Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hajaonewa, suti imeendana na umri wakeNje na hapa nchini nimejaribu kuangalia kwa huyu mzee sasa, daaa ndiyo nachoka kabisa.
View attachment 2570822
Acha ujinga wewe, Hayati alikuwa hana hizo swaga za kishamba.
Dr JPM alikaa kwenye uwaziri zaidi ya miaka 20 kabla hajawa Rais, leo hii wewe Kalumanzira ndiyo ungemfundisha kuvaa vizuri?View attachment 2570855
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Weeeh jayati hadi tulimsimanganga humu naona ndio akabadili sijui designer!! Mwanzoni alikuwa anavaa kama Museveni tu.Acha ujinga wewe, Hayati alikuwa hana hizo swaga za kishamba.
Dr JPM alikaa kwenye uwaziri zaidi ya miaka 20 kabla hajawa Rais, leo hii wewe Kalumanzira ndiyo ungemfundisha kuvaa vizuri?View attachment 2570855
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kitambi nacho kikishazidi hata suti haipendezi tena.Kila wakati ukifuatilia matukio tofauti ya kitaifa na yale kila siku unaweza kudhani anatoka tu nyumbani labda alisahau kuandaliwa au mke kashtukizwa au labda zile nguo muhimu hasa zipo kwa dobi.
Hebu tuangalie kwa pamoja hio suti ya makamu wetu wa Rais Dr. Mpango.
View attachment 2570816
Sijui ni vile ililetwa au ilishonwa pasi vipimo, yaani nguo inakuwa oversize why lakini?
View attachment 2570820
Sasa mtu mbishi na mkali kama huyu utampangia nguo ya kuvaa si utapoteza kazi mara moja? Unamwacha tu avae atakavyo.[emoji1241]View attachment 2570863
Sio nguo tu angalia hadi moka imejikunja hapoKila wakati ukifuatilia matukio tofauti ya kitaifa na yale kila siku unaweza kudhani anatoka tu nyumbani labda alisahau kuandaliwa au mke kashtukizwa au labda zile nguo muhimu hasa zipo kwa dobi.
Hebu tuangalie kwa pamoja hio suti ya makamu wetu wa Rais Dr. Mpango.
View attachment 2570816
Sijui ni vile ililetwa au ilishonwa pasi vipimo, yaani nguo inakuwa oversize why lakini?
View attachment 2570820
Trump kila sehemu yeye anajiona ni boraMwamba huyo hapo kushoto 😂😂
View attachment 2571107
Kubali ni washamba tu,Ndugu yangu,hao ni wazee,zile nguo za kumodoa jua hilo hawawezi,yaani mtu miaka 30 iliyopita alikuwa anavaa bwanga ghafla aanze kuvaa modo.Lazima uelewe kuna nguo za umri fulani na fulani
Suti haina shida ila we ulitaka iwe modo
Mseveni anachekesha jamani
Huyu sasa ndo shehe mwenyeweNje na hapa nchini nimejaribu kuangalia kwa huyu mzee sasa, daaa ndiyo nachoka kabisa.
View attachment 2570822
Ndio,ni washamba lakini kwao wanakuwa huru na nguo zao kuliko modoKubali ni washamba tu,
Jk ana miaka 70 lakini anatupiamo
Ustaarabu ulianzia pwani,watu wa bara kuvaa magome ndio asili yetu