Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Yule ni Mburundi, ila kabila lake thilijuiKwani Makamo ni kabila Gani? Samahn lakin mtu mmoja anipe Jibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni Mburundi, ila kabila lake thilijuiKwani Makamo ni kabila Gani? Samahn lakin mtu mmoja anipe Jibu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Muongezee nyingine huyo chavichavi kuna ile moja ilikua ni sikukuu ya eid alivaa kanzu over pazia viganja havionekani.
Mashekheeee Walimkomoaaa. Dadadekiii zakeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848]
Ubishi utawaponza na wataendelea kuitwa "dunia ya tatu" hadi kwenye mavazi. Museveni ndo amefanyaje sasa. Unaweza kukuta suti ya diwani imemkaa vzr kuliko suti ya raisi. Hongera mama Samia.kwa level yake nadhani ana washauri au watu wanaoangalia uvaaji wake na kumshauri, saa ingine hao wazee wanakuwaga wabishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu kiduku, mguu m1 wake, sanchoka anashona gauni la solo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwamba huyo hapo kushoto [emoji23][emoji23]
View attachment 2571107
Unakuta Wabishi Unamwambia Vaa Hivi Yeye Anataka VileNi kweli pia unaweza kukuta wote waliomzunguka wa namsikiza yeye tu kila analoongea hawa wazee uwa Wanajifanya wajuaaji sana, hawajui kuwa mambo yanabadilika
Dah! Aisee hii ngoma ndio maana halisi ya Oversize.Nje na hapa nchini nimejaribu kuangalia kwa huyu mzee sasa, daaa ndiyo nachoka kabisa.
View attachment 2570822
Hii ni 2017 August, Lete za 2016.Acha ujinga wewe, Hayati alikuwa hana hizo swaga za kishamba.
Dr JPM alikaa kwenye uwaziri zaidi ya miaka 20 kabla hajawa Rais, leo hii wewe Kalumanzira ndiyo ungemfundisha kuvaa vizuri?View attachment 2570855
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
HahahHuyu kiduku, mguu m1 wake, sanchoka anashona gauni la solo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]