SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Last KING Ontuzu nini maana ya hili jina
Hakika.Itoshe kusema kuwa wewe ni mpumbavu ,ambae hata iweje huwezi kujinasua kwenye upumbavu.
Je sisi wamasai tunaambiwa sisi ni wanyama kama wanyama wengine na hatuna muda nao eti sisi ni nembo ya taifaKwa uzoefu wangu ni kwamba ukiona mnataniwa basi mnapendwa na mpo fair,utani ni sehem ya maisha yetu,nyinyi ni kabila kubwa na lenye nguvu katika nyanja zote,usiichukulie seriously mkuu, mbona Kuna watu wanaambiwa wanakula mbwa na hwamind wanajua ni utani tu
Wachaga weziNajua mkuu Kuna utani wa makabila ila watani wetu tunawajua ni wagogo na wazaramo ila kila mtu kushobokea utani usiomhusu.
Kuna kila dalili za chuki na kudhalilishana kila jambo linatakiwa kuwa na kiasi mkuu.
Kupenda wanawake weupe😀Kuna mambo mengine wasukuma huwa mbajitakiaga wenyewe
😀😀😀kotekoteHivi na nyie ni watani zetu au ni watani wa Wachaga tu
Hahahaha Sukuma version ya 50centKweli kabisa, wengine watakuja kusema hawa ni Wasukuma si vizuri.View attachment 3375395
Muhasibu fake huyo nashangaa moderator wameruhusu the same IDMuhasibu
Stori zake zilezile za taharukiMuhasibu fake huyo nashangaa moderator wameruhusu the same ID
Kumbe. Sisi muhasibu tunaemjua ni yule wa azizi kiMuhasibu fake huyo nashangaa moderator wameruhusu the same ID
Wanyaturu utambulisho wetu niniWachaga wezi
Wapare bahili
Wahaya sifa
Warangi maharagwe ya Mbeya
Wandengereko uvivu sawa na wagogo😀
No.. Mkuu hakuna aliye salaam.. Labda yale makabila minority
U bar maid mkiwa Dar es salaam.Wanyaturu utambulisho wetu nini
Sawa.ila dada zangu warembo tuache masiharaU bar maid mkiwa Dar es salaam.
Yupi Bora? Mkinga mwenye sura mbaya anaye jiheshimu au mwenye sura nzuri chawote especially walevi?Sawa.ila dada zangu warembo tuache masihara