Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.

Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekelea🇹🇿
Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma wamewakosea nini?

Siku hizi kila mfano mbovu mitandaoni wanapakaziwa wasukuma mnaudhi na huo upuuzi sisi ni kabila bora,na hatuhitaji dharau.

Kutweza utu wa wasukuma sio sawa. Watanzania tafadhali tuache kudharauliana kipuuzi.
Kila kundi la watu linastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa.

Heshimu tamaduni za watu na maisha yao.
Wasukuma wote tusikubali huu upumbavu,tuukemee mahali popote na tuoneshe umoja na mshikamano.
 
Attachments

  • f2e1bab8c2b3d9d1e916495381e63837.mp4
    1.9 MB
Kwa namna navyoona mnasombwa na malori jionii hii mkakeshe hapo kisesa...acha wawadhihaki tu....yan mmefanywa kama mizigo au ng'ombe
 
Ila nikiri TU kwamba,
Wanawake wa kisukuma ni wife material plus.
Vijana kabla hujaoa pitia usukumani kwanza.
Very loyal, very enterprising, hawana dharau, wako na wewe kwenye shida na Raha.
Hawalalamiki kikubwa zaidi sio Malaya.
Unasemaaaa?
 
Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.

Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekelea🇹🇿
Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma wamewakosea nini?

Siku hizi kila mfano mbovu mitandaoni wanapakaziwa wasukuma mnaudhi na huo upuuzi sisi ni kabila bora,na hatuhitaji dharau.

Kutweza utu wa wasukuma sio sawa. Watanzania tafadhali tuache kudharauliana kipuuzi.
Kila kundi la watu linastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa.

Heshimu tamaduni za watu na maisha yao.
Wasukuma wote tusikubali huu upumbavu,tuukemee mahali popote na tuoneshe umoja na mshikamano.

Msukuma utamjua tu ,lazima atembee na Radio halafu mziki mkubwa au akiwa kwenye public ataota simu lake na kuweka mimbo kwa sauti kubwa.
 
Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.

Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekelea🇹🇿
Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma wamewakosea nini?

Siku hizi kila mfano mbovu mitandaoni wanapakaziwa wasukuma mnaudhi na huo upuuzi sisi ni kabila bora,na hatuhitaji dharau.

Kutweza utu wa wasukuma sio sawa. Watanzania tafadhali tuache kudharauliana kipuuzi.
Kila kundi la watu linastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa.

Heshimu tamaduni za watu na maisha yao.
Wasukuma wote tusikubali huu upumbavu,tuukemee mahali popote na tuoneshe umoja na mshikamano.
Cheneko
 
Zamani wasukuma walikuwa wanataniwa lakini siku hizi wanadhihajiwa na kutukanwa.

Natamani mgogoro wa makabila nchini Tanzania utokee watu tunyukane heshima irudi palepale.

Wazungu wakitubagua kwa rangi zetu nyeusi kama za nyani na sokwe tunakasirika na kulalamika lakini huku ndani sisi tunatukanana.

Mtu mzima kuzungumzia masuala ya ukabila ni ukumanyoko wa hali ya juu.

😎😎😎😎😎😎
 
Najua mkuu Kuna utani wa makabila ila watani wetu tunawajua ni wagogo na wazaramo ila kila mtu kushobokea utani usiomhusu.
Kuna kila dalili za chuki na kudhalilishana kila jambo linatakiwa kuwa na kiasi mkuu.
Hakuna chuki yoyote mkuu, kwa tafiti yangu isiyo rasmi wasukuma ndio kabila linalopendwa zaidi. Binafsi nawakubali sana wasukuma. Marafiki zangu haswa ni wasukuma.
 
Back
Top Bottom