Nimeishi na wakurya mda mrefu sana. Kwa asili yao hawapendi kuonewa wala kuonea mtu. Wanapenda sana haki. Siyo waongo na hawamfichi mnafiki hata ukiwa boss wake.Hahahaha wakurya mbona wako poa sana, nina mabest zangu sema zile command language zao zinakasirisha.
Kamwene beHahahaha nawaona nawaona
Ila sijaona mhehe hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpare anapenda kesi sana na mbishi, anaweza kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku. Ni wabahili ila si wachumi. Mpare kwa ubahili wake akiumwa njaa badala ya kununua chakula atakunywa panadol au diclofenac. Hawa jamaa kwa kununua kesi ndo wenyewe. Kuna bwana mmoja alizulumiwaga akaenda kusoma sheria ili aje kufufua kesi.
Hahaha aaahh, vigodor ndo kwaoMzaramo anweza asimpige mtu lakini akamsuta mpaka akafa.
Hahhaha m nawajua vzrUsiombe kufanyiwa kazi na fundi wa kigogo ha ha ha nicheke kama mazuri nishawahi kuachiwa mafundi niwasimamie kuchapia ukuta (sijui ni kiswahili sahihi) yani dakika mbili wanakaa wanaanza story, nawashtua wanainuka dakika mbili wanasema wamechoka mara wanaomba chai aseeeee ukiwalipa hela wanaenda kukaa kabisa hata umuite vipi hajii
Wakurya hawapendi dharau lakini si wote wanaonesha ubabe wakichokozwa ila wote wana misimamo mikali.Nimeishi na wakurya mda mrefu sana. Kwa asili yao hawapendi kuonewa wala kuonea mtu. Wanapenda sana haki. Siyo waongo na hawamfichi mnafiki hata ukiwa boss wake.
Ukimkosea akasema ''ngoja nije'' haki ya nani anakuja na silaha na lazima akudhuru. Haogopi mtu akijua yuko kwenye haki. Hata kama ni mwenye madaraka makubwa au ni mwenye pesa nyingi.
Wewe kaa kimya huwajui mademu wa kichaga. Hakuna wasaliti kama hawa dada zangu. Kwanza hakunaga mwenye mapenzi ya dhati kama huna hela. Mwanamke wa kichaga ukiwa naye jihesabu kama business partner na siyo mpenzi.mademu wa kichaga wana mapenzi ya dhati sana akisema anakupenda ujue anakupenda kweli kweli hawajuagi ku cheat ila kitandani usitegemee kitu kama unaoa oa tuu ila kama unatafuta kiuno feni please hapa sio mahala pake nenda ntwara
awaji kiasi ila madem ni washirikina balaa japo kulea waume wako poa,ukitoa tanga kwa mahaba wanafuata hawaWanyamwezi sio wagawaji sana wa sehem nyeti ?
Vile vile hayo ni makabila ambayo elimu ipo na makabila ambayo elimu hakuna [emoji3]JAMANI MIMI UZULI NIMETEMBEA KARIBIA TANZANIA NZIMAA ILA UKWELI NI KWAMBA.
KUNA MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA YENYE ROHO MBAYAAA.
MAKABILA YENYE ROHO MBAYA WENYE ITIKADI YA UKABILA NA UDINI
NI WACHAGA, WANYAKYUSA, WAHA, WAPARE,WAKURYA, WAHAYA,WAJALUO, WASUKUMA, WANYAMWEZI, .
MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA WASIO NA ITIKADI YA UDINI WALA UKABILA KUNA
WAZARAMO, WALUGULU, WAKWERE, WAMWERA, WANDEREKO, WAMAKUA WAMAKONDE,
hahaha duu basi mkuu nisameheWewe kaa kimya huwajui mademu wa kichaga. Hakuna wasaliti kama hawa dada zangu. Kwanza hakunaga mwenye mapenzi ya dhati kama huna hela. Mwanamke wa kichaga ukiwa naye jihesabu kama business partner na siyo mpenzi.
Teh teh teh [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanyamwezi sio wagawaji sana wa sehem nyeti ?
Vip mkuu , mbona umwfurah sana.Teh teh teh [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nshawahi kuiskia hii kuhusu waasi wa kondoa..waburunge/wasi wazuri kwa sura na tabia njema wapole na wakarimu ila huishi na kundi kubwa la ndugu ukioa /kuolewa na watu hao jiandae kulea kijiji kizima
Kupigana miti kuliko kula teh!Wanawake wengi wazuri, maumbo mazuri, makalio na miguu wanayo, wanapenda kupigana miti kuliko kula, wanajisifia sana, ningekua mwanaume mie katika kabila nisingweza kuoa ni hili hawa hapana
Wapo vizuri kitandani.Evelyn Salt nichambulie wahehe tafwazali nataka nizamie kule
Kama ni kweli wasamehe bure, ila mgogo mvivu ni mmoja kwa kumi, ambalo ni suala la kawaida kwa kabila likiwepo hata kabila lako Evelyn.Usiombe kufanyiwa kazi na fundi wa kigogo ha ha ha nicheke kama mazuri nishawahi kuachiwa mafundi niwasimamie kuchapia ukuta (sijui ni kiswahili sahihi) yani dakika mbili wanakaa wanaanza story, nawashtua wanainuka dakika mbili wanasema wamechoka mara wanaomba chai aseeeee ukiwalipa hela wanaenda kukaa kabisa hata umuite vipi hajii
Sina shaka kwa maelezo yako nimeish kule na nimeyaona hayoo wako vzuriwachaga(wamarangu) :wastaarabu sana, wengi ni wazuri na watanashati. watafutaji wazuri wa eleri(pesa). wanaheshima, wanapendana, hawana ubinafsi kama wapare. sio washirikina kama wasambaa, wapole, wanapenda kujenga kwao,wanawai kumiliki magar kwa umri mdogo. waaminifu kwenye mapenzi.