Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Wapare wana roho mbaya jmnnn...siku zote ubahili unazalisha roho mbayaaaaa..

Wanaume wa kigoma wana midomo utadhania wazaramo,,,wanachamba hatareee...

Wanaume wa pwani hawapendi kufanza kazi,,,kushinda vibarazani tu kupiga umbea e.g wazanzbari,watanga wote,wazaramo
 
Mi nna mrangii..nmemtoa bikra mwenyewe tupe kwenye mipango ya ndoa...kwann mnawasema vibaya wakwe zangu jaman
 
Kama ni kweli wasamehe bure, ila mgogo mvivu ni mmoja kwa kumi, ambalo ni suala la kawaida kwa kabila likiwepo hata kabila lako Evelyn.

Uwe na amani, PASAKA NJEMA.
Umeongea vice versa, katika kumi mchapakazi labda mmoja
Pasaka njema pia
 
Hhahah nmecheka kwa wakerewe
 
Wanawake wengi wazuri, maumbo mazuri, makalio na miguu wanayo, wanapenda kupigana miti kuliko kula, wanajisifia sana, ningekua mwanaume mie katika kabila nisingweza kuoa ni hili hawa hapana
Wachache sana wenye sifa hizi.
 
mbona hujasema kama wanaringa? aisee wamarangu wanaringa yani wengi wenye nyodo mjini ni wamarangu wanaume wao wapolee , ila wachaga ni wazuri we sura jamani yani mungu aliwapendelea
 
Mpare mchoyo sana na mroho ki ukweli mpaka uwa nikishaona demu uyu mpare hamu inaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…