Wewe, huo ndio ukweli umasikini sio mzuri usiukumbatie sana!Yaani ulivyoandika ni kama familia zote za kimaskini zipo hivo... point ni kwamba tuoe mabikra hayo mengine sio ya msingi
Una maana gani?Pale ambapo anayepangiwa maisha anampangia maisha yake Mkuu wa ulimwengu jinsi anavyotaka....[emoji2]
Kibaya zaidi anayepangiwa hana hata uhakika wa sekunde 1 ijayo atakuwa hai au marehemu...[emoji2960]
Unqpozungumizia ndoa ni kitu cha milele, japo kiwa kuna talaka lakini hilo sio lengo la ndoa ...Daah kwa mimi point kubwa ni kutokuoa katika familia maskini, kuhusu bikra sio issue sana.
Good boys wameshalizwa vyakutosha sasa ni wakati waaamke !mi ishu awe hajatumika,mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanamme na sio mwamamme kwa ajili ya mwanamke ndio maana wakawekewa ,seal,mwanamke asiye sild hata kama aliwahi toa mimba huwez jua kabisa, utaishi na muuaji hadi siku utaaga dunia achilia mbali waliomkatikia
Huo upendo wewe ndio utamfundisha at 45yrs?Kwa wakti sahihi kila mtu atampata amfaaye, binafsi hata kama ana miaka 45 muhimu upendo Mkuu.
Wewe haujawahi kutoa bikra za kina dada na ukaachana nao??mi ishu awe hajatumika,mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanamme na sio mwamamme kwa ajili ya mwanamke ndio maana wakawekewa ,seal,mwanamke asiye sild hata kama aliwahi toa mimba huwez jua kabisa, utaishi na muuaji hadi siku utaaga dunia achilia mbali waliomkatikia
Tafuta pesa wanaume hawalalamikiUmri wangu sio mada ya msingi, did you get the message?
Oa mwanamke anayetoka familia tajiri na sio familia ya kukumbatia kumbatia umasikini...famila ambayo itakuwa ni mzigo na lawama kwako!Kwaio mpaka leo hujui jinsi ya kutafuta pesa mpaka uoe mwanamke tajiri akupe michongo. Wanaume wavaa heleni mna shida sana
Nimetaja suala laTafuta pesa wanaume hawalalamiki
Wanaume hawatafuti wanawake wenye pesa, wanatafuta wanawake wenye kufaa kuwa wake
Na wana maada za kiume
Next time ukipata bikra oa, uwezekano mkubwa wa hyo mwanamke kukupenda au kuvutiwa na wewe ni mkubwa mno , tofauti na wanaofanya sex kama kitega uchumi harafu utake kumuweka ndaniWewe haujawahi kutoa bikra za kina dada na ukaachana nao??
Sionagi ishu za bikra kama ni sensitive, as long as nimeshatoa bikra na sikuoa.