Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Wilhem Mligo, ameelezea kuumizwa na matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, akitaja kuwa ulikubaliwa na vitendo vya ukatili vilivyosababisha vifo vya raia wasio na hatia.
Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Julai 5, 2026 na Nijuze, Mligo ameweka wazi kuwa hawezi kuuita mchakato huo kuwa ni uchaguzi, bali ulikuwa ni "uchafuzi" uliogubikwa na umwagaji wa damu.
Kwanza yaani uchaguzi unakuwaje alafu watu wamekufa, na damu na nini, wamezikwa, Yaani unaupaje lugha nzuri hivyo ya uchaguzi? ni uchafuzi mimi nasema, uliokuwa na mambo mengi ya ya kidhambi dhambi, mauwaji na nini."
Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Julai 5, 2026 na Nijuze, Mligo ameweka wazi kuwa hawezi kuuita mchakato huo kuwa ni uchaguzi, bali ulikuwa ni "uchafuzi" uliogubikwa na umwagaji wa damu.
"Tukisema ni uchaguzi, tumewapendelea sana. Ule ulikuwa ni uchafuzi. Haukuwa uchaguzi. Umenielewa?Kwanza yaani uchaguzi unakuwaje alafu watu wamekufa, na damu na nini, wamezikwa, Yaani unaupaje lugha nzuri hivyo ya uchaguzi? ni uchafuzi mimi nasema, uliokuwa na mambo mengi ya ya kidhambi dhambi, mauwaji na nini."