Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 736
- 1,214
Itoshe kusema kuwa wewe ni mpumbavu ,ambae hata iweje huwezi kujinasua kwenye upumbavu.Wasukuma ni washamba sana mojawapo ni yule mshamba mkuu ambaye ni marehemu.
Hivi Magufuli si alikuwa Msukuma?
Itoshe kusema kuwa wewe ni mpumbavu ,ambae hata iweje huwezi kujinasua kwenye upumbavuWasukuma ni washamba sana mojawapo ni yule mshamba mkuu ambaye ni marehemu.
Hivi Magufuli si alikuwa Msukuma?
Siwezi kuwazidi Wasukuma kwa upumbavu.Itoshe kusema kuwa wewe ni mpumbavu ,ambae hata iweje huwezi kujinasua kwenye upumbavu.
Wewe ni kiazi ambacho sipaswi kujibizana nacho unanipotezea muda kenge weweSiwezi kuwazidi Wasukuma kwa upumbavu.
Unafahamu kitu kinaitwa utani wa jadi?Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.
Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekelea🇹🇿
Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma wamewakosea nini?
Siku hizi kila mfano mbovu mitandaoni wanapakaziwa wasukuma mnaudhi na huo upuuzi sisi ni kabila bora,na hatuhitaji dharau.
Kutweza utu wa wasukuma sio sawa. Watanzania tafadhali tuache kudharauliana kipuuzi.
Kila kundi la watu linastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa.
Heshimu tamaduni za watu na maisha yao.
Wasukuma wote tusikubali huu upumbavu,tuukemee mahali popote na tuoneshe umoja na mshikamano.
Najua mkuu Kuna utani wa makabila ila watani wetu tunawajua ni wagogo na wazaramo ila kila mtu kushobokea utani usiomhusu.Unafahamu kitu kinaitwa utani wa jadi?
Hivi na nyie ni watani zetu au ni watani wa Wachaga tuUnafahamu kitu kinaitwa utani wa jadi?
MuhasibuWasukuma ni washamba sana mojawapo ni yule mshamba mkuu ambaye ni marehemu.
Hivi Magufuli si alikuwa Msukuma?
Sasa umezidi upumbavuuWasukuma ni washamba sana mojawapo ni yule mshamba mkuu ambaye ni marehemu.
Hivi Magufuli si alikuwa Msukuma?
Sasa mbona zamani sisi tuliitwa nembo ya taifa eti wa Masai wapo kama wanyama mf. Tembo,Simba ,twiga wapuuzee tu gakuna jinsi ukikasirika wataendeleaHapana wasitugeuze katuni za kuchekesha watu mitandaoni tafadhali kila jambo na kiasi, heshima ifate mkondo wake