Sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu wa Afrika ni kusifiwa na wazungu

Vipofu wenye macho .
Kumteka akili mjinga
1.Taja Sana jina lake.
2.Mpe misifa bwelele
Mwisho anabaki na Deni la kulipa
#Manipulation
 
Kwahiyo unataka waache rasilimali wakuchukue wewe? Nenda kaoge basi na wewe uchukuliwe kama rasilimali.
Rasilimali huisha mama angu. Wakichukua si ipo siku zitaisha, watoto wako unaozaa hovyo na wapiga debe hawatakuja kuziona hizo rasilimali.

Wanyama sio kama uchi wako huo ambao hata wapiga debe waupige vipi hauishi, hizi ni non renewable resources.
 
Rasilimali huisha mama angu. Wakichukua si ipo siku zitaisha, watoto wako unaizaa hovyo na wapiga debe hawatakuja kuziona hizo rasilimali.

Yaani nasikia raha hadi moyo unadundadunda ninapopata ninaposoma comments za wazarendo wenzangu maana sometimes huwa nadhani niko peke yangu mwenye thinking kama hizi .
 
Tatizo yupo JF lakini hana kabisa maarifa....kipindi kile angefatilia namna ambavyo gharama serikali ilitumia kuwatunza wale faru wachache waliobaki kipindi cha JPM naamini angeelewa kinachoongelewa hapa.
 
Nchi zetu za kiafrica ujinga bado ni tatizo kuanzia Kwa herdsman hadi Professor kwahiyo tatizo bado nikubwa sana
 
Na huu ndio ukweli, mtu mweupe akikusifia..umekwisha!

Leo wanyama pori ruksa kupelekwa nje. Wtf, hawa viongozi wetu wanawaza nini kuhusu vizazi vyetu vijavyo?
 
Mbona kama mfano wako umeenda mbali sana...hukupaswa hata kuvuka mpaka
 
Wewe ni wale wanawake wanaopigwa mtungo halafu wananunuliwa bia, anasifia kununuliwa bia na anasahau ameliwa utamu kwa bia.

Unatoa rasilimali za nchi kwa kupewa vichanjo vya ajabu ajabuhalafu unasifia chanjo umesahau twiga uliowapatia. Taahira kabisa.
Umeulizwa kwa uungwana unaleta matusi!! Ndo wafuasi wa Jiwe hawa.
 
Ukitaka kujua sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu kwa Africa ni kusifiwa na Wazungu.

Kiongozi yoyote wa Afrika anaesifiwa na wazungu ujue huyo ni bure kabisa, ni bomu.

Hakuna kiongozi wa Afrika ambae analinda rasilimali na maslahi ya wananchi wake akasifiwa na wazungu, hayupo.

Na wazungu hata uwe dikteta vipi, kama huathiri maslahi yao huwezi kusemwa vibaya hata siku moja. Mfano mzuri ni Kagame. Umewahi kusikia Kagame anasemwa vibaya pamoja na kufunga wapinzani wake wote?

Wazungu wanajua, tabia ya kwanza ya viongozi wa Afrika ni kupenda sifa, kwa hiyo wanajua wakimsifia kwenye media zao na kumpamba basi yeye hukenua meno na kuchanua mapaja watu wajichotee malighafi wanazotaka bila shida.

Ukiona kiongozi wenu anasifiwa na wazungu ujue mmepigwa na kitu kizito kichwani.
Tembo, twiga sasa ruksa kupanda ndege. Kwanini mtu asisifiwe!
 
Mawazo yako yamekaa ki propaganda.. zile za kuutukuza ukoloni?

Nani kakwambia kwamba hakukua na mifumo rasmi ya elimu , mavazi , teknolojia nk...
Na wewe endelea na propaganda mlizofundishwa shuleni! Utasikia "tulivumbua chuma" wakati chuma chenyewe mlikuwa mnaishia kukisugua kwenye mawe ili muweze kuwinda wakati zama hizo wenzenu tayari walishakuwa mbali! Hebu tueleze. Wakati Wakoloni wanaingia rasmi Afrika, hapa Afrika Mashariki kulikuwa na nini cha kujivunia? Manake as far as I know, Machifu ilikuwa ukiwapa hata shanga na shuka, wangeweza kukupa hata mkoa mzima wa Tabora!!
 
Tatizo yupo JF lakini hana kabisa maarifa....kipindi kile angefatilia namna ambavyo gharama serikali ilitumia kuwatunza wale faru wachache waliobaki kipindi cha JPM naamini angeelewa kinachoongelewa hapa.
Una uhakika kwamba Faru ni miongoni mwa hao wananyama wanaosafirishwa?! Umeshawahi kukuta Faru kwenye zoo?! Na hivi umelielewa lile tangazo?!
 
Yaani nasikia raha hadi moyo unadundadunda ninapopata ninaposoma comments za wazarendo wenzangu maana sometimes huwa nadhani niko peke yangu mwenye thinking kama hizi .
Unafiki tu, hamna cha uzalendo wowote! Hata huyo Magu mnayedanganyana eti mzalendo hakuna cha maana alichofanya kwa taifa zaidi ya kuua wananachi wake mwenyewe na kuliacha taifa likiwa kwenye matatizo lukuki huku akitumia uongo kuwafanya "akina sie" wamuone mzalendo kweli kweli! Leo hii mkiona ripoti hata za enzi zake kuhusu madudu ya utawala wake, utasikia "wanalenga kumchafua" kwa sababu mliishi kwa kulishwa uongo, nanyi mkabaki kupiga makofi bila kutafakari!!
 
Ukitaka kujua sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu kwa Africa ni kusifiwa na Wazungu.

Kiongozi yoyote wa Afrika anaesifiwa na wazungu ujue huyo ni bure kabisa, ni bomu.

Hakuna kiongozi wa Afrika ambae analinda rasilimali na maslahi ya wananchi wake akasifiwa na wazungu, hayupo.

Na wazungu hata uwe dikteta vipi, kama huathiri maslahi yao huwezi kusemwa vibaya hata siku moja. Mfano mzuri ni Kagame. Umewahi kusikia Kagame anasemwa vibaya pamoja na kufunga wapinzani wake wote?

Wazungu wanajua, tabia ya kwanza ya viongozi wa Afrika ni kupenda sifa, kwa hiyo wanajua wakimsifia kwenye media zao na kumpamba basi yeye hukenua meno na kuchanua mapaja watu wajichotee malighafi wanazotaka bila shida.

Ukiona kiongozi wenu anasifiwa na wazungu ujue mmepigwa na kitu kizito kichwani.
Unapozungumzia wazungu inabidi uwe specific

Kuna wale top leaders hapo nakubaliana na wewe kwa sababu za kiuchumi na kisiasa wanaweza wakawasifia au wasiwasifie viongozi wa Africa

Kuna wale Wananchi wa kawaida kama mimi na wewe ikiwemo Journalists na Academicians hawa hawana shida

Ila kuna tatizo la media kubwa zote wameshikilia wao
 
Tumepigwa Mapema Mabeberu Yanajimwaga Tanzania Yanachugua Yatakacha

Ukitaka kujua sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu kwa Africa ni kusifiwa na Wazungu.

Kiongozi yoyote wa Afrika anaesifiwa na wazungu ujue huyo ni bure kabisa, ni bomu.

Hakuna kiongozi wa Afrika ambae analinda rasilimali na maslahi ya wananchi wake akasifiwa na wazungu, hayupo.

Na wazungu hata uwe dikteta vipi, kama huathiri maslahi yao huwezi kusemwa vibaya hata siku moja. Mfano mzuri ni Kagame. Umewahi kusikia Kagame anasemwa vibaya pamoja na kufunga wapinzani wake wote?

Wazungu wanajua, tabia ya kwanza ya viongozi wa Afrika ni kupenda sifa, kwa hiyo wanajua wakimsifia kwenye media zao na kumpamba basi yeye hukenua meno na kuchanua mapaja watu wajichotee malighafi wanazotaka bila shida.

Ukiona kiongozi wenu anasifiwa na wazungu ujue mmepigwa na kitu kizito kichwani.
Uko sahihi japo baadhi ya watu waliotekwa na u mambo leo hawatakuelewa

Mfano mwingine ni the late Mandela na Nyerere utaona kwanini mmoja anatukuzwa sana na Wazungu wakati mwingine wanamchukulia poa ukilinganisha na aliyoyafanya

Kamwe mzungu hawezi kusifia kiongozi wa Afrika anayeminya maslahi yake huku Afrika maana toka enzi na enzi Afrika ndo kuna market kubwa ya bidhaa zao ikiwemo hizo chanjo, madawa, misaada, nk

Wanaodhani hizo chanjo na dawa za ukimwi vinatolewa bure nadhani hawajaelewa maana ya "kupiga hesabu vizuri"

Hakuna kitu cha bure toka kwa tajiri
 
Wazungu wanajua, tabia ya kwanza ya viongozi wa Afrika ni kupenda sifa,
Na hivi ni mwanamke automatically wanampoteza kabisa.

Maana wanawake hawana ule ufahamu wa kung’amua kama sifa hii naihitaji kweli au siihitaji mf: mpo mtaani apite mwanamke ukweli hajapendeza kabisa ila we mwambie umependeza atakenua meno yote 32 nje.
 
Back
Top Bottom