jamaa ana roho ngumu....haogopi kupigwa risasi tena?Lissu si mtu wa mchezo mchezo wewe usimuangalie kiwoga woga.
Wewe ni zaidi ya mwenyekiti wa CCM taifa?!Hatutaki akae hukohuko, kitu ongo huyu si ndio kasababisa akina Zitto Kitila Kafulila mghamba wakafukuzwa chadema, maramoja membe arudi, huyu no.
Haya machapombe abaki nayo mbowe mwenyewe,
Unasema?!!Kama anaona wanamfaa ahamie yeye huko chadema
Hata unyapara magereza ni unyapara pia!Sidhani kama Magufuli atakataa ofa ya Lissu kuwa mnyapara kwenye kujenga mabarabara. Anavyopenda kukariri idadi za kilomita? Kwa hakika ataridhia tu!
CCM Niya wanachama, cdm ndio Mali ya mwenyekitiWewe ni zaidi ya mwenyekiti wa CCM taifa?!
Kawauza waunga juhudi hawana hamu kwa ahadi hewaKama ameweza kusifu na kuabudu vitendo vya kishoga atawezaje kukataa ofa ya unaibu waziri wa katiba na Sheria?
Bahati nzuri lengo lake halitafanikiwa, maana serikali imeshajua nia yake, kwa hiyo baada ya uchaguzi ajiandae kurudi alikotoka kwa aibu. Watanzania wameshamwelewa Magufuli, hakuna atakayekuwa tayari kuhatarisha amani ya nchi kwa maslahi ya mtu mmoja na kikundi chake.Katumwa aje afanye nini na mabeberu hebu tuelimisheni na sisi tufahamu?
Mgombea wa ccm ni msanii kawauza waunga juhudi kwamba angewabeba wakauza utu wao Leo hawana hamu
Kuna mtu nilikutana naye anasema ..lah jamaa ana roho ngumu....haogopi kupigwa risasi tena?
Nikamwambia sauti ya Mungu huwa haikwepeki....Sauti ya Mungu ina ujasiri wa ajabu... haya ni maono na hizi ni moja ya project za kinabii ambazo huwezi kuzikwepa.
Go Lissu goo....Mungu yupo na wewe!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sidhani kama Magufuli atakataa ofa ya Lissu kuwa mnyapara kwenye kujenga mabarabara. Anavyopenda kukariri idadi za kilomita? Kwa hakika ataridhia tu!
Naona umeshindwa kujibu swali umeamua kuteka shudu tu, Lissu 2020 ni yeye!Bahati nzuri lengo lake halitafanikiwa, maana serikali imeshajua nia yake, kwa hiyo baada ya uchaguzi ajiandae kurudi alikotoka kwa aibu. Watanzania wameshamwelewa Magufuli, hakuna atakayekuwa tayari kuhatarisha amani ya nchi kwa maslahi ya mtu mmoja na kikundi chake.
Aisee kwa Lissu na mapambano yake sio rahisi kasi hicho unafkiri kabla ya kupigwa risasi hawakuwahi kuweka pesa mezani?mwisho fikiri Lissu asingekuwepo uchaguzi huu ungekuwaje?
Juakali,karanga,hawana hamu mlimuhaidi karanga mtamlipia madeni yake baada ya kuunga juhudi anapambana na hali yakeKama ameweza kusifu na kuabudu vitendo vya kishoga atawezaje kukataa ofa ya unaibu waziri wa katiba na Sheria?