Kuna matukio mengi tu Rais huwa anafanya na hayako katika ratiba....mfano yule mama aliyekabidhiwa pesa na Rais hakuwa katika ratiba na alisalimiana na Rais baada ya kupewa pesa na watu wengine lakini hatukuona mkono wa mlinzi ukimzuia.Inasemekana kila atakachofanya president kinakuwa kwenye ratiba, na kusalimiana na Afande sele haikuwemo kwenye ratiba, na hiyo inakuwa katika malengo ya ku-control mazingira ili kuhakikisha usalama.
Bwana mdogo hata mgambo hujapita acha watu watimize majukumu yao, hawapo pale kukufurahisha wewe!!Kama alikuwa threat hakutakiwa hata kumsogelea Rais ...kuliko huko kumshika mkono mmoja.
Elimu elimu elimu elimuKuna mambo ya msingi ya kuliza lakini siyo hili
Kwahiyo hujui sababu za huyo mlinzi kumzuia?
Elimu ya Tanzania kweli magumashi...
elimu inahitajika mkuu.Swali la msingi Afande Sele alitaka kufanya nini au kulikuwa na ishara gani mpaka ashikwe mkono mmoja.
Alitaka kuvuta bangiKwahiyo pale alitaka kufanya nini huyo Afande Sele
Tueleze wewe unayezijua hizo sheria zao kwa kitendo kile...elimu inahitajika mkuu.
hivi hujui kama usalama wana sheria zao zinawaongoza katika kazi zao??
sasa je ikiwa kama kile kitendo ni sheria ya kazi yao ndo inawaelekeza we unahoji kitu gani?
Kumbe wewe tayari una majibu yakoNaona hakuna hata anayejaribu kutoa maelezo ya maana
Shangazi shangazi acha majunguWenzetu mna raha mshahara unaingia kwa kuchat JF
Aisee, wewe kijana mbona msumbufu sana?Kuna matukio mengi tu Rais huwa anafanya na hayako katika ratiba....mfano yule mama aliyekabidhiwa pesa na Rais hakuwa katika ratiba na alisalimiana na Rais baada ya kupewa pesa na watu wengine lakini hatukuona mkono wa mlinzi ukimzuia.
Ndiyo maana nataka hasa kujua Sele alitaka kufanya nini mpaka akamatwe mkono. hili jambo ni very serious ingawa kuna watu wanaona ni jambo la wanausalama na ni la kawaida tu.
Ni kweli nakumbuka hata mazishi ya Mfalme Hassan II wa Morocco wakati wa mazishi yake mwaka 1999 mwezi July Rais Clinton alitakiwa kuishia kwenye swala ya mazishi na si kufika eneo la mazishi lakini kuna kiongozi wa Morocco aliyemwambia twende kuzika ni eneo la kutembea kwa miguu kama km 2 hivi hapa walinzi wa Clinton walipata shida sana kwasababu watu walikuwa wengi sana na hakukuwa na maandalizi yoyote lakini ndo Clinton amesimama na kuendelea na matembezi mpaka makuburini.Changemoto kubwa kwa walinzi wa viongozi ni matukio yasiyokwenye ratiba.
Yasitokee yaliyomkuta Mzee A.H. Mwinyi.Wanaosalimiana na Rais Magufuli wote wanashikwa mkono mmoja.