Sidumu kwenye mahusiano

Bro labda sijui jinsi ya kukuona vizuri ila najitahidi kwa uwezo mkubwa sana mpaka mwingine anasema anaumia
 
Usiwe mkali tu kwa wanawake bila sababu ya msingi, kua mkali pale wanavyo ku dissapoint na kuvuka mipaka yako.

Wanawake ni emotional wanaongea wanavyojisikia, wanafanya watachojisikia, Wanakupima!! What to do to controll them? Just make sure she is doing the right things to you, Tell her what you want, Tell her what you hate, Be a man of your words.

I'm logging out now, Don't be a Nice guy, Do the right things, Never allow disrespect from Women, They will use you!
 
Sawa bro nitalizingatia hilo na nipo kwenye mchakato wa kufind another girl nita apply hili wazo lako zuri alafu nitaleta mrejesho

Thank you so much bro, I wish tungekua pamoja tunashusha alcohol
 
Ukikua utajua tu dogo. Kama hujamuandaa vema na kumfanya awe wet ni lazima atahisi maumivu au ataona kero tu unampotezea muda wake tu
Kweli bro haya unayoyasema ni ya kweli ila kuna mademu hawawet kabisa, kuna mmoja nilikua nae 2 years ago alikua hawet hata ufanye foreplay ya aina gani
 
Mahusiano mengi Sasa hivi hayana formula, huwezi kutumia muda mwingi kuwa karibu na mwanamke na Mambo mengi ya maana Kama kutafuta pesa yakawa bado yanakusubiri then bado unakomaa na mahusiano.

Mahusiano ya kweli ni Yale ya kuelewana na kuvumiliana katika kila Hali, Kuna msemo unasema "A man with dream need a woman who believe" Hapo hao ndo wanaitwa soulmates.

Huna kosa kuzidi hao wanawake uliowaacha, kwasababu hakuna binadamu aliyekamilika, ni kwasababu tu haikupangwa kwamba udumu na hao wanawake Kwa muda mrefu au kuwa nao kabisa kwenye mahusiano ya kudumu.

Tumia muda mwingi kujijenga, tafuta pesa, ukiona mwanamke amekuvutia jaribu bahati yako, ikishindikana piga chini, nasisitiza jijenge, ipo siku utapata wa kufanana nae.
 
Moja ya ushauri mzuri uliojaa hekima ni huu kutoka kwako Lighton , nimekuelewa sana nitafanya hivyo na nimeanza kufocus na mkwanja ili nijijenge vizuri japo sijawahi kufikiria kuoa ila nitakua na demu ambae tutaelewana naamini bado sijampata wa kufanana nae, from today nikiona demu analeta miyeyusho mimi ndie nitaanza kumtema na ni nimeeka nia sitampa asilimia zaidi ya 40 kwa upendo kwa mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…