IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
Sipo huko nipo hapahapa bongo ndio najaribu kuobserve haya maisha ya uku ni matusi tu uswahili mwingii!ππ Ulale sasa au huko kwenu mchana?
Hongera ila huyo jamaa sijua kama anapumua vizuri akiwa na weweπππWee mimi nshampata mwanaume wangu tunaenda sawa , wa aina yako siwezi mimi.
π dada yake mie nimeshangaa sikukuu zote sijakuona humu hata ukicomment, haya bia pilau na minyama ulitunyima hata salamu ya kinafiki ya kututakia heri ya krismasi na mwaka mpya π€π π€£ππ Kaka wa mimi, umemisika pia. Umekula sikukuu peke yako jamani sio vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu kweli kabisaaa.Wanaume wa JF wanayoyaongea humu na maisha yao halisi ni mbingu na ardhi.
Wanaume Wapi, ni wanawake nyie, nyie, tena mmekuwa wahuni sana, shetani anawatumia sana nyie.π³maajabu! Utajikuta!?au tayari mnapigwa dole la kati na wanaume.Ita majina yote lakini umekumbushwa kuwa mwanaumeπ
Upinde weweMbona karibia hizo sifa zote sasa zinanihusu mimi!!
Just jocking mm siezi telekeza mwanangu tena mdada nikimpa mimba lazima nimjengee ili mwanangu asitesekeBe a man
Mkuu mm ni 40+ sio mtoto nishazeeka[emoji23][emoji23] Mvulana huyo, hakuna mwanaume mwenye akili ya namna hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni me au keSifa za mwanaume ajue kutembeza mkong'oto wa kutosha kunako 6Γ6 na kuwajibika kiuanamume ndani ya familia km kusomesha watoto, kufanya familia inapishana chooni, kumpendezesha mkewe, kufanya familia yake iishi maishi bora na yenye furaha, n.k hizo zingine mbwembwe tu,