Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

Lady in action DADA hivi Huwa una sali kweli!!
 
Umerogwa.
Dawa yake kula ugali mboga za majani alfajiri.....then usile kitu chochote zaidi kunywa maji.
Kwa jioni pata kimiminika chochote cha moto bila kitafunio,kalale....fanya hivyo kwa siku kadhaa mabadiliko utaanza kuyaona.
 
Wewe kama unaona una tatizo mimi nasema ukiachana na huyo jamaa njoo kwangu napenda sana wanawake kama wewe na wale walevi aiseee.

Narudia kuja kwangu ukiachana na huyo mpole utakutana na Mandonga mwenzio hapa 🤣🤣
 
Naona kiti umepewa mpenyo wa kuandika uzi na ruhani wako...
 
Umejuaje kua una sura nzuri?

Wewe hujawahi kupigwa mpaka ukasahau jina lako,siku ukichezea vitasa vya maana huo ugonjwa wote utakutoka bila dawa,tatizo unakutana na wanaume nyororo.
 
Sasa nani atamwacha mwanamke wa hivyo. Braza amekuona ni mgodi unaotembea. Kama unampenda/mhitaji mwendelee kuvumiliana tu. Ipo siku hizo bangi zako zitaisha.
 
Shangazi yenu hataki watoto wa kaka yake mfanikiwe, amekutupia Jini kivuruge! Hii inaitwa Ramli chonganishi! Nakusihi usije ukarogwa ukakimbilia kwa waganga wa kienyeji utaambiwa hivyo hivyo! Kama wewe ni Mkatoliki fanya kama tulivyofundishwa kwamba ukipata shida yoyote usali sala gani?
 
wewe huna tofauti na mama yangu mkubwa, mama yangu mkubwa ni mtu mwenye dharau, hupenda sana kutoa maneno ya kejeli kiukweli hana kitu, ni mtu wa kanda ya ziwa (mhaya) nahisi ili nalo linachangia , ni mbabe hupenda sana kumpelekesha mwanaume anaekuwa nae hali hii imepelekea kuwa single mother wa watoto wanne, nikimchunguza huwa naona kama kuna mambo flani ya kimila ndio huwa yanamuendesha....natamani nimsaidie lakini hasaidiki kwa sababu ni mbishi kwelikweli😁😁......solution sasa wewe mkuu rudi kwa wazazi wako kama bado wapo hai waeleze hiyo hali utapata msaada, lakini pia njoo pm kuna kitu zaidi naweza kukusaidia
 
Kama sio chai....
Basi wewe huna tatizo lolote, ni vile tu waume zako ni dhaifu.
Wamekuwekea mazingira unaona mnaweza pigana....
Wanakupa na mishahara unajichotea tu.......
Sio kila mtu ni Liberal watakuja wakukande siku moja.
Umeshapata wako? Kama bado omba sana hii hali akiwa nayo mwanamke haina mbabe, utamuua then utafungwa, it's serious.
 
Huyu ameathirika na aina ya malezi aliyoyapata katika makuzi yake,kama sio hilo basi atakua na matatizo ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…