Sijafurahia! Wanaowavisha Hawa Viongozi wetu ni kina nani?

Sijafurahia! Wanaowavisha Hawa Viongozi wetu ni kina nani?

Pengine bado ulikuwa hujamiliki "Simu janja" ngoja picha zitakuja hapa halafu utafute kichaka cha kujificha,na hao kina Kalumanzira nafikiri ndio walikuwa wabunifu wake.
Chuki huua.

Chuki husababisha sonona.

Chuki husababisha kansa.

Chuki husababisha BP.

Chuki husababisha vidonda vya tumbo.

Chuki hufunga rizki.

Kunjua roho ufurahie maisha kiroho, kiakili na kiafya.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga wewe, Hayati alikuwa hana hizo swaga za kishamba.

Dr JPM alikaa kwenye uwaziri zaidi ya miaka 20 kabla hajawa Rais, leo hii wewe Kalumanzira ndiyo ungemfundisha kuvaa vizuri?View attachment 2570855

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mbona unapovuka dingi tukikuwekea picha hapa utasemaje
Mbona huyo hapo juu ni makamu lakini mpaka mada imefika hapa au jiwe ndiyo alikuwa mjanja zaidi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga wewe, Hayati alikuwa hana hizo swaga za kishamba.

Dr JPM alikaa kwenye uwaziri zaidi ya miaka 20 kabla hajawa Rais, leo hii wewe Kalumanzira ndiyo ungemfundisha kuvaa vizuri?View attachment 2570855

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hapa ni baada ya kupiga kelele kama hizi na kumlinganisha na JK kwenye mavazi ndo wakaanza kumpa suti angalau nzuri. Ila alikuwa anavaa koti linamezakono wote isipokuwa nca za vidole
 
Huyo mshamba hapo juu anabisha na nimemwambia mwanzoni kabisa ndio zilikua pigo zake Suruali jeje na Koti ndio vile tena.
Watoto wa kwenye chupa mna matatizo sana, ndiyomaana mnatembea kiupande upande kama gari lililochoka injini la enzi za ukoloni sababu tu ya kuiga iga hata visivyofaa.

Si kila kitu ni cha kuigwa igwa hapa duniani la sivyo utajikuta umebadilika hata jinsi wewe [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ni baada ya kupiga kelele kama hizi na kumlinganisha na JK kwenye mavazi ndo wakaanza kumpa suti angalau nzuri. Ila alikuwa anavaa koti linamezakono wote isipokuwa nca za vidole
Sawa, ila hivi vitu si vigeni kwa sisi tuliozaliwa miaka ya 1950-1980 tena tulikuwa tunavaa suruali kubwa mno zilizokuwa zinafunika hadi viatu, na mashati mapana sana na tulikuwa tunapendeza sana maana kimfaacho Mtu ki machoni pake mwenyewe.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Suti imemfanya kama kuvunjika mguu
Hivi macho yako yanaangalia vizuri kabisa au una makengeza?

Rudia kuitazama vizuri hii picha kwenye viatu, au huoni kuwa amepindisha mguu wake wa kushoto kwa jinsi alivyosimama?
Screenshot_2023-03-30-14-24-38-55_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Watoto wa kwenye chupa mna matatizo sana, ndiyomaana mnatembea kiupande upande kama gari lililochoka injini la enzi za ukoloni sababu tu ya kuiga iga hata visivyofaa.

Si kila kitu ni cha kuigwa igwa hapa duniani la sivyo utajikuta umebadilika hata jinsi wewe [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mpaka muda huu sijajua hasa ni kipi kinachokufanya umwage chozi namna hii,
Yaani kuambiwa ukweli ndio kukupe jakamoyo namna hiyo?
 
Muacheni poti wangu aise. Hata hivyo kajitahidi kutoka Buhigwe huko ndani ndani hadi kumpokea V.P wa US siyo mchezo😂😂😂😂😂. Halafu hizo ndiyo pigo zenyewe. Waha hatumind sana mambo hayo ya kutokelezea, cha msingi nguo kufunika viungo na msisahau tumeshazoea kuvaa zile nguo za hii utakuwa nayo. Freshi tu yaani😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom