Siitazami ajali ya ndege kama wengi mnavyoitazama, yawezekana kuna makubwa nyuma yake


Lete kwanza CV ya huyo rubani tuisome. Umeandika kwa assumptions nyingi. Ana uzoefu wa miaka mingapi? Amesomea wapi urubani? Kimataifa huwezi kupewa leseni ya urubani bila ya kuwa na masaa 1,500 ya kuendesha ndege. Huwezi kupewa leseni ya urubani bila kuwa instrument rated.
 
Kuna taarifa juu ya watu 2 kuzidi ndani ya ndege??

Kuna Bomba unaweza shika ndani ya ndege kama daladala za RANGI tatu mbagala??
sio kitu cha ajabu hicho,kwenye safari za ndani hata kwenye ndege huwa kuna staff,hususani anayetambulika na pilot tu, ila lazima pawe na nafasi yaani ndege ya kubeba abiria 48,waliokata tiketi wawe chini ya namba hiyo,ndipo staff utapata nafasi hiyo,.na jina lake hulikuti popote kule,inapotokea kitu kama hiki,ndipo balaa huanzia hapo!!!Tena huko air tanzania ndipo kabisaa!!
 
Duuh,sio mchezo aisee
 
Cc Countrywide
 
Unajua maana ya abiria 2 kuzidi?

Taarifa ya passengers on board waliopanda ukilinganisha na majeruhi na waliokufa!!!

Au ndo Ule msemo usemao" Everyday is Saturday".
Mkuu huko sahihi ndo huo huo msemo everyday is Saturday hujakosea
 
Hapana, hao wanaosemekana kuzidi ni kutokana na rekodi ya idadi ya abiria waliosafiri siku hiyo kwenye ndege hiyo lakini uwezo wa ndege ni zaidi ya idadi hiyo ya 45
It's ok, kwann hawasemi Kweli. Hadi kwenye ndege tudanganywe?

Nimeiona habari hii ikiripotiwa vituo vikubwa kimataifa mf AL JAZEERA.
 
Kuna taarifa juu ya watu 2 kuzidi ndani ya ndege??

Kuna Bomba unaweza shika ndani ya ndege kama daladala za RANGI tatu mbagala??
What if wale waliozidi ni waokoaji au ni watu walikuwa ziwani wakapigwama ndege ikidondoka ? Sioni kama abiria wawili kuzidi tena wakiwa kwenye kundi la marehemu liwe na uzito sana kuliko kukosekana kwa vikosi vya waokoaji wakitaalam hatua chache tu kutoka. Airport. Huu ni uzembe tunaondelea kuzeeka nao kadri nchi inavyozeeka. Ajali imeumiza sana mioyo yetu wavuvi wenye mitumbwi duni ndio wamesaidia kila kitu halafu waziri mkuu mzimaanahoji maiti mbili zilizozidi . Wanakera hadi unatamani wangekufa wao kwenye hiyo ajali
 
KAZI yetu ni KUHOJI na wahusika watoe majibu SAHIHI, tusiwajibie maswali.
 
Kufungwa uwanja wa Bukoba ni sahihi kwa sababu si Salama, tena ni majuzi tu wametoka kufanya mazoezi ya utayari.

Tuibane serikali tunataka uchunguzi huru wa black box, mbivu na mbichi zipo kwenye black box.
 

Attachments

  • FB_IMG_1667812170202.jpg
    14.6 KB · Views: 5
tutasema mengi lkn ajali ni ajali tu ndo maana tunasema ajali haina kinga.kwangu simlaumu mkuu wa mkoa kwa lolote lile na nina sababu za msingi.kwangu tatizo ni la kimifumo tu.tuzidi kumwomba Mungu kwa wote walioguswa na msiba huu kwa namna moja au nyingine wapate faraja na nguvu hasa kwa kipindi kigumu kama hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…