Uchaguzi 2020 Sidhani kama Tundu Lissu atakataa ofa ya uteuzi wa Rais baada ya Uchaguzi

Kwa siasa za nchi hii na njaa za wadanganyika, haiwezi kutushangaza!
Alikuwepogo Mrema!
Mamvi, Sumaye, Nassari, Lijuakali, Kitila, e.t.c

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Hongera mwanakondoo mwenye kuabudia watu
 
Humjui Lissu wewe umemjulia chadema waulize walimu na wanafunzi wenzake tangu msingi mpaka chuo ,yule sio mwenzetu kabisa ana msimamo na haogopi njaa
Lissu anaogopa njaa sana! Unakumbuka ile clip ya kuomba hela wakati alipokwenda Marekani? Na tagia hapo kila akisimama, kibwagizo cha hotuba zake ni kutembeza bakuli - anaomba hela. Hizo ni dalili za woga wa njaa.
 
Atapewa ubunge wa kuteuliwa, kisha "waziri wa katiba na sheria " Ccm itakuwa inatembea mwilini kwake kama damu
 
Natamani kukuambia mbona huna adabu? Ulipaswa kusema hivi Rais Tundu Lissu atampa gazi Magu kama hata mfunga kwa makosa ya kijinai atakayo kuwa amefahamika kafanya?
 
Atamimi naamini sidhani kama magu atakataa kuteuliwa na lisu baada ya uchaguzi
 

Naona mkuu na wewe hukumuelewa Kikwete alipotahadharisha kuhusu Lissu. Jiulize, Kikwete alikuwa radhi “kucheka” na “Rais” Slaa lakini si “mbunge” Lissu.

Halafu Kikwete alimshika bega JPM na kututangazia rasmi kuwa “nawaletea chuma hiki; kinatema cheche!” bado hatukuipata. Akaongeza: “mtanikumbuka”, tukam’beza sana. Leo hii ni kizunguzungu tu. Ama ni kuimba mapambio ya sifa na utukufu, kuunga miguu juhudi, au kulaani bila kikomo. Hata maprofesa wanashukuru kutolewa majalalani! Salute to JK.
 
Humjui Lissu wewe umemjulia chadema waulize walimu na wanafunzi wenzake tangu msingi mpaka chuo ,yule sio mwenzetu kabisa ana msimamo na haogopi njaa
Mweleze wazi kuwa ameanza utetezi wake tangu akiwa shuleni, alikubali asimamishwe masomo Tanga school ili kusimamia anachoamini
 

Waulize wataalamu wa saikolojia. Si kawaida kwa mtu aliyepitia “experience” ya “near death” ya Lissu kurejea uzimani na kubaki vilevile na haiba, nguvu na misimamo yake ileile. Hakika Lissu si mtu wa kuwa “subservient” kwa binadamu yeyote yule na ni mpigania haki - at all cost. Wako watu wa aina hiyo duniani. JK alipatia kuhusu huyu mtu. Na waliotaka kumuondoa kwa risasi kama “final solution” wanajua hilo.
 
Mwnyakiti hana agenda hata moja baadala yake anakosa cha kusema mbele ya wapiga kula wake.
kwa mfano alipaswa kueleza yapi ameyafanya kwa kipindi cha miaka mitano na ameishia wapi na atafanya nini lakini cha ajabu anaishia kusema watu kama vile yaye hakuwa Rais
 
Huwezi ukamfahamu mtu kwa asilimia mia moja, people change at any time so trust people at your own risk.
 
Amekataa hizo offer na amesema hizo ni kwa ajili ya wanaotokea majalalani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…