Kulikua na ulazima wa kutuletea MTU kama Batilda Buriani kweli??
Au mkuu wa mkoa wa Dar??
Hii recycling ya viongozi wale wale Kila awamu mpaka lini
Watuweke wazi tu kuwa kuna Tabaka la watawala na watawaliwa.
..salama yetu inatakiwa iwe kwenye KATIBA.
..vilevile tuwe na bunge lenye utashi wa kuisimamia serikali.
Aya ni majungu tu, maana ujamtaja uyo mtu,Kama Ni Sabaya tayari ananyea ndoo.
Kama unashindwa kuona mpaka Leo kwa macho yako mwenyewe ni lipi haswa sisi tunaweza kukuonyesha??EeeenHeee, imenibidi nicheke mkuu wangu, baada ya kusoma ulichoandika hapa.
Matumaini yako umeyawekeza kwa huyu mama? Hebu tuonyeshe ishara zinazokupa hayo matumaini ili nasi tuyalee matumaini hayo.
Watanzania ndivyo walivyo mkuu.Nadhani hata kazini kwako wanapata tabu sana na wewe. " majungu, majungu, majungu tu na wivu".
Post yako hii imekaa kimajungu
Mkuu,Mama yupo katika kona ngumu. JK kwake ni kiongozi aliyemtoa Unguja na kumleta bara, alimlea kisiasa hivyo asemalo hawezi kulipinga.
Hivyo hao wanaorudishwa sasa hivi ambao ni watu wa JK ambao Mama aliwakuta baada ya kuja bara wanatakiwa kuwa ni uzalendo badala ya kuanza kurudisha wizi maofisini na magenge ya kitapeli yanayosubiri pesa za bure bure za udalali.
Wanaorudishwa kwa mgongo wa JK wanayo kazi ya kuitazama Tanzania ya sasa na kuwa na ubunifu wa kuongeza tija badala ya kufikiria kuwa wamepata chaka la kutajirikia.
Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetuKulikua na ulazima wa kutuletea MTU kama Batilda Buriani kweli??
Au mkuu wa mkoa wa Dar??
Hii recycling ya viongozi wale wale Kila awamu mpaka lini
Watuweke wazi tu kuwa kuna Tabaka la watawala na watawaliwa.
Kila nikikumbuka awamu ya JK,Najiskia aibu kujitambulisha kama mTZMkuu walengwa wa hii thread wanaelewa. Unapotaja majina una-risk moderators kuifuta thread yako maana nao hupewa sana shinikizo. Nikitaja majina inabidi nieleze kisa chote, jinsi walivyoomba msaada wa magari kwa niaba ya serikali, wakapewa, kisha wao na watu wa wizara ya Mambo ya Nje wakaamua kujimilikisha. Haikugundulika hadi wahisani walipoongelea huo msaada kwa JK, wakakuta JK anashangaa, msaada upi wa magari mlitupa, mbona haukufika!!!
Hujui kitu nyamaza watu wakufundisheMkuu,
Mama amejipambanua kuwa ni kiongozi mwenye kuskiliza watu. Kiongozi wa watu na wala sio kiongozi wa malaika.
Mama anapokea ushauri, na kwa hakika hakuna kiumbe ambae atampa ushauri wa kujenga zaidi ya Mheshimiwa Kikwete. Yeye ndio Rais mstaafu aliye active kwa sasa.
Tusishughulishwe na maneno ya hawa wanaolalamika kila kukicha. Hawa hawana shukran mkuu, wakiskilizwa kelele wasiposkilizwa kelele.
Wakiskilizwa wanasem oooh mama anapenda mitandao, wasiposkilizwa kama alivyokuwa akifanya hayati Magufuli wanasema oooh kiongozi gani hashauriki.
Mama ametuonesha yeye ni kiongozi wa aina gani na ndio maana Sisi tunaojua kuhusu administration tunasema "Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu "
Kumuweka kibaraka wa Rostam , wewe unamjua Rostam Azizi wewe, unamjua vyema JK! Acha kuongea mambo ya vijiweni! Unaijua Boys to Men! Acha tu, mama amebanwa mbavuMama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
Hawatakuelewa hawa.Msimpangie mama wa kumteua,mwacheni
Wewe unajua siyo hawa pimbi ambao … niachie hapoKila nikikumbuka awamu ya JK,Najiskia aibu kujitambulisha kama mTZ
Sio wewe wala genge lako, hamna cha kunifundisha nyinyi.Hujui kitu nyamaza watu wakufundishe
Haya ndio majungu nliokwambia. Hahahahaah!Kumuweka kibaraka wa Rostam , wewe unamjua Rostam Azizi wewe, unamjua vyema JK! Acha kuongea mambo ya vijiweni! Unaijua Boys to Men! Acha tu, mama amebanwa mbavu
Hujui kitu wewe!Sio wewe wala genge lako, hamna cha kunifundisha nyinyi.
Sisi tutamaliza miaka yetu mitano ya utumishi kwa wananchi nyinyi mkiwa hapo hapo mnalalamika tu na kufanya majungu na fitna....
You are so stupid my beloved friend! I know them pretty well dogo! Kaa kimya. Bahati mbaya hujui nini JK alikuwa akisema 2015 wakati anakaribia kung’atutaka.Haya ndio majungu nliokwambia. Hahahahaah!
Kwahiyo wewe ndio unamjua Rostam?? Typical small mind, how can you discuss people??
Mkuu unapenda sana kurudia rudia hoja ya Mama kuwarudisha watu wa JK! Hivi unaweza kutuorodhoshea hapa hao watu wa JK tuone idadi yake?! Mbona wakati Jiwe anawateua akina Makamba hamkusema kwamba anarudisha watu wa JK? Swali la pili kuhusu Jiwe unaweza kuachana nalo, lakini ningependa kuona ukiorodhesha hao watu wa JK !Mama yupo katika kona ngumu. JK kwake ni kiongozi aliyemtoa Unguja na kumleta bara, alimlea kisiasa hivyo asemalo hawezi kulipinga...
Ni Dr Batilda Buriani? Msifiche, tajeni tu ili wahusika kama hawajui wafanyie kazi.nyakati zimebadilika, ila huyo unknown is known na ni maarufu pande za arusha, sasa watu bado wanalazimisha mtoa mada amtaje...