Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

Ogopa Mungu na teknolojia😂
 
Ni ujinga tu,,,, mimi ukiniona fala nakuona farasi tu nakupiga doggystyle😂😂😂
 
😁😁😁😁😁😁Kwa hayo yote bado upo nae tu? Hauna wazazi wa kulea mjukuu uwe unawatumia matumizi tu wakati unajipanga zaidi?
 
Namimi ni mhaya aisee na mama yangu aliniambia mama yake alikua hivi yan bibi yangu,,, bahati yake alipata mwanaume anaempenda sana mpaka kumpikia anampikia na kumtengea.....mi siyataki haya mambo nataman niwe mke mwema
Tabia za kiburi na kujikweza kwa mwanamke hazifai.

Hii character ipo sana kwa wanawake wa kijita, wahaya na wanyakyusa ila trust me huwezi kutoboa ukiwa na mwanamume civilized. Utapata muhuni muhuni tu ambaye atakuzalisha na kukuvumilia sababu hana kitu huku akikutia vipigo vya kwenda.

Mwanamume civilized hawezi kuishi na mwanamke mwenye mental dissorders za aina hio na ndio maana ma single mother wengi wanaangukia makabila hayo.
 
Tena kipigo ni kote, ukianzia kwa Mume na ukirudi kwenu pia kama maelezo hayaeleweki unapokelewa na kipigo na kupewa notisi urudi mkaelewane na mumeo.

Uzuri wazazi wanawajua vizuri watoto wao na tabia zao.
 
Huu ushauri aufanyie kazi.
 
Uko vizuri, and I advise you to remain single and enjoy your freedom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…