Sielewi kwanini mtu aliyechakachua msaada wa serikali na kujimilikisha enzi za Kikwete, akaondolewa leo anateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa

Sielewi kwanini mtu aliyechakachua msaada wa serikali na kujimilikisha enzi za Kikwete, akaondolewa leo anateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa

Mbona hukusema hivyo jiwe alipomteua Simbachawene, Lukuvi au Mwakyembe ?
Kulikua na ulazima wa kutuletea MTU kama Batilda Buriani kweli??

Au mkuu wa mkoa wa Dar??

Hii recycling ya viongozi wale wale Kila awamu mpaka lini

Watuweke wazi tu kuwa kuna Tabaka la watawala na watawaliwa.
 
Aya ni majungu tu, maana ujamtaja uyo mtu,Kama Ni Sabaya tayari ananyea ndoo.

Na kwa nn uone sasa hivi tu ? Ingawa hujamtaja lkn Jiwe alikuwa bingwa wa kutumbua kwa mbwembwe na kashfa, hasira then anawarudisha tena...

Wengi tuuu akina Mwigulu, yule alikuwa Mkuu wa fire dept, Simbachawene nk
 
EeeenHeee, imenibidi nicheke mkuu wangu, baada ya kusoma ulichoandika hapa.

Matumaini yako umeyawekeza kwa huyu mama? Hebu tuonyeshe ishara zinazokupa hayo matumaini ili nasi tuyalee matumaini hayo.
Kama unashindwa kuona mpaka Leo kwa macho yako mwenyewe ni lipi haswa sisi tunaweza kukuonyesha??

Umesikia huko Kwamba vyombo vya habari vilivyofungiwa vyote vimefunguliwa?

Nchi hii ilikuwa inaliwa kimya kimya na genge flani la watu waliokuwa wakijifanya ndio wazalendo, unazo habari kwamba mama amewatimua wote ikulu mmoja baada ya mwengine. Au unadhani kulitoa lile genge ikulu ni kazi rahisi?? Hilo genge ndio lilikuwa linaenda kuandaa mtu wao wa kuchukua madaraka 2025 mpaka 2035. Kufikia 2035 wewe ungekuwa na miaka 55 au 60 na habari yako ingekuwa imekwisha. Mshukuru sana Mama mkuu.
 
Nadhani hata kazini kwako wanapata tabu sana na wewe. " majungu, majungu, majungu tu na wivu".

Post yako hii imekaa kimajungu
Watanzania ndivyo walivyo mkuu.

Wengi wa Watanzania tunachojua ni majungu na ukosoaji tu.
 
Mama yupo katika kona ngumu. JK kwake ni kiongozi aliyemtoa Unguja na kumleta bara, alimlea kisiasa hivyo asemalo hawezi kulipinga.

Hivyo hao wanaorudishwa sasa hivi ambao ni watu wa JK ambao Mama aliwakuta baada ya kuja bara wanatakiwa kuwa ni uzalendo badala ya kuanza kurudisha wizi maofisini na magenge ya kitapeli yanayosubiri pesa za bure bure za udalali.

Wanaorudishwa kwa mgongo wa JK wanayo kazi ya kuitazama Tanzania ya sasa na kuwa na ubunifu wa kuongeza tija badala ya kufikiria kuwa wamepata chaka la kutajirikia.
Mkuu,

Mama amejipambanua kuwa ni kiongozi mwenye kuskiliza watu. Kiongozi wa watu na wala sio kiongozi wa malaika.

Mama anapokea ushauri, na kwa hakika hakuna kiumbe ambae atampa ushauri wa kujenga zaidi ya Mheshimiwa Kikwete. Yeye ndio Rais mstaafu aliye active kwa sasa.

Tusishughulishwe na maneno ya hawa wanaolalamika kila kukicha. Hawa hawana shukran mkuu, wakiskilizwa kelele wasiposkilizwa kelele.

Wakiskilizwa wanasem oooh mama anapenda mitandao, wasiposkilizwa kama alivyokuwa akifanya hayati Magufuli wanasema oooh kiongozi gani hashauriki.

Mama ametuonesha yeye ni kiongozi wa aina gani na ndio maana Sisi tunaojua kuhusu administration tunasema "Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu "
 
Kulikua na ulazima wa kutuletea MTU kama Batilda Buriani kweli??

Au mkuu wa mkoa wa Dar??

Hii recycling ya viongozi wale wale Kila awamu mpaka lini

Watuweke wazi tu kuwa kuna Tabaka la watawala na watawaliwa.
Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
 
Mkuu walengwa wa hii thread wanaelewa. Unapotaja majina una-risk moderators kuifuta thread yako maana nao hupewa sana shinikizo. Nikitaja majina inabidi nieleze kisa chote, jinsi walivyoomba msaada wa magari kwa niaba ya serikali, wakapewa, kisha wao na watu wa wizara ya Mambo ya Nje wakaamua kujimilikisha. Haikugundulika hadi wahisani walipoongelea huo msaada kwa JK, wakakuta JK anashangaa, msaada upi wa magari mlitupa, mbona haukufika!!!
Kila nikikumbuka awamu ya JK,Najiskia aibu kujitambulisha kama mTZ
 
Mkuu,

Mama amejipambanua kuwa ni kiongozi mwenye kuskiliza watu. Kiongozi wa watu na wala sio kiongozi wa malaika.

Mama anapokea ushauri, na kwa hakika hakuna kiumbe ambae atampa ushauri wa kujenga zaidi ya Mheshimiwa Kikwete. Yeye ndio Rais mstaafu aliye active kwa sasa.

Tusishughulishwe na maneno ya hawa wanaolalamika kila kukicha. Hawa hawana shukran mkuu, wakiskilizwa kelele wasiposkilizwa kelele.

Wakiskilizwa wanasem oooh mama anapenda mitandao, wasiposkilizwa kama alivyokuwa akifanya hayati Magufuli wanasema oooh kiongozi gani hashauriki.

Mama ametuonesha yeye ni kiongozi wa aina gani na ndio maana Sisi tunaojua kuhusu administration tunasema "Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu "
Hujui kitu nyamaza watu wakufundishe
 
Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
Kumuweka kibaraka wa Rostam , wewe unamjua Rostam Azizi wewe, unamjua vyema JK! Acha kuongea mambo ya vijiweni! Unaijua Boys to Men! Acha tu, mama amebanwa mbavu
 
Hujui kitu nyamaza watu wakufundishe
Sio wewe wala genge lako, hamna cha kunifundisha nyinyi.

Sisi tutamaliza miaka yetu mitano ya utumishi kwa wananchi nyinyi mkiwa hapo hapo mnalalamika tu na kufanya majungu na fitna.

Shtuka babu, utachelewa sana.

Mungu ametupa fursa ya kuijenga nchi yetu nyinyi endeleeni na majungu, historia itawakumbuka hivyo hivyo
 
Kumuweka kibaraka wa Rostam , wewe unamjua Rostam Azizi wewe, unamjua vyema JK! Acha kuongea mambo ya vijiweni! Unaijua Boys to Men! Acha tu, mama amebanwa mbavu
Haya ndio majungu nliokwambia. Hahahahaah!

Kwahiyo wewe ndio unamjua Rostam?? Typical small mind, how can you discuss people?

Umenishangaza sana!

You spend your time and discuss people? Kwahiyo mkuu unamjua Rostam?

Tunasema hivi, Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.
 
Sio wewe wala genge lako, hamna cha kunifundisha nyinyi.

Sisi tutamaliza miaka yetu mitano ya utumishi kwa wananchi nyinyi mkiwa hapo hapo mnalalamika tu na kufanya majungu na fitna....
Hujui kitu wewe!
 
Haya ndio majungu nliokwambia. Hahahahaah!

Kwahiyo wewe ndio unamjua Rostam?? Typical small mind, how can you discuss people??
You are so stupid my beloved friend! I know them pretty well dogo! Kaa kimya. Bahati mbaya hujui nini JK alikuwa akisema 2015 wakati anakaribia kung’atutaka.

Kwa faida yako alikuwa akisema ‘Shafii yenu mbao Aki serikalini mie najiendea msoga, hayanihusu’ na vingapi aliharibu? Ndiyo maana JPM alimbamiza kisawasawa na sasa ni zamu yake ya mwisho kuikwangua Tanzania ila mungu yupo after Samia atatokea wa kusawazisha. Niachie hapo
 
Mama yupo katika kona ngumu. JK kwake ni kiongozi aliyemtoa Unguja na kumleta bara, alimlea kisiasa hivyo asemalo hawezi kulipinga...
Mkuu unapenda sana kurudia rudia hoja ya Mama kuwarudisha watu wa JK! Hivi unaweza kutuorodhoshea hapa hao watu wa JK tuone idadi yake?! Mbona wakati Jiwe anawateua akina Makamba hamkusema kwamba anarudisha watu wa JK? Swali la pili kuhusu Jiwe unaweza kuachana nalo, lakini ningependa kuona ukiorodhesha hao watu wa JK !
 
nyakati zimebadilika, ila huyo unknown is known na ni maarufu pande za arusha, sasa watu bado wanalazimisha mtoa mada amtaje...
Ni Dr Batilda Buriani? Msifiche, tajeni tu ili wahusika kama hawajui wafanyie kazi.
 
Huyo aliyetumbuliwa na JK na kupewa ulaji ni nani ,si umtaje tu?Unaongea kimafimbo hata kwa mambo ambayo hayahitaji mafumbo?
 
Back
Top Bottom