Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

😍😍 Kaka wa mimi, umemisika pia. Umekula sikukuu peke yako jamani sio vizuri
😍 dada yake mie nimeshangaa sikukuu zote sijakuona humu hata ukicomment, haya bia pilau na minyama ulitunyima hata salamu ya kinafiki ya kututakia heri ya krismasi na mwaka mpya 🤔😅🤣
 
Sifa za mwanaume,yaan mwanaume:

Awe anajua kukutembezea rungu haswa huku anakuchapa makofi kwenye matako/makalio yako na akimaliza hapo inabidi umshukuru kwa kukutembezea rungu na makofi ya kutosha kwenye matako/makalio yako

Huyo ndio mwanaume, hana sifa sizingine za ziada
 
Yaani sifa za mwanaume zimeandikwa na mwanamke alafu mwanamke mwenyewe singo maza [emoji23][emoji23][emoji23] anyway japo kuwa nyingine ni kweli ila kuna nyingine hapo zipo ili kulinda maslahi yenu wanawake. Na ndio nyingi ....tusihadisiane wanawake tulio wagonga ili kumsitiri tuyeye tusijue tumegonga wangapi [emoji23][emoji23]
 
Ila ndo sitaki shobo mke ajue atakuwa keshajiharibia nitachukua mtoto anabaki na nyumba ambayo itakuwa na jina la mwanangu
 
Sifa za mwanaume ajue kutembeza mkong'oto wa kutosha kunako 6×6 na kuwajibika kiuanamume ndani ya familia km kusomesha watoto, kufanya familia inapishana chooni, kumpendezesha mkewe, kufanya familia yake iishi maishi bora na yenye furaha, n.k hizo zingine mbwembwe tu,
We ni me au ke
 
Just jocking mm siezi telekeza mwanangu tena mdada nikimpa mimba lazima nimjengee ili mwanangu asiteseke
Woow! Embu nijengee pia mbona uliniacha nilee mwenyewe mtoto
 
Back
Top Bottom