Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

Moderator hii sio sawa. Mnaruhusu vipi mtu kutumia ID za zamani ya mwingine. Unaona hii contradiction, mtu anaamini mimi ndio nimeandika huu upuuzi.
Nasimama na wewe Mwasibu japo we ndo ulifanya mistake kuiacha Id yako ambayo ilikuwa inakutambulisha vyema kabisa.

Ikitokea tukapambania ikarudi kwako kwa mara ya pili basi usiibadilishe tena.
 
Utakua na roho nyepesi sana na emotional kama unazingatia utani! Trump anataniwa na kuchorwa na kutukanwa dunia nzima lkn ndo kwanza hana hata habareee! Anajilia vyake

Emotional maturity/Quotient muhimu sana, mizaha ni mizaha na haitakaa ikome kwnye maisha!
 
Mimi sina cha kuchangia kwenye hii mada mkuu 🙏🏿

20250620_075403.png

Ila hapa nilipo nimeshiba hatari kama ilivyo kawaida yetu Wasukuma. Baada ya hapa ni kazi ngumu huku shambani kuvuna mazao. Sina shida na mtu mimi🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

meza.jpg
 
Mi nafurahia sana. Nduhu tabu.
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.
Kuna vikabila hawajawahi hata kula jogoo, wanakula , ngozi za mbuzi, utumbo wa kuku, yaani hawana uwezo wa kumiliki debe la mahindi kwa mwaka wanakula mlo mmoja saa 10 jioni kama hawa watani zetu . Huu wembamba unaouuona usidhani hawana tako wapeke Simiyu kwetu utaona.
2.Wanaume wenye vibamia ni lishe duni
3. Hili swala languvu za kiumehaliko usukumani acha watanie tunawazia wake zao sisi
4. Ukiona mwanaume anahonga elfu 10 hana HELA huyo mi ukweli nikimula mdada Laki 1 anachukua kkwa kunitunuku, tunahonga maana tunazitafuta na zipo sio ushamba.
5. Huwezi kula sana kama mlo ni kilo moja mnakula familia ya watu 8 ,sisi tuna kula ukienda kuchoma nyama choma kilo kadhaa acha kula vinyama viko kwenye vijiti eti mishikaki, kama kuku choma mzima.
Nashoka kaya ha kaza. Ntuzu OG
 
Kumbe wewe wa Simiyu? 😹😹😹
Tayana-wog unaitwa huku ukale michembe
 
Back
Top Bottom