MAWEED
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 3,550
- 12,239
Wakati nipo 3rd year,nilikua kwenye bodi ya orientesheni pale chuoni,nimewachakata kama 14 iv...We Jamaa utapambana nao wote Ke wa kinyakyusa humu JF? [emoji16]
Ile nawafanyia orientesheni kuna fomu walikua wanajaza namba so nilikua nachukua namba halafu jioni nawachek,tunakutana canteen/cafe,tunachukua takeaway tunaenda geto kuchek movie...
Halafu nilikua naibu waziri wa sport chuoni,chuo kizima wananijua mpaka principal ananikubali sasa kwa ile status nan angechomoa.
Wameumia wengi sana kwa staili hii hata mwanangu Half american na mkuu mshamba_hachekwi wanajua kwa pigo hizi hawajawai kuruka..