NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Nani atakupa majibu,na akikupa una UHAKIKA yatakuwa sahihi.MNAOICHUKULIA HII NCHI SERIOUS HUWA MNAUMIZA SANA NAFSI ZENU BILA KUJUA.Majibu yatapatikana kutoka chumba cha kuongozea ndege, kupitia mawasiliano ndani ya lisaa 1 kabla ya ajali kutokea. Yale majadiliano, yataonyesha hali halisi ya kilichotokea.
Kuna mtu kafungua Uzi huko anasema matairi yaligoma kufunguka wakati wa kutaka kutua.
Rubani alitoa taarifa control tower kwa ushauri ni ni afanye inaonekana ushirikiano kutika control tower ukawa mdogo.
Inasemekana baada ya kuzunguka angani Kwa nusi saa rubani akaomba ushauri, akaambiwa kutoka control tower kuwa we ipeleke ziwani tutakuja kuwaokoa.
Ukifuatilia hayo maelezo na ukifuatilia ule uzi wa jamaa alietabiri kuwa itatokea ajali ya ndege hivi karibuni. Utagundua kuwa huu ni mpango ulipangwa.
**** jambo hapoNawaza pia kwanni walimzuia Majaliwa kumuokoa Rubani wa ndege wakamwacha ili afie kabisa kwenye control room!!
Najiuliza tu kwa sauti kubwa kulikuwa na nini mpaka walipoana anamuokoa rubani wakamwambia aachane naye??
Najaribu tu kuwaza kwa sauti kubwa!!
Kwani huelewi neno suppose linamaanisha nini?
BTW, ukiona mtu anakuwa mkali anatanguliza maneno makali kama kuita wenzie wajinga ujue amekosa hoja. Ongeza kunitukana na matusi mengine amkali ufurahi labda utapona ugonjwa wa
Ndege ndio hiyo imetolewa; kwa mtazamo wako tairi zilikuwa zimetoka au hazikutoka?Kwani huelewi neno suppose linamaanisha nini?
BTW, ukiona mtu anakuwa mkali anatanguliza maneno makali kama kuita wenzie wajinga ujue amekosa hoja. Ongeza kunitukana na matusi mengine amkali ufurahi labda utapona ugonjwa wako.
Hivi wenzetu huwa mnatumia akili katika kuchakata taarifa hizi kweli?.Nawaza pia kwanni walimzuia Majaliwa kumuokoa Rubani wa ndege wakamwacha ili afie kabisa kwenye control room!!
Najiuliza tu kwa sauti kubwa kulikuwa na nini mpaka walipoana anamuokoa rubani wakamwambia aachane naye??
Najaribu tu kuwaza kwa sauti kubwa!!
Kwanza kabisa ningekua mim ndio ningekua dictator uchwala.Hebu tushirikiane kuwaza mambo kadha wa kadha hapa na ya msingi;
Mara zote kwenye mambo ya msingi nakuwa firm Kabisa utani pembeni hata Kama kuna nyuki wa mama wananikaba Kwa kusema labda sikutakiwa kusema watakuwa wanakosea sana maana nilipumzika kuandika Makala ndefu ndefu nikaishia kuwa naona kama nishaandika kila kitu Kwa wakati sahihi linapotokea ndo nafufua uzi husika wa mada husika !
Swala la ajali hii ya ndege linafikirisha mengi sana nimekuta mtu sehemu anauliza mambo ya msingi Kabisa nikashirikiana naye kuwaza haya
1. Nikiwa nawaamini sana Marubani wa Precision air pengine kuliko wa mashirika mengine, pasi shaka hata chembe najiuliza kwa nini ndege hii imeelekea kwenye uelekeo tofauti wa runway? Katika hili najiuliza Control Tower ilikuwa na ofisa? Na kama ndio alikuwa anafanya kazi gani? Au kwa nini hakutoa vzr/alitoa maelekezo tofauti ya jinsi ya kutua? (Hili linakuja kaa kuwa Rubani yeyote anaweza kutua kiwanja chochote kipya kwa maelekezo kutoka chumba cha waongoza ndege akiwa 5-30miles) juu ya jinsi ya kutua, speed, distance ya kugusia runway, hali ya hewa etc).
Hapa najiuliza sipati majibu na inanipa maswali juu ya chanzo cha ajali hii.
2. Ndege inasema ilikuwa na abiria 43 lakini idadi ya majeruhi 26 na marehemu 19 inafanya maswali mengi. Sitaki kulaumu sana kwa kuwa ndege hii ina uwezo wa kubeba abiria 48 ila TAA ichunguze hii ATC ilitolewaje? Nani walihusika.
3. Ndege imezama, yaan iko sehemu salama kimfumo wa ajali za ndege, tena mita 100+ tu kutoka kiwanja ila uokoaji umechukua masaa zaidi ya manne, RPC anasema watu watulie kila kitu kiko under control, control ipi?...HII NI AIBU KUBWA KWA SERIKALI YETU.
4. Waziri Mkuu ameagiza uwanja ufungwe... Je kuna siri gani hapa nyuma ya pazia? Uwanja una shida gani kama kila kitu kilikuwa sawa? Kama kila kitu kilikuwa sawa ina maana watu wasisafiri tena kwenda Bukoba sababu ya ajali hii? KUNA NINI CHA KUFUNGIA UWANJA?
5. Nimemuangalia Mkurugenzi Mtendaji wa Precision Airways(Patrick Mwanri) akiomba watu tusipotoshe Umma juu ya ajali hii, amebeba uchungu mzito sana akizungumza akiwa analia machozi mbele ya waandishi... It is not normal, hata kama jamaa anaumia kibiashara ila anajua kabisa Bima watamlipa ila swali la chanzo cha ajali hii na matokeo yake yanawagusa sana Precision kuliko sisi wote.
Binafsi siitazami ajali hii kama wengi mnavyoitazama, yawezekana kuna makubwa nyuma yake.
Tuwe sometimes na Uwezo wa kuchunguza yanayoendelea chini ya carpet bila kusubiria kulishwa kila taarifa
Kwako Pascal Mayalla
Britanicca
Ule mlango nahisi unafunguliwa kwa ndani? Sasa huyu majaliwa aliufunguaje na ilihali alikuwa nje tena anaogelea??Hivi wenzetu huwa mnatumia akili katika kuchakata taarifa hizi kweli?.
Ndege ijipige chini kwa style ile afu Rubani awe mzima na akupungie mkono? Mna akili sawasawa? Mmewahi kuogelea au kupata shida kwenye maji?
Yule dogo ni muongo, kwa sisi watu wa maji, mm nimeishi na nimewahi kuvua na hata kushindana kuogelea kuvuka eneo moja kwenda lingine, (wakazi wa Mtwara wanapajua VERANI hapo tumevuka sana kwenda MSANGA MKUU)
Nayajua maji, nayajua maji tena nayajua maji.
Maelezo ya walionusurika ndio Sahihi kwa watu wenye akili.
1. Ndege ilipoangua tu, maji yalijaa upande wa mbele na wote walishafunikwa na Maji. Unaweza kujinasua kwenye maji yaliyojaa huku umefunga mkanda wa Siti?
2. Wahudumu wa Ndege ndio waliofungua milango na hata hao abiria walipoanza kutoka nje hakukuwa na mtu yeyote aliyekuwepo kiasi kwamba waliogopa labda watazama majini pia.
Yule dogo sio kwamba yy ndio aliefungua mlango, huwezi fungua mlango ule ukiwa unaelea kwenye maji, mm nimeogolea unapoogelea unakosa balance ya kupiga kitu chochote kwa maana unakosa balance, dogo katupiga kamba na tulivyowajinga na tusiotumia akili tunahitimisha kuwa dogo alifunya mlango wa ndege kwa kasia.
Tunapopata taarifa kama hizi tutumie akili zetu just a common sense tu.
Ukiingalia ndege utagundua mshindo wake ulikuwa mkubwa na hakukuwa na uwezekano wowote wa Marubani kupona kwa maana hata pua ya ndege ilishavunjika na maji yalijaa na mbaya wao ndio walikuwa chini zaidi kuliko wenzao.
Ukiwa unaogolea huwezi kugonga nyundo au kitu kwa nguvu, ila kamba na serikali wameitumia kuvunika uzembe na kumtukuza dogo ili kuficha uzembe wao wakiacha wananchi wanampongeza Rais kwa kumpa ajira kijana yule, mbaya zaidi waokowaji walikuwa wengi na walikuja na mitumbwi yao.Ule mlango nahisi unafunguliwa kwa ndani? Sasa huyu majaliwa aliufunguaje na ilihali alikuwa nje tena anaogelea??
Sikia wewe boya hata sisi tumeogelea pia. Kilichotokea ni kwamba wale abiria wa ndani walikua wanapush mlango ufunguke lakini ukawa umejilock lakini pia pressure ya maji mlango ukawa mzito kufunguka. Yule dogo alichofanya ni kutumia kasia kuwasaifia wale wa ndani kuufungua. Yaani kama ulisoma mambo ya mzigo egemeo na nguvu. Kasia ilisaidia kuuvuta kwa nje huku wale wa ndani wakipushi pia. Mlango ulifunguka watu wakaamza kuyoka na maji yakaanza kuingia.Hivi wenzetu huwa mnatumia akili katika kuchakata taarifa hizi kweli?.
Ndege ijipige chini kwa style ile afu Rubani awe mzima na akupungie mkono? Mna akili sawasawa? Mmewahi kuogelea au kupata shida kwenye maji?
Yule dogo ni muongo, kwa sisi watu wa maji, mm nimeishi na nimewahi kuvua na hata kushindana kuogelea kuvuka eneo moja kwenda lingine, (wakazi wa Mtwara wanapajua VERANI hapo tumevuka sana kwenda MSANGA MKUU)
Nayajua maji, nayajua maji tena nayajua maji.
Maelezo ya walionusurika ndio Sahihi kwa watu wenye akili.
1. Ndege ilipoangua tu, maji yalijaa upande wa mbele na wote walishafunikwa na Maji. Unaweza kujinasua kwenye maji yaliyojaa huku umefunga mkanda wa Siti?
2. Wahudumu wa Ndege ndio waliofungua milango na hata hao abiria walipoanza kutoka nje hakukuwa na mtu yeyote aliyekuwepo kiasi kwamba waliogopa labda watazama majini pia.
Yule dogo sio kwamba yy ndio aliefungua mlango, huwezi fungua mlango ule ukiwa unaelea kwenye maji, mm nimeogolea unapoogelea unakosa balance ya kupiga kitu chochote kwa maana unakosa balance, dogo katupiga kamba na tulivyowajinga na tusiotumia akili tunahitimisha kuwa dogo alifunya mlango wa ndege kwa kasia.
Tunapopata taarifa kama hizi tutumie akili zetu just a common sense tu.
Ukiingalia ndege utagundua mshindo wake ulikuwa mkubwa na hakukuwa na uwezekano wowote wa Marubani kupona kwa maana hata pua ya ndege ilishavunjika na maji yalijaa na mbaya wao ndio walikuwa chini zaidi kuliko wenzao.
Inawezekana upo sahihi mkuu, ila waliopona katika ajali bado sijasikia hata mmoja akimuongelea shujaa majaliwa. Nimemsikiliza mama mmoja BBC anasema alikaa seat za nyuma na aliyefungua mlango ni muhudumu wa ndege...Sikia wewe boya hata sisi tumeogelea pia. Kilichotokea ni kwamba wale abiria wa ndani walikua wanapush mlango ufunguke lakini ukawa umejilock lakini pia pressure ya maji mlango ukawa mzito kufunguka. Yule dogo alichofanya ni kutumia kasia kuwasaifia wale wa ndani kuufungua. Yaani kama ulisoma mambo ya mzigo egemeo na nguvu. Kasia ilisaidia kuuvuta kwa nje huku wale wa ndani wakipushi pia. Mlango ulifunguka watu wakaamza kuyoka na maji yakaanza kuingia.
Sada wewe mishipa inakutoka ya nin mbona akili ndogo tu inatumika kuelewa kilichotokea. Un hasira digo kulamba ajira?.
Kuhusu marubani inaelekea hata hujui namna vyumba vyao vilivojengwa. Maji kuingia ni pole pole sana na hasa yalipitia chini lakini pia kwa kua ilivunjika kichwa labda yalikua na kasi. Na hiyo haizuii kwamba walikua hai kwa muda mrefu.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Hata mm nimemsikia,ila hakusema hivo alisema walijaribu kuusukuma mlango wakiwa na wenyewe kama abiria ila baadae akaja muhudumu wa ndege wakawa wanasaidiana. Majaliwa alichofanya ni kuondoa resistance ya maji kuurudisha mlango kujifunga. Lakini mlango hua unafunguliwa ndani sio nje. Kwa maana hiyo hata kama ndani waliufungua usingefunguka ukawa wazi kabisa sababu ya pressure ya maji. Sasa hapo msaada wa majaliwa ndipo ulipofanya kazi.Inawezekana upo sahihi mkuu, ila waliopona katika ajali bado sijasikia hata mmoja akimuongelea shujaa majaliwa. Nimemsikiliza mama mmoja BBC anasema alikaa seat za nyuma na aliyefungua mlango ni muhudumu wa ndege...
Hapo sawa mkuu....Hata mm nimemsikia,ila hakusema hivo alisema walijaribu kuusukuma mlango wakiwa na wenyewe kama abiria ila baadae akaja muhudumu wa ndege wakawa wanasaidiana. Majaliwa alichofanya ni kuondoa resistance ya maji kuurudisha mlango kujifunga. Lakini mlango hua unafunguliwa ndani sio nje. Kwa maana hiyo hata kama ndani waliufungua usingefunguka ukawa wazi kabisa sababu ya pressure ya maji. Sasa hapo msaada wa majaliwa ndipo ulipofanya kazi.
Kiufupi ni kwamba kasia haiwezi fungua mlango wa ndege hata upige vipi ukiwa kwa nje ila alichofanya ni kuingiza kasia katika kinafasi kidogo kilichokuwepo wakati unadukumwa kutoka ndani yeye akawa kama anautegua hivi ndio ukafunguka watu wakatoka. Kama kuna mtu hajanielewa basi ana matatizo
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Kipande nilichoona basi kimekatwa maana hakisemi juu ya kupata support ya mtu wa njeHapo sawa mkuu....
Maelezo mengine hayaingii akilini, ila kwa kuwa wengi hawana au hawatumii akili zao, tusikilize tu.Ule mlango nahisi unafunguliwa kwa ndani? Sasa huyu majaliwa aliufunguaje na ilihali alikuwa nje tena anaogelea??
Kwakweli mkuu, nimesikiliza almanusura watatu mpaka sasa sisikii hata mmoja akizingumza jambo linalofanana na alichofanya majaliwa...Maelezo mengine hayaingii akilini, ila kwa kuwa wengi hawana au hawatumii akili zao, tusikilize tu.
We mdada kumbe una akili nyingi tu?Hebu tushirikiane kuwaza mambo kadha wa kadha hapa na ya msingi;
Mara zote kwenye mambo ya msingi nakuwa firm Kabisa utani pembeni hata Kama kuna nyuki wa mama wananikaba Kwa kusema labda sikutakiwa kusema watakuwa wanakosea sana maana nilipumzika kuandika Makala ndefu ndefu nikaishia kuwa naona kama nishaandika kila kitu Kwa wakati sahihi linapotokea ndo nafufua uzi husika wa mada husika !
Swala la ajali hii ya ndege linafikirisha mengi sana nimekuta mtu sehemu anauliza mambo ya msingi Kabisa nikashirikiana naye kuwaza haya
1. Nikiwa nawaamini sana Marubani wa Precision air pengine kuliko wa mashirika mengine, pasi shaka hata chembe najiuliza kwa nini ndege hii imeelekea kwenye uelekeo tofauti wa runway? Katika hili najiuliza Control Tower ilikuwa na ofisa? Na kama ndio alikuwa anafanya kazi gani? Au kwa nini hakutoa vzr/alitoa maelekezo tofauti ya jinsi ya kutua? (Hili linakuja kaa kuwa Rubani yeyote anaweza kutua kiwanja chochote kipya kwa maelekezo kutoka chumba cha waongoza ndege akiwa 5-30miles) juu ya jinsi ya kutua, speed, distance ya kugusia runway, hali ya hewa etc).
Hapa najiuliza sipati majibu na inanipa maswali juu ya chanzo cha ajali hii.
2. Ndege inasema ilikuwa na abiria 43 lakini idadi ya majeruhi 26 na marehemu 19 inafanya maswali mengi. Sitaki kulaumu sana kwa kuwa ndege hii ina uwezo wa kubeba abiria 48 ila TAA ichunguze hii ATC ilitolewaje? Nani walihusika.
3. Ndege imezama, yaan iko sehemu salama kimfumo wa ajali za ndege, tena mita 100+ tu kutoka kiwanja ila uokoaji umechukua masaa zaidi ya manne, RPC anasema watu watulie kila kitu kiko under control, control ipi?...HII NI AIBU KUBWA KWA SERIKALI YETU.
4. Waziri Mkuu ameagiza uwanja ufungwe... Je kuna siri gani hapa nyuma ya pazia? Uwanja una shida gani kama kila kitu kilikuwa sawa? Kama kila kitu kilikuwa sawa ina maana watu wasisafiri tena kwenda Bukoba sababu ya ajali hii? KUNA NINI CHA KUFUNGIA UWANJA?
5. Nimemuangalia Mkurugenzi Mtendaji wa Precision Airways(Patrick Mwanri) akiomba watu tusipotoshe Umma juu ya ajali hii, amebeba uchungu mzito sana akizungumza akiwa analia machozi mbele ya waandishi... It is not normal, hata kama jamaa anaumia kibiashara ila anajua kabisa Bima watamlipa ila swali la chanzo cha ajali hii na matokeo yake yanawagusa sana Precision kuliko sisi wote.
Binafsi siitazami ajali hii kama wengi mnavyoitazama, yawezekana kuna makubwa nyuma yake.
Tuwe sometimes na Uwezo wa kuchunguza yanayoendelea chini ya carpet bila kusubiria kulishwa kila taarifa
Kwako Pascal Mayalla
Britanicca
Ndio tuvute ndege kama kokoro .... Aseee hii nchi hiiii.... Yule dogo mjsiriamali wa dagaa ameokoa 23 Kwa vifaa duni na elimu duni ya uokoaji .... Lakini utasikia anapongezwa mkuu wa mkoa na mapambio na kusifu jazz band.....
Acheni wivu wa kike,Ule mlango nahisi unafunguliwa kwa ndani? Sasa huyu majaliwa aliufunguaje na ilihali alikuwa nje tena anaogelea??