IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
Tabia ni kama kioo hujidhihirisha popote vile ulivyo pindi tu ukitazamapo?Mpenzi wangu ana amani sana na mimi huwezi amini. Hapa JF naweza onekana mkorofi lkn huko nje hata sipo hivi [emoji23] humu usiamini watu kabisa.
Nko poa sijui wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787]Uanaume sio kuingia mkenge tu mnatulainisha kwa kukimbilia uanaume ili mfanye mambo yenu Yapite!.. mfano mwasema mwanaume hatakiwi kununa so ufanye upumbavu nisinune ili unione kenge! Sasa mimi kiberenge nakuambia ukizingua nanuna ikibidi na mitama unakula ili kukupa adabu ambayo umekosa..
Usiseme mwanaume hutakiwi kususa sema Asuse katika namna ipi.. Upike msosi kwenye dagaa hadi kuna konokono nisisuse!!!! Nasusa na ikibidi nakudunda.
Thanks na kwako pia.Tabia ni kama kioo hujidhihirisha popote vile ulivyo pindi tu ukitazamapo?
Namshukuru mungu, Itโs another day! Uwe na amani katika siku hii!
Thank you!
Haya [emoji1787]Thank you!
Lkn punguza usumbufu na ukorofi kidogo[emoji847][emoji854][emoji854][emoji6][emoji8]
Tuachie mambo yetu usituseme sana sasaEti na kinga sio tamu [emoji1787] na wewe kwan nini ukubali kwani huna akili? Mkikulana kavu jaman mjiandae kwa lolote sio mnakuja hapa et ooh nilitegeshewa kwan wakati unachomeka kavu ulitegemea nini? Acheni hizo bwana badae mnakuja tukana singo mama wakati nyie ndio mabingwa wa kukimbia mimba.
Sent using Jamii Forums mobile app
I was jockingSasa mbona unakua na mawazo ya namna hiyo? Kama hamtaki watoto tumieni kinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes nitamjulisha mwenyewe polepoleOnhoo,tenaa
40+ jua la saa tisa hilo40+ ni mzee?
[emoji23][emoji23] tunakumbushana tu.Tuachie mambo yetu usituseme sana sasa
Hahahaaa! Umefurahi mwenyewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ kulea ni kipaji yani tena uache kazi, Ufanye kazi...Mara nyingi nawaonea huruma mabinti wote wanaopambana wenyewe na watoto zao itโs paining to be honestly, Hata dada yangu(Youngโsis) alipokubwa na janga kama hili nilimsihii sana kwa kumwamwini mwanaume alienae kupitiliza mwisho wa siku akamdump na ujauzito juu ingawa nilimpambania akapata haki zake kimsingi kuhusu mtoto kupata malezi ya pande zote mbili na baba yake kuwajibika kumsomesha mtoto hadi atakapofikia hatua ya kujitambua lkn bado alijiona amekosa sana na anajutia hadi hivi leo.๐๐๐๐ถ๐ถ
Sofa nilizotajiwa za huyo bwana harusi๐๐๐๐Kheeee imekuaje tena wakati fundi maiko kaniambia nikachukue sare ijumaa hii mimi na Carleen ๐ฅ๐
Mhhhh hapo pagum sanaMwanamume kamili ni bahili sio anayekubali kupigwa vizinga ovyoovyo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mkuu ROBERT HERIEL ongeza dozi sindano inazidi kufika sehemu sahii
Basi tuu tunasitiriana humu ndani na kuheshimiana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu kweli kabisaaa.
๐๐๐๐mtarekebishana huko mbele ya safari my wangu sisi tunataka uoreweeeeeeSofa nilizotajiwa za huyo bwana harusi๐๐๐๐
Sitaki tena.
Lkn tutacheza ya Unique Flower ana bebe mpya
Be a womanNdo tunaowataka nyie,mnaoharibu future za watoto wa watu ili mje kujitutumua humu kwa kuwaponda single mother....mi nakukumbusha tu..just be a man[emoji109]
Sina mshahara, wala hivyo sio vichambo ndgu labda kama una tafsiri yako binafsi ya vichambo.Vichambo havitakuongezea mshahara mkuu,zaidi vinakuondolea thamani ya uanaume.Jitahidi kuacha maana kiukweli ndivyo ulivyo