Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Hahaaaa wewe kweli mkwere sio kwa kujifagilia huko
 
Hapo umechapia dar ina makabila yotee nchini kwa hiyo usijitoe ufahamu kutupa hamu kwamba wazaramo sio wakabila wala wadini
 
Akutukanaye hakuchagulii tusi.

Wagogo ni wachapa kazi sana hasa kilimo na ufugaji. Changamoto tuliyonayo ni uhaba wa mvua mara kadhaa. Tunaomba serikali iongeze fungu kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji.
Kilimo cha umwagiliaji wa ubuyu 😀
Mgogo akifanikiwa kufanya kazi akapata buku tano anarudi nyumbani kukaa hadi iishe hata ukimuitia kazi haji hadi hela iishe
 
Nina ufatilia uzi kwa makini sijaona kabil la mchumba wangu hapa-wahehe
 
Dah aisee jamaaa ukk vzr umewachambua wasukuma hatare
 
huwajui wanyakyusa wewe . usingeacha kipengele cha uchawi
Kuna watu wanaitwa wakinga uchawi wao una viwango vya kimataifa hao ndo watu wanawafananisha na wanyakyusa. Wakinga ukiwa na duka lako jirani naye analoga watu hawaoni biashara yako yaani inageuka kituo cha kufyatulia matofali yeye tu ndo anauza. Wakinga ndiyo kiboko ya wachaga kwa biashara lakini wao ni kwa uchawi zaidi
 
Ni kweli wakurya wengi uchawi wajui ila kuna baadhi ya maeneo ni hatari-kuna wakurya wa nyamilambalo kule kwa gwachuma ni wachawi hatari pia kuna wakurya wanaoishi maeneo ya wajaruo kule shirati karibu na kenya nao wapo vzri
 
Wapare watu poa sana ni wachumi wazuri na wanapenda haki
Mpare anapenda kesi sana na mbishi, anaweza kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku. Ni wabahili ila si wachumi. Mpare kwa ubahili wake akiumwa njaa badala ya kununua chakula atakunywa panadol au diclofenac. Hawa jamaa kwa kununua kesi ndo wenyewe. Kuna bwana mmoja alizulumiwaga akaenda kusoma sheria ili aje kufufua kesi.
 
Mpare anapenda kesi sana na mbishi, anaweza kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku. Ni wabahili ila si wachumi. Mpare kwa ubahili wake akiumwa njaa badala ya kununua chakula atakunywa panadol au diclofenac. Hawa jamaa kwa kununua kesi ndo wenyewe. Kuna bwana mmoja alizulumiwaga akaenda kusoma sheria ili aje kufufua kesi.
 
Upo sawa kabisa Evelyn m na ushahid kabisa
Usiombe kufanyiwa kazi na fundi wa kigogo ha ha ha nicheke kama mazuri nishawahi kuachiwa mafundi niwasimamie kuchapia ukuta (sijui ni kiswahili sahihi) yani dakika mbili wanakaa wanaanza story, nawashtua wanainuka dakika mbili wanasema wamechoka mara wanaomba chai aseeeee ukiwalipa hela wanaenda kukaa kabisa hata umuite vipi hajii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…