Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Hata mwanzoni alipojiita sijui Mpanzu akaongeza na majina mengine mawili watu Id yake wakaichukua chap.Huyu ndo zake kubadilisha ID halafu ya zamani ikiibiwa anapiga kelele nyingi, sio mara ya kwanza.
Akalalamika Mod wakamrudishia.
Ni vile hajui sijui anakurupuka id ya OKW BOBAN SUNZU ndo nzuri kwake kuliko hizi zingine.