Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

SIjui kwa nini nimecheka Mwasibu. 🤣🤣

Tutakupambania Id yako itarudi Mtani.
Walishatoa mwongozo. Ukiachia ID ni haki ya mtu mwingine kuichukua. Hata mpambane vipi hiyo ID haipati tena.

Mtu unaacha ID yako ya tangu 2011 huko unakwenda kujiita Kipenzi Changu halafu uanze kusumbua watu? Hakuna kitu kama hicho!
 
Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.

Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekelea🇹🇿
Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma wamewakosea nini?

Siku hizi kila mfano mbovu mitandaoni wanapakaziwa wasukuma mnaudhi na huo upuuzi sisi ni kabila bora,na hatuhitaji dharau.

Kutweza utu wa wasukuma sio sawa. Watanzania tafadhali tuache kudharauliana kipuuzi,
Eti utani ! Utanii au Upuuzi! Utani uwe na kiasi, naongea kama last king Ontuzu.
"Kila kundi la watu linastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa".

Heshimu tamaduni za watu na maisha yao.
Wasukuma wote tusikubali huu upumbavu,tuukemee mahali popote na tuoneshe umoja na mshikamano.
Mimi ni mgogo,kubatizwa uombaomba,UVIVU wala ile ya dada zetu kwamba wana huruma haijawahi kunikosesha amani almradi najua mimi ni mtu wa aina gani,RELAX mwanangu
 
Back
Top Bottom