Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

Yaani ulivyoandika ni kama familia zote za kimaskini zipo hivo... point ni kwamba tuoe mabikra hayo mengine sio ya msingi
Wewe, huo ndio ukweli umasikini sio mzuri usiukumbatie sana!
Waliooa masikini walishaendewa kwa waganga wauawe ili tu mke arithi nyumba ... just imagine ?

Ni mtu mwenye mawazo na akili ya umasikini tu atakufanya hivi
 
Pale ambapo anayepangiwa maisha anampangia maisha yake Mkuu wa ulimwengu jinsi anavyotaka....[emoji2]

Kibaya zaidi anayepangiwa hana hata uhakika wa sekunde 1 ijayo atakuwa hai au marehemu...[emoji2960]
Una maana gani?

Je tusijipangie maisha, kwa maana hatuna uhakika wa kuwa hai siku/saa zijazo?
 
Daah kwa mimi point kubwa ni kutokuoa katika familia maskini, kuhusu bikra sio issue sana.
Unqpozungumizia ndoa ni kitu cha milele, japo kiwa kuna talaka lakini hilo sio lengo la ndoa ...

Fikira huyo mtu utadumu nae kwa muda gani 5yrs, 10 ,20??

Ustahimilivu ho wa kudumu kqa kizazi chenu hiki upo?? Na ndio maana unashauri ukimpata aliye bikra hadi muda huu na kwa kizazi hiki atlist mtihani wa ustahimilvu ameupita
 
mi ishu awe hajatumika,mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanamme na sio mwamamme kwa ajili ya mwanamke ndio maana wakawekewa ,seal,mwanamke asiye sild hata kama aliwahi toa mimba huwez jua kabisa, utaishi na muuaji hadi siku utaaga dunia achilia mbali waliomkatikia
Good boys wameshalizwa vyakutosha sasa ni wakati waaamke !
 
Kwa wakti sahihi kila mtu atampata amfaaye, binafsi hata kama ana miaka 45 muhimu upendo Mkuu.
Huo upendo wewe ndio utamfundisha at 45yrs?
Maumivu aliyoyapata huko nyuma na mambo aliyopitia .. nikushauti tafuta mwanasaikolojia labda ataweza wasaidia
 
mi ishu awe hajatumika,mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanamme na sio mwamamme kwa ajili ya mwanamke ndio maana wakawekewa ,seal,mwanamke asiye sild hata kama aliwahi toa mimba huwez jua kabisa, utaishi na muuaji hadi siku utaaga dunia achilia mbali waliomkatikia
Wewe haujawahi kutoa bikra za kina dada na ukaachana nao??

Sionagi ishu za bikra kama ni sensitive, as long as nimeshatoa bikra na sikuoa.
 
Kwaio mpaka leo hujui jinsi ya kutafuta pesa mpaka uoe mwanamke tajiri akupe michongo. Wanaume wavaa heleni mna shida sana
Oa mwanamke anayetoka familia tajiri na sio familia ya kukumbatia kumbatia umasikini...famila ambayo itakuwa ni mzigo na lawama kwako!

Hakuna sehemu niliyosema watu waoe matajiri ili wapate mchongo wa kutoboa kimaisha ..!

Relax mkuu!
 
Tafuta pesa wanaume hawalalamiki
Wanaume hawatafuti wanawake wenye pesa, wanatafuta wanawake wenye kufaa kuwa wake
Na wana maada za kiume
Nimetaja suala la
Ubikra,
Umri,
Na familia anayotoka huyo mke wako ni vitu vya msingi sana..!

Hakuna sehemu ambayo nimesema watafute "wanawake wenye pesa" ila nimweaonya kwa karne ya sasa hivi wasioe wanawake wanotoka familia zinazokumbatia na kuusujudu umasikini!


Kama untaka ndoa yako idumu na uwe na familia imara... !
 
Wewe haujawahi kutoa bikra za kina dada na ukaachana nao??

Sionagi ishu za bikra kama ni sensitive, as long as nimeshatoa bikra na sikuoa.
Next time ukipata bikra oa, uwezekano mkubwa wa hyo mwanamke kukupenda au kuvutiwa na wewe ni mkubwa mno , tofauti na wanaofanya sex kama kitega uchumi harafu utake kumuweka ndani
 
@Mama d, anataka kwanza ajue ana ongea na mtu wa age gani, ili km vp akuache ukue kidg
Oa bikra usiseme haina maana wakati the seal was there in the first place
 
Back
Top Bottom